logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Tajiri anayetarajiwa kuimiliki kampuni ya Twitter yuko tayari kumruhusu Donald Trump kutumia tena mtandao huo

Tajiri anayetarajiwa kuwa mmiliki wa kampuni ya Twitter Jumanne amesema atamuruhusu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kutumia tena . . .

Mastaa
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Paula Arudi Kivingine Yupo sawa Baada Ya Rayvanny Kurudi Kwa Fahyma

Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania ambaye umaarufu wake ulipanda zaidi baada ya kuwa kwenye . . .

afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mtoto wa Rais Museven Afikishwa Mahakamani kwa Kuutaka Urais wa Uganda

Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiw . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mbwa Atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Rais kwa Kugundua Mabomu Ukraine

Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky amemtunukia tuzo ya heshima ya Rais mbwa aliyepewa jina Pattern kwa huduma zake tangu uvamivi wa Urusi. . . .

Jamii
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Wanawake wa Kiislamu nchini India wapinga ndoa za wake wengi

Hatua ya mwanamke wa Kiislamu mwenye umri wa miaka 28 ya kuomba mahakama nchini India kumzuia mme wake kuoa mke mwingine bila ya ridhaa . . .

Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mfahamu mtu wa kwanza kuchambua soka kwa teknolojia ya kompyuta

Siku moja nzuri mnamo Machi 1986, Richard Pollard alifika Fiji kufundisha katika Chuo Kikuu cha Pasifiki Kusini.Siku moja aliona katika sa . . .

Afrika Mashariki
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Wafananisha bomu la ardhini na Magimbi Kenya

Bomu la ardhini la enzi za ukoloni ambalo halijalipuka lilmegunduliwa katika kijiji kimoja katikati mwa Kenya ambapo baadhi ya wakazi wa . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Goodluck Jonathan: Rais wa zamani wa Nigeria akataa uteuzi wa APC

Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan amekataa kupokea fomu ya uteuzi wa Urais , akisema kuwa ilinunuliwa bila ridhaa yake.Fomu . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Mbunge ataka wafanyabiashara sokoni walipwe fidia kwa kuunguliwa na moto

Mbunge wa viti maalumu, Cecilia Pareso ameitaka Serikali ilieleze kwanini fidia hailipwi kwa wafanyabiashara ambao bidhaa zao huungua pi . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • May 10, 2022

Serikali yatoa Sh100 bilioni kupunguza bei ya mafuta

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetoa ruzuku ya Sh100 bilioni kwa ajili ya kupunguza bei ya mafuta nchini.Akizungumza . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Zelensky ataka bandari za Ukraine zifunguliwe

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito hatua zichukuliwe kuzifungua bandari nchini mwake kuepusha mzozo wa chakula duniani. Zele . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi ikipokea magari 4,300

Meli kubwa ya shehena ya magari yapatayo 4,397 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam na kuvunja rekodi, ikiwa na idadi kubwa ya maga . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Uganda

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Jumanne Mei 10 -11, 2022, kwa mu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Bunge la Marekani kupitisha msaada zaidi kwa Ukraine

Wanasiasa wa chama cha Democratic nchini Marekani wamekubali kuharakisha msaada zaidi wa dola bilioni 39.8 kwa ajili ya Ukraine na hivyo k . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Papa Francis aahirisha ziara yake Lebanon

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameahirisha ziara yake nchini Lebanon iliyokuwa imepangwa kufanyika mwezi Juni mwaka huu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Rais mpya wa Korea Kusini kuapishwa leo

Rais mpya wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol anaapishwa leo katika sherehe itakayogubikwa na majaribio ya hivi kariuni ya silaha za nyuklia ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Marekani yamshitaki seneta mauaji ya rais wa Haiti

Seneta wa zamani wa Haiti anakabiliwa na mashitaka nchini Marekani kuhusiana na mauaji ya rais wa zamani wa Haiti Jovenel Moise. John Joel . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Waziri mkuu wa Sri Lanka ajiuzulu kufuatia mzozo mbaya wa kiuchumi

Waziri mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaska amejiuzulu Jumatatu kufuatia wiki kadhaa za maandamano yanayomtaka yeye na kaka yake, Rais . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Iran inadai inauza nje mafuta mengi licha ya vikwazo vya Marekani

Rais wa Iran Jumatatu amesema nchi yake inauza nje mafuta mara mbili zaidi ya wakati alipoingia madarakani mwezi Agosti, na licha ya vik . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 10, 2022

Wafanyabiashara waonya juu ya athari za hatua ya kusitisha ukopeshaji kwenye benki

Hatua ya Zimbabwe ya kusitisha ukopeshaji wa benki itakuwa na matokeo mabaya, itaunda mfumo sambamba wa benki na kukwamisha juhudi za . . .

Afrika
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Mashirika ya ndege ya Nigeria yasitisha mipango ya kugoma safari za anga

Mashirika ya ndege ya Nigeria yamesema yamesitisha mpango wa kusitisha safari za ndege za ndani kuanzia Jumatatu kupinga ongezeko la gha . . .

Vita
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Simulizi ya uvamizi wa Hitler na kushindwa kwake

Urusi ilijiingiza katika vita miaka 77 iliyopita na vita hivyo vinazidi kukumbukwa katika historia.Vita hivyo, vilivyoanzia Leningrad hadi C . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Henn-Na Hotel; Hoteli Ya Kijapani Inayohudumiwa na Maroboti

HEBU VUTA PICHA, unaenda hotelini na badala ya kupokewa na wahudumu, mapokezi unakutana na roboti lililotengenezwa kwa mfano wa mwanamke . . .

Elimu
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Necta Yatoa Angalizo Mtihani wa Kidato cha Sita kwa Wamiliki wa Shule Nchini

JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza kidato y . . .

Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Matajiri na maskini wanavyoishi sawa mtaani

Matajiri na maskini sasa wanaishi katika mazingira yanayowiana, hivyo ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kile kinachoonekana katika jamii huku . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Wananchi wafunga ofisi ya kijiji, waacha ujumbe

Wananchi wa kijiji cha Rau River Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamefunga ofisi ya kijiji hicho wakidai wanashinikiza kufanyika mikuta . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • May 9, 2022

Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku, atoa agizo

Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza mawazi, makatibu wakuu wa baadhi ya Wizara kutafuta suluhisho la haraka la kukabiliana na tatizo la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Marekani na mataifa ya G7 waafikiana kupiga marufuku ununuzi wa mafuta ya Russia

Marekani na mataifa mengine yenye uchumi mkubwa duniani yanayounda kundi la G7 yaliyokutana Jumapili yameafikiana kupiga marufuku au k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Yanga haitaki utani, kocha atangaza vita mpya

YANGA itashuka uwanjani leo, huku ikiwa haijaonja ushindi katika mechi mbili zilizopita, lakini Kocha Msaidizi, Cedric Kaze amesema sare . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Watu kadhaa wauwawa na waasi mashariki mwa Congo

Watu kadhaa wameuwawa na wengine wengi hawajulikani waliko baada ya wanaume waliokuwa wamejihami na silaha kuivamia kambi ya uchimbaji m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Kura za mapema zaanza kupigwa Australia

Upigaji kura wa mapema umeanza nchini Australia leo, wiki mbili kabla siku ya kupiga kura, huku matokeo ya utafiti wa maoni yakionesha cha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Chama cha CDU chashinda uchaguzi Schleswig-Holstein

Chama cha kihafidhina cha Ujerumani cha Christian Democratic Union, CDU kimeshinda uchaguzi katika jimbo la Schleswig-Holstein. Takwimu ra . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Mrembo Afungwa Jela Miezi 6 kwa Kutoboa Kondomu za Mpenzi Wake.

Mahakama moja nchini Ujerumani imemhukumu mwanamke mwenye umri wa miaka 39, kifungo cha miezi sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kuha . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Mwanamume Ahukumiwa Kifungo cha Miezi 3 Jela kwa Kuiba Sahani 3.

Mwanamume mwenye umri wa miaka 23, amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukiri mashtaka ya kuiba chupachai na sahani tatu za m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 9, 2022

Raia 60 wa Ukraine wauwawa katika shambulizi la bomu

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema raia 60 wameuwawa wakati shambulizi la bomu la Urusi lilipoiharibu kabisa shule moja katika en . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 6, 2022

Yanga yatangulia CAF

SARE iliyopata Simba dhidi ya Namungo na kichapo ilichopewa Azam FC kutoka kwa Kagera Sugar, imewarahisishia kazi Yanga, kwani vinara hao . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2022

Wanamgambo wa Libya wanaoungwa mkono na serikali wanakanusha ripoti ya mateso ya Amnesty

Wanamgambo wa Libya wanaoungwa mkono na serikali yenye nguvu siku ya Alhamis walikanusha tuhuma za mauaji, mateso, na kazi za kulazimish . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2022

Marekani inapanga kuelezea sera yake kwa China kabla ya mkutano wa June

Marekani inapanga kuelezea kikamilifu sera yake kwa China kabla ya mfululizo wa mikutano ya ngazi ya juu na viongozi wa Asia na mkutano . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2022

Marekani inalaani shambulizi la Al-Shabaab lililopelekea vifo vya wanajeshi wa Burundi

Serikali ya Marekani imesema inasimama pamoja na Burundi wakati ikikabiliana na shambulizi la Al-Shabaab hapo Mei 3 kwa wanajeshi wa B . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 6, 2022

Zelenskyy aelezea changamoto ya upatikanaji wa dawa Ukraine

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenksyy amesema kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma za matibabu na dawa katika maeneo ya mashariki . . .

Kurasa 170 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category