YANGA ipo jijini Mwanza kwa ajili ya mechi mbili ngumu, lakini hapohapo wakapeleka salamu nzito kwa watani zao Simba watakaokutana nao M . . .
Saido Ntibazonkiza yupo kwenye majadiliano na Yanga kuhusiana na muda wa mkataba wake mpya huku Mwanaspoti likitaarifiwa kwamba amegomea w . . .
Rais wa Ukraine anaendelea na ziara yake kupitia mkutano kwa njia ya video na viongozi wa dunia. Volodymyr Zelensky atahutubia Jumatat . . .
Serikali ya New Zealand imetangaza kwamba itatuma nchini Uingereza takriban wakufunzi thelathini wa kijeshi kuwafunz . . .
Hatimaye Serikali imesikia kilio cha wananchi juu ya malipo ya kuvuka daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Saalam na kubad . . .
Siku moja baada ya mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi kutangaza kuwasimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia . . .
Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa mataifai amelishtumu kundi la M23 linaloendesha harakati zake nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Con . . .
Rais wa Senegal Macky Sall Jumapili amesema atafanya ziara siku za hivi karibuni nchini Russia na huko Ukraine kwa niaba ya Umoja wa A . . .
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan alitangaza Jumapili kwamba ataongoza maandamano ya amani dhidi ya serikali kwenye mji mkuu . . .
Serikali za mataifa duniani zinatakiwa kutoa ruzuku kwa ajili ya gharama ya chakula na nishati kwa watu maskini zaidi katika jamii, mkuu . . .
Serikali ya Ukraine inasema haitakubali makubaliano ya kusitisha mapigano na Urusi ambayo yanahusisha kuachia eneo - katika hali inayoon . . .
Halmashauri kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake B . . .
Rais wa Marekani Joe Biden anawasili Tokyo Jumapili hii baada ya kukaa zaidi ya siku mbili nchini Korea Kusini ili . . .
BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Uru . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameondoka Korea Kusini na kuelekea Japan leo Jumapili. Biden ametoa salamu na ujumbe mfupi kwa rais wa Korea . . .
Kisa cha kwanza cha homa ya nyani kimegunduliwa nchini Israel kwa mtu aliyerejea kutoka nje ya nchi. Mamlaka nchini humo zinachunguza visa . . .
Mahakama Kuu ya mji mkuu wa Pakistan, Islamabad imeamuru uchunguzi ufanyike juu ya kitendo chenye utata cha kukamatwa kwa aliyekuwa waziri . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Mhe. Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mas . . .
Jeshi la Mali lilizuia vikosi vya Umoja wa Mataifa kufanya doria katika mji wa kati wa Djenne kiini cha ghasia na harakati za wanajihadi . . .
Serikali ya Somalia imetoa dola milioni 9.6 ilizozikamata kutoka kwenye ndege ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Mogadishu miaka . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy leo ameishukuru Marekani kwa msaada ziada wa dola bilioni 40 ulioidhinishwa na Bunge mjini Washington . . .
Mataifa kadhaa duniani yamethibitisha maambukizo ya homa ya nyani siku kadhaa tangu Uingereza ilipotangaza mripuko wa maradhi hayo yanay . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amewasili nchini Korea Kusini leo kwa ziara itakayomfikisha pia nchini Japan inayofanyika chini ya kiwingu cha . . .
Waziri wa Utali nchini Kenya, Najib Balala alisema kwamba Zaidi ya ndovu 70 wamefariki nchini humo, kutokana ukame a . . .
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema uchunguzi wake umebaini kuwa, muigizaji wa filamu ya Hotel Rwanda, Paul . . .
Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua udan . . .
MAADHIMISHO ya Siku ya Kutokomeza Fistula Duniani, Kitaifa nchini Tanzania yatafanyika jijini Mwanza katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa . . .
Aliyekuwa kamanda vikosi vya Amhara nchini Ethiopia, jenerali Tefera Mamo, anazuiliwa katika jijini la Bahir Dar, baada yake kutoweka kwa . . .
Waziri mkuu wa Rwanda, Edouard Ngirente, amesema awamu ya kwanza ya wahamiaji kutoka nchini Uingereza, watawasili nchini Rwanda hivi kar . . .
Mawaziri Dkt. Dorothy Gwajima wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Hamadi Masauni wa Mambo ya Ndani ya Nchi, wam . . .
Vyama vikuu vya upinzani nchini Guinea Jumatatu vimeapa kukaidi marufuku ya kutofanya maandamano iliyowekwa na utawala wa kijeshi, hatua . . .
Rais mteule wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, anasema serikali yake italenga masuala ya haraka ikiwa ni pamoja na usalama, kufufua uchu . . .
Wataliban wa Pakistan wamesema wataendeleza muda wa kusimamisha mapigano na serikali ya Pakistan hadi mwishoni mwa mwezi huu. Wajumbe wa p . . .
Utafiti mpya umegundua kuwa uchafuzi wa mazingira wa aina zote ndio chanzo cha vifo vipatavyo milioni 9 kwa mwaka duniani kote. Idadi hiyo . . .
Mawaziri wa fedha wa nchi wa saba tajiri duniani, wanakutana kwenye mji wa Königswinter, magharibi mwa Ujerumani kujadili mpango wa kuisa . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2 . . .
Mbunge wa Chama cha Conservative ambaye jina lake halijatajwa amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Polisi wa Metrop . . .
Serikali imesema kuwa inaendelea kulishughulikia sauala la migogoro ya watu wa Mindu mkoani Morogoro hivyo wananchi wake wasiwe na wasiwas . . .
Mapacha wenye umri wa miaka 9 mkoani Arusha wanaoishi huku wanakula magodoro, wanaomba msaada ili wakatibiwe. Mama mzazi wa watoto hao, J . . .
Maafisa wa serikali ya Korea Kusini na Marekani wanasema Korea Kaskazini inaonekana kujiandaa kufanya jaribio la kombora la masafa marefu . . .