Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, jana Jumamosi ametoa tena wito wa kufanya mkutano na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin, katika juhudi z . . .
Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amemshukia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na watu wanaomsema vibaya Rais wa Awamu ya . . .
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo . . .
MCHEZAJI wa soka, Mbrazili, Neymar Jr, amefunguka jinsi anavyompenda mpenzi wake mpya, Bruna Biancardi, walipokuwa wakisherehekea bethdei . . .
KLABU ya Kaizer Chiefs na Kocha Stuart Baxter wamefikia makubaliano ya pamoja ya kuvunja mkataba wa kocha huyo aiyerudi kuifundisha klabu . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania wenye tabia ya kuwaficha watoto Wenye Ulemavu kuacha mtindo huo badal . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna . . .
Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limesema mpango wa majaribio wa chanjo ya malaria katika nchi za Kenya, Ghana na Malawi unaendelea vyema. . . .
Rais mstaafu Mwai Kibaki amefariki dunia.Kifo chake kilitangazwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo Ijumaa, Aprili 22 adhuhuri wakati wa kikao na . . .
Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege hiyo i . . .
Jacqueline Ntuyabaliwe ambaye ni mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi, ameshinda pingamizi alilowekew . . .
Mbunge wa Kilindi (CCM), Omary Kigua ameitaka Serikali kutoa vibali vya ajira kwa wateule wa Rais wanaowaondoa watumishi waliowakuta katik . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kwa Mkurugenzi wake wa huduma na elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo imetoa ufafanuzi baada . . .
Rais wa Marekani Joe Biden siku ya Alhamis aliidhinisha msaada mwingine wa kijeshi wa Marekani wa dola milioni 800 kwa Ukraine akitang . . .
Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka . . .
Makundi ya waasi wenye silaha nchini Chad siku ya Alhamis yaliushutumu mji wa Njamena kuzorotesha kwa makusudi mazungumzo huko Qatar a . . .
Rais wa zamani wa Honduras amepelekwa Marekani ili kukabiliwa na madai ya ulanguzi wa madawa ya kulevya, chini ya miezi mitatu tu baada ya . . .
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif amesema Walimu walionufaika kwa kupandishwa madaraja (vyeo) katika Serikali ya awa . . .
Club ya Manchester United imethibitisha kuwa Erik ten Hag (52) ndio atakuwa Kocha wao mpya baada ya msimu huu kumalizika.Erik ten Hag Raia w . . .
Kiongozi wa kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza, Ismail Haniya ametishia kuzidisha makali ya mapigano kati ya kundi hilo na Israel baad . . .
"Tuliwasiliana na Ubalozi wetu Dubai na katika kufuatilia, imebainika kuwa mmiliki wake anatoka Marekani, sasa tunafuatilia mmiliki wa a . . .
Mtandao wa Google umezindua kituo cha ukuzaji wa bidhaa jijini Nairobi Kenya ambacho ni cha kwanza katika bara la Afrika ambacho kitakua . . .
Mahakama nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 Mchina aliyetambuliwa kwa jina la Shujun Sun baada ya kupatikana na hatia ya kuwatesa . . .
Ndege iliyokuwa imebeba abiria 60 ikitokea Nairobi kuelekea Uganda, iliteleza na kutoka kwenye njia yake ilipokuwa ikitua katika uwanja wa n . . .
Karibu watoto 1,900 chini ya umri wa miaka 5 wamefariki kutokana na utapiamlo katika eneo la Tigray katika kipindi cha mwaka mmoja uliopit . . .
Ukraine imetoa wito wa mazungumzo ya haraka na Urusi mjini Mariupol, mji unaokaribia kutekwa baada ya wiki kadhaa za uvamizi wa Urusi huku . . .
Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka amedaiwa kukamatwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi na kumpeleka katika ofisi za Wizara ya Mambo ya . . .
Sakata la usafiri wa bodaboda na bajaji kuingia Katikati ya Jiji la Dar es Salaam limetua bungeni baada ya Mbunge wa Ukonga (CCM), Jelly . . .
Jeshi la Afrika kusini hadi sasa limetuma wanajeshi 400 kati ya elfu kumi waliotengwa kwa ajili ya operesheni za dharura, misaada, na uj . . .
Italy siku ya Jumatano iliingia mkataba na Angola ili kuongeza usambazaji wa gesi kutoka nchi hiyo ya kusini mwa Afrika huku ikihangai . . .
Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto . . .
Umoja wa Mataifa umesema waasi wa Houthi Yemen, wameamua kutowatumia tena watoto kama wanajeshi. Waasi hao wamewatumia maelfu ya watoto . . .
Viongozi wa kikabila kusini mwa Libya wamekifunga kisima kikubwa zaidi cha mafuta nchini humo. Ni hatua ya karibuni kabisa ya kufungwa kis . . .
Mvua kubwa inayonyesha Afrika Kusini imewaua karibu watu 443 na wengine kadhaa bado hawajulikani waliko. Mamlaka ilisema kuwa wanajeshi 10 . . .
Georgina Rodriguez wametangaza kifo cha mtoto wao wa kiume , wakisema kwamba ni uchungu mkubwa mbao mzazi yeyote anaweza kuhisi.Raia huyo wa . . .
Kila mwaka, mamilioni ya Waislamu hufunga wakati wa kutoka kwa jua hadi machweo kwa siku 30 kama sehemu ya likizo ya Ramadhani.Katika miak . . .
Waziri Mkuu Boris Johnson kwa mara ya kwanza atakabiliana na wabunge wenye hasira tangu atozwe faini kwa kuvunja sheria, wakati kashfa ya . . .
Sakata la madai ya wizi wa kura limeibuka bungeni ambapo Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga amesema wananchi wamewapa ushindi wa kishind . . .
Kijana ambaye hajafahamika haraka jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 mpaka 30 mkazi wa Igoma halmashauri ya mji wa Nj . . .
Kuwa na mwenza maishani ni jambo zuri kwa kila mwanamke au mwanaume. Kupata mtu wa kukuoa au kuoa ni baraka. Inakuwa ngumu wakati watu wa . . .