Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam leo itaendelea na usikilizaji wa maombi ya dharura namba 24511 ya mwaka 2025 yaliyo . . .
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo . . .
Takriban watu 16 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa kuzuka katika kiwanda cha nguo nchini Bangladesh, huku maafisa wakisema kuwa huwenda . . .
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru y . . .
Kuanzishwa kwa Kampasi ya Njombe ya Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia Mradi wa HEET kumeanza kutaleta mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu, . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shaaban amesema kuwa Tanzania iko tayari kushirikiana na Jumuiya ya Madola katika kuon . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake mkubwa katika maend . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amezindua Kitabu cha Historia ya Miaka sitini (60) ya Mbio za Mwenge wa . . .
Kufuatia taarifa zilizoeleza kuwa Odinga ambaye alikuwa amewasili katika eneo la Koothattukulam mkoa wa Ernakulam jimbo la Kerala kwa ajili . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80 Jumatano wakati akipokea matibabu katika hospita . . .
Klabu ya Italia Inter Milan imeingia kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili beki wa kati wa Crystal Palace Marc Guehi lakini Liverpool bado wan . . .
Sadio Mané ameendelea kuthibitisha ubora wake baada ya kuibuka shujaa kwa Senegal, akifunga magoli mawili muhimu katika ushindi wa 4-0 . . .
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Michael Eugene Archer almaarufu D’Angelo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya kusumbuliwa n . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemvua uraia Meya wa Odesa, Gennadiy Trukhanov, kwa madai ya kumiliki pasi ya kusafiria ya Uru . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake in . . .
Bunge la taifa la Madagascar limepiga kura ya kumuondoa Rais Andry Rajoelina kwa kura nyingi (130 kati ya wabunge 163) siku ya Jumanne, Okto . . .
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeonya watumiaji wa simu na mitandao kuacha tabia ya kukubali masharti (Terms and Conditions) . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Isdory Mpango, amewasili katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya kushiriki kilele . . .
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu ikiongoza miongoni mwa Halmasha . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Philip Mpango amewasihi Watanzania kuendelea kumuombea Baba wa Taifa hayati Mwalim . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amefanya ziara ya kukagua Uwanja wa . . .
Sekta ya Madini nchini Tanzania inaendelea kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii na sasa inajulikana kama Sekta jumuis . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 14 mwaka huu ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyer . . .
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Oktoba 13 mwaka huu amekagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba w . . .
Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kutekeleza Mpango wa Shule Salama nchini, ikitoa wito kwa walimu wakuu, wenyeviti wa kamati za shu . . .
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni . . .
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tom . . .
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa . . .
“Nimeamua kujiunga na CCM kwa sababu nimeona dhamira ya kweli ya serikali ya Dk. Samia katika kulinda amani na kuwaletea Watanzania maende . . .
Methali isemayo " Umoja ni nguvu ,utengano ni udhaifu" bado inaishi katika mioyo ya watanzania ,hasa tunapomkumbuka Baba wa taifa mwalimu Ju . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameshiriki leo, Oktoba 14, 2025, katika Ibada ya kumuombea Baba wa Tai . . .
Takriban watu 300,000 wameikimbia Sudan Kusini tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, huku mzozo kati ya viongozi wanaohasimiana ukitishia kuzua vit . . .
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashari . . .
RAPA mkongwe kutoka Nchini Marekani ameweka wazi kuwa licha ya kwamba hayuko sana katika soko la muziki wa Hip Hop na Filamu kama ilivyoku . . .
Rapa Fat Joe amefunguka namna ambavyo ailumizwa moyo na majibu ya msanii mwenzake Bruno Mars baada ya "kumchenjia" mbele za watu pasipo kua . . .
DEREVA wa Mbunge wa Kibra Peter Orero ambaye alinaswa kwenye kamera akiendesha gari upande usiofaa wa barabara siku ya Jumatatu ametozwa fai . . .
Kambi ya Madaktari Bingwa wa Mama Samia ni mpango wa serikali ya awamu ya tano ya kusogeza huduma za afya kwa wananchi hasa huduma za kibing . . .
KIJANA MMOJA mkazi wa Yombo Wilaya ya Temeke Hamza Kaisi amejikuta akiangukia katika mikono ya serikali baada ya Mahakama ya Wil . . .
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia washtakiwa wanne matatani baada ya kuwakuta na kesi ya kujibua mbapo w . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya chini ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (SACP) Benjamani Kuzaga amesema kielekea kilele cha mbio za m . . .