logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Burudani

  • Pata Habari Zote Za Burudani Hapa
news
TAMASHA
  • Na Asha Business
  • November 28, 2022

Wizkid ashinda tuzo kwa wasanii Afrika

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid ndiye mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yoyote Barani Afrika. Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Wiz . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Amber Lulu Ndoa Yanukia

Msanii  wa muziki wa Kizazi Kipya Amber Lulu ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia.Amber Lulu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

JAY MOE MUZIKI WA AMAPIANO KWAKE SIO DILI.

Msanii wa bongo rap Jay Moe akataa kufanya muziki aina ya amapiano kulingana na kuwachanganya mashabiki.msanii huyo ameeleza kuwa  wasanii wa rap pindi wanaporap kwe . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

YOUNG JEEZY ACHUKIA NENO "OG"

Msanii wa Hip Hop Young Jeezy wa Marekani amekataa kutumia neno "OG" kulinganana na maana ya neno hilo. Neno OG maana yake ni ORGINAL GANGESTER  na neno hili hata bo . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2022

Cheed na Killy wako huru sasa

Wasanii wa bongo fleva killy na cheed wamethibitisha leo kupitia insta story zao kuwa wako huru kwa sasa kutokana na suala mikataba yao amabayo ili kua na utata na wameel . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

Wafanyakazi Tisa Mbaroni Kifo cha Mtoto wa Davido

Baada ya kifo cha mtoto wa Davido Watu 9 washikiliwa akiwemo Mpishi wa Mtoto huyo wa Staa ,Ifeanyi ambae amefariki katika Swimming pool ya Nyumbani huko Lagos wanashikili . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

MASHABIKI WAMPANGIA NAMELESS KUPATA MTOTO WA KIUME

Msanii wa Kenya Nameless na mke wake Wahu Kagwi wamebarikiwa kupata mtoto wa tatu wa kike wiki tatu zilizopita na mshabiki wake wakitaka wapate mtoto wa kiume.Moja ya sha . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

KANYE WEST YAMKUTA MAZITO

Makampuni makubwa takribani 5 tayari yamevunja ushirikiano wa kibiashara na Kanye West kufuatia maneno na matamshi yake yenye ukakasi na kudaiwa kujaa chuki na ubaguzi dh . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Msanii AT aje na jipya tena

AT ambaye ni msanii wa zamani ametoa taarifa rasmi ya kutokulitumia tena jina la AT na sasa akitambulika kwa jina la BEY.Bey @iamthebey ambaye hafanyi muziki wa mduara, k . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

Masha love Amchafua Jimmy Mafufu, KisaMimba

Masha Love kumchafua Muigizaji Jimmy Mafufu. Kiufupi Masha Love alikuwa mchepuko wa Jimmy. Watu hawa Wame-date kwa siri sana, hatimae Mimba ikaingia na hapo matatizo . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 18, 2022

SOLEMZO P AIBUKA NA “ISSUES”

Anaitwa Solomon Ogbeide Ambaye Anawakilisha Esan Igueben Katika Jimbo La Edo Huko Nigeria.Solemzo Ni Mwanamuziki Wa Miondoko Ya Afro Hippo Pamoja Na Afro Beat Ambaye Maka . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 18, 2022

Zuchu achaguliwa kutumbuiza tuzo za AFRIMMA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu amechakuliwa kuwa mmoja ya wasanii ambao watatoa burudani siku ya utoaji tuzo za AFRIMMA mnamo Novemba 19 mwaka huu katika . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2022

Foby atoa ya mayoni juu ya Hamisa Mobeto

Msanii wa Bongofleva foby ameamua kutoa ya moyoni mwake kwa hamisa mobetto ambaye hawako sawa hivyo akihitaji wamalize tofauti zao.Foby ametumia insta story yake kumuangu . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2022

Hamisa Mobeto " Mwanaume Anayenioa Amepata Chombo"

Hamisa Mobeto Hamisa Mobetto ambaye ni mwanamke staa nchini Tanzania anayetajwa kuwa mwenye mvuto kuliko wote kwa sasa ambaye amefunguka na kuungwa mkono kwamba, mwanaume . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 14, 2022

Akon aliwahi kumtumia mdogo wake kwenye show bila mashabiki kujua

Kama uliwahi kuhudhuria onesho lolote la Akon, basi unaweza kuwa ulipigwa na hakuwa yeye bali ni mdogo wake, Abou Thiam. Mwanamuziki huyo na Mfanyabiashara amekiri kuwahi . . .

news
Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • October 13, 2022

MTAYARISHAJI NGULI WA MUZIKI KUTOKA NIGERIA MASTERKRAFTS KUJA NA EP.

Sunday Ginikachukwu Nweke Maarufu Kwa Jina La Masterkraft Mtayarishaji Wa Muziki Kutoka Nchini Nigeria Ambaye Amefanikiwa Kufanya Kazi Na Wasanii Mbali Mbali Kutoka Nchin . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 13, 2022

Zuchu aingia tuzo za MTV EMA, kipengele kimoja Burna boy, Tems na Ayra Starr na wengine

Zoezi la upigaji kura limezinduliwa rasmi leo kuwapa nafasi mashabiki kuwapigia kura Wasanii na kazi za sanaa ya muziki wazipendazo na kuwezesha ushindi wao kwenye vipeng . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

DJ Khaled atinga studio na Burnaboy

Producer maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla DJ Khaled amekutana na staa wa muziki barani Africa Burnaboy studio na kurekodi baadhi ya nyimbo wakiwa pamoja.Taar . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 12, 2022

Justina Syokau " Nataka Nifanye Upasuaji Wa Kuongeza Makalio Ili Niwavutia Wanaume kwa Mungu"

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Justina Syokau amefichua mipango yake kuhusu kufanyiwa upasuaji ili kuongeza makalio yake.Mwimbaji huyo alidai kuwa ataanza na upasuaji ujuli . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 10, 2022

Burna Boy Aalikwa Paris Kwenye Party ya Beyonce

 BurnaBoy amealikwa kwenye Private Party ya Beyonce, unaambiwa ni watu wachache sana Wamealikwa kwenye party hiyo. Wangekuwa Ndugu zetu wamealikwa tusingepumua.Hii s . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2022

Mume wa Vera Sidika Afunguka "Nitampenda hadi mwisho"

Mwimbaji wa muziki toka Kenya, Brown Mauzo yeye kwake umbo la kuvunja chaga sio inshu, ameeleza kwamba atampenda zaidi mke wake Vera Sidika na muonekano huu alionao hivi . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 5, 2022

Kill Paul Aupiga Mwingi Kwenye Tv Show Kubwa

Mtengeneza wa Maudhui maarufu nchini Tanzania, ambae amejizolea umaarufu mkubwa Kwenye Mtandao wa Tiktok Pamoja na Instagram Maudhui ambayo yalimfanya ajizolee mashabiki . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 4, 2022

Kim Kardashian afungiwa kutangaza crypto

Mwanadada maarufu Kim Kardashian amefungiwa kwa miaka mitatu kuitangaza na atalipa faini ya dola milioni 1 ili kulipia mashtaka ya serikali dhidi yake ambapo alipendekeza . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 3, 2022

Davido Aingia Kanisani Baada ya Kuasi Kwa Miaka Mitatu

Supastaa Davido ameweka wazi kwamba jana Jumapili alifanikiwa kuingia Kanisani na kutekeleza Ibada ikiwa ni miaka mitatu kutokufanya hivyo.Davido ameeleza hilo kupitia in . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Queen Darleen “Acha Wanione Mjinga”

Msanii wa Bongo Fleva Queen Darleen aliye chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ya Diamond Platnumz ambaye ameibuka kusema kwamba acha watu wamuone mjinga baada ya k . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2022

Rapa Coolio Afariki Dunia

Rapa wa Marekani Coolio amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Coolio ambaye alipata umaarufu kwenye miaka ya 90 akiwa na Hits zake kama “Gangsta's Paradise” na . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 27, 2022

Official Lyyn " Diamond Platnumz Alikuja Kwetu Kujitambulisha ili Anioa Mazima, Alinicheat "

Msanii wa Bongofleva, Official Lyyn ameongea kuhusu mahusiano na Diamond Platnumz kwenye kipindi cha Lavi Davi cha Wasafi FM na Diva,Official Lyyn Amesema, "Nimekaa na Di . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Chege Chigunda " Kulipwa Milioni 25 na Rayvanny"

Mwanamuziki Chege Chigunda akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es salaam amefunguka kutokulipwa kiasi cha Sh Milioni 25 na msanii Rayvanny kama ambavyo Mwij . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2022

Wakazi Apata Ajali Mbaya ya Gari Nchini Marekani

Mwanamuziki wa Hip Hop Nchini Wakazi ametangaza kunusurika Kifo kwenye ajali mbaya ya gari. rapper huyo kwa sasa yupo zake nchini Marekani, Kupitia taarifa yake ambayo am . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 22, 2022

Rapa cardi B " harusi yangu ni sasa"

Rapa Cardi B kutoka Marekani, ameweka wazi kuwa ni muda wa harusi yake sasa na mumewe rapa Kiari Kendrell Cephus maarufu kama Offset, baada ya kufikisha miaka mitano ya n . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 21, 2022

Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika Spotify

Wasanii wa Nigeria wameitawala Top 20 ya wasanii wa Afrika ambao wana idadi kubwa ya wasikilizaji wa mwezi kwenye mtandao wa Spotify (Africa's Most Spotify Monthly Listen . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Kanye West Avunja Mkataba na Kampuni ya Kuuza na Kusambaza Bidhaa Zake "Nitafanya Mwenyewe"

Rappa na mfanyabiashara Kanye West 'YE' anaripotiwa kuwa amefikia maamuzi ya kuvunja mkataba wake na Kampuni Ya GAP iliyokuwa ikihusika na uuzaji pamoja na usambazaji wa . . .

news
Mastaa
  • Na Asha Business
  • September 16, 2022

Dully Sykes "Wasanii Wengine Wananiita Mjinga"

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva princedullysykes ameamua kuvunja ukimya kufuatia baadhi ya wasanii wenzake wa zamani kumuona yeye kama mjinga anavyokuwa anafanya kazi na . . .

Kurasa 10 ya 14

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode