Waandamanaji wawili waliuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano nchini Sudan siku ya Alhamis huku maafisa wa Umoja wa Mataifa na Um . . .
Mamia ya wanajeshi kutoka kitengo cha anga namba 82 cha Marekani wamepelekwa katika milima ya msituni ya mashariki mwa Poland kilomita . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameimarisha uhusiano na Colombia kwa kuiteuwa nchi hiyo ya Amerika Kusini kuwa mshirika mkuu wa Marekani asie . . .
Mkuu wa shirika la fedha duniani IMF, Kristalina Georgieva, amekutana na mawaziri wa fedha wa mataifa ya Afrika jana Alhamisi, kujadili at . . .
Wizara ya afya ya Tanzania imezindua zoezi la utoaji chanjo ya homa ya manjano baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuripotiwa katika nchi jira . . .
Sekta ya madini nchini imeweka historia ya mauzo ya moja kwa moja ya madini yenye thamani ya shilingi Trilioni 8.3 kwa kipindi cha mw . . .
Naibu wa kwanza wa balozi na mwakilishi wa kudumu wa Urusi Dmitry Polyanskiy amekanusha taarifa kuwa Urusi ilihusika kwenye shambulizi la . . .
Bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi ( PSPTB ) imetangaza matokeo ya mtihani wa 23 ya kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi ambapo wanafunzi 230 . . .
Shirika la Umeme (TANESCO) limesema kuanzia Julai mwaka huu litakuwa na mfumo wa ununuzi wa umeme ambao utawezesha wateja wao kuweka umeme . . .
Timu ya Young Africans itacheza mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Timu ya taifa ya Somalia iliyoweka kambi nchini Tanzania kujianda . . .
Bilionea Nick Candy amethibitisha kuwa na nia ya kutaka kuinunua Klabu ya Chelsea iliyowekwa sokoni na mmiliki wake, Bilionea wa Kirusi, . . .
Katibu wa Baraza Kuu la Kitaifa la Usalama la Iran, Ali Shamkhani, amesema Marekani haina nia ya kufikia makubaliano ya kuufufua mkataba w . . .
Maambukizi ya virusi vya corona nchini Ujerumani yamepindukia watu laki mbili na elfu hamsini (250,000) kwa siku moja kwa mara ya kwanza t . . .
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya Libya Stephanie Williams anajaribu kutafuta makubaliano mwezi huu kuhusu s . . .
Serikali ya Ukraine imesema itaanzisha hifadhi kubwa ya chakula cha kutosha kuwalisha watu na vikosi vya jeshi wakati huu wa uvamizi wa . . .
Ukraine imetangaza kuwaondoa wanajeshi wake 250 katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya K . . .
Mfugaji NarudashwaTitika mwenye umri wa miaka 45 mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani . . .
Kiungo kutoka nchini Croatia na klabu ya Real Madrid Luka Modric ametangaza hadharani kutaka kuona Mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe aki . . .
Kikosi cha RS Berkane kimeanza safari ya kuelekea Dar es salaam Tanzania, tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa 04 wa ‘Kundi D’ Kombe la . . .
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetolea ufafanuzi taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii kuhusu Joseph Haule Joseph Haule maarufu P . . .
Serikali sasa inawazia kulegeza masharti ya afya yaliyowekwa kufuatia mlipuko wa janga la COVID-19 miaka miwili iliyopita. Waziri wa Af . . .
Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ametoa wito hii leo wa kupata suluhu ya dharura kuhusu mvutano ulioibuka ya ombi la Poland la kuipele . . .
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ametia saini sheria ya kuongeza umri wa Msichana kutoa idhini ya kufanya mapenzi kutoka miaka 12 hadi . . .
KUFUATIA shambulio la hospitali ya wajawazito na watoto katika Mji wa Mauripol nchini Ukraine kutoka kwa majeshi ya Urusi, mawaziri . . .
Wizara ya Kilimo imegawa jumla ya lita laki moja za dawa ya kudhibiti viwavijeshi kwa wakulima wa maeneo yote yaliyoripotiwa kuwa na mlipu . . .
Mamlaka nchini Ukraine zinasema ndege za Urusi zimezishambulia hospitali tatu usiku wa kuamkia Alkhamis (Machi 10) magharibi mwa mji mku . . .
Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Caroline Mtapula amewataka mangariba katika Wilaya ya Simanjiro kuacha kukeketa watoto wa kike na kuwaozesha . . .
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Amesema mwaka huu Ataongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongama . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali ya Awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kipaumbele . . .
Ofisi ya Bunge inawajulisha Wabunge wote kufika Dodoma siku ya Alhamisi tarehe 10 Machi, 2022 kwa ajili ya Shughuli za Kamati za Kudumu za . . .
Siku ya Jumatano, Machi 2, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la kutaka Urusi isitishe mara . . .
Nchini Nigeria, watu wenye silaha wamewauwa watu zaidi ya 60 wanaolinda usalama katika kijiji chao wilayani Zuru kat . . .
RAIS Volodomyr Zelensky, amelihutubia Bunge la Uingereza (House of Commons) kwa njia ya mtandao na kuahidi kwamba watapambana mpaka kums . . .
Hivi karibuni kume kuwa na mijadala mingi inayomuhusu King Kiba; mfalme wa Bongo Fleva na C.E.O wa Lebo ya Kings Music na mke wa . . .
Supastaa wa Bongo Movies Kajala Masanja alivuma sana mwaka jana baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fl . . .
Iringa. Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Irin . . .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema serikali ipo katika majadiliano na mapitio . . .
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maswala ya Ukimwi, Kifua Kikuu, Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoya kuambukiza imetumia Siku ya Wanawake D . . .
Beki wa Kulia wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Shomari Salum Kapombe amewatoa hofu Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo, kuhusu . . .
Mrembo mmoja raia wa Zambia mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Teresia, amefichua kuwa yeye huchumbiana na wanaume wote ambao . . .