Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa: “20 years in the game, jana nimepata mrabaha wa kwanza, imechukua muda lakini mwanzo mzuri. Sheria ya hakimi . . .
Mwanadada mkali wa muziki wa dancehall kutoka nchini Jamaica ambaye amefanikiwa kwa asilimia kubwa kuliteka soko la muziki nchini marekani shanseea ambaye mapaka sasa ame . . .
Nasma Ambaye Ni Mrembo Aliyefanikiwa Kupendezesha Video Mpya Ya Wimbo Wa Utu Wake Alikiba Kutoka Katika Album Yake Wimbo Ambao Umekuwa Na Mapokeo Mazuri Na Makubwa Sana.N . . .
BABY mama wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa almaarufu Rayvanny ambaye ni Fahyma, anasema kuwa, kama wameachana rapa wa Marekani, Kanye West na mwanamitindo Kim . . .
Msanii Skales kutoka Nigeria ambaye tangu aingie kwenye tasnia Huu ni mwaka wake wa 12 , Skales ameongeza thamani kutoka kuwa Msanii Mdogo Mwenye Kipaji (talanta) mpa . . .
Masanii Ambaye Anataaluma Ya Udaktari Kutoka Nchini Tanzania Amabye Pia Amewahi Kuingia Katika Vichwa Vya Habari Vingi Kuwa Katika Mahusiano Na Mrembo Toka Kenya Vera Sid . . .
B Gway Ambaye Mwaka Jana Alifanya Vizuri Na Wimbo Wa Mwaka Huu Wimbo Ambao Pia Ulimvutia Msanii Wa Muziki Diamond Platnumz Kutokana Na Ubunifu Ambao Aliutumia Katika Vide . . .
Ni January 25, 2022 ambapo Mahakama imetoa uamuzi wa kesi iliyomkabili rapper Cardi B dhidi ya Mwanadada Tasha K. Mahakama hiyo imemkuta hatiani Tasha K na kumtaka amlip . . .
Karibu kutazama video Mpya ya Foby ikiwa ni wimbo kutoka katika Ep Yake ya Me Myself and I. . . .
HARMONIZE - MWAKA WANGU . . .
Alianza kung’ara kupitia muziki wake akiwa kama yeye na baadae kushikwa mkono na Ommy Dimpoz chini ya Pkp ambaye pia alifanikiwa kumuinua kwa kiasi kikubwa sana lakini . . .
Mchekeshaji maarufu na mtangazaji wa tv na radio Broderick Stephen Harvey a.k.a Steve Harvey ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa katika sekta ya burudani duniani.Sasa . . .
Msanii wa muziki wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania ambaye pia anafanya vizuri kwa sasa na ep yake ya MMI,Foby ambaye ameachia video ya moja ya wimbo wake ambayo inapa . . .
Tamasha la sauti za busara (sound of wisdom) limekuwa moja ya tamasha pendwa Afrika mashariki na hata Afrika kwa ujumla kutokana na namna tamasha hilo lilivyobeba.Maudhui . . .
Mwanamitindo na msanii maarufu Bongo, Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.Akizungumza katika mahojiano na runinga . . .
Rapa kutokea Marekani, Kodak Black amesema mwaka 2022 anataka kuiondoa laana ya kwenda jela tofauti na miaka mingine.Kodak Black amesema tangu atimize miaka 14 hajawahi k . . .
ALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa wiki kadhaa sasa.Inasemekana kuwa, Nandy au . . .
SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya habari vitakavyotumia kazi zao . . .
Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na I wish ya Kusah. Kupitia . . .
Huku wakivalia vazi lao la kitamaduni la jamii ya Maasai na kuzungukwa na ng'ombe, nyota wapya wa Tanzania katika mtandao wa TikTok ambao ni ndugu Kili na Neema Paul, wan . . .
WANASEMA kuimba kupokezana! Kila mwaka wasanii wapya huingia kwenye gemu ya muziki wa Bongofleva kama ambavyo wasanii wengine hufulia na kupotea. Na kwa sababu mwaka 2021 . . .
Unapowazungumzia wasanii wanaofanya vizuri kwa namna wanavyoigiza na kuuvaa uhusika kwa sasa, huwezi kuacha kumtaja Godliver Gordian, maarufu Anna wa ‘Juakali’.Godliv . . .
NYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zil . . .
Mtunzi na mwimbaji nyota wa miondoko ya Soukous, Koffi Olomide ameachia kibao anachokiita jina la "Chief", akimshirikisha malkia wa Afrobeats kutoka Nigeria, Tiwa Savage . . .
Katika hali isiyotarajiwa, mwimbaji wa Bongofleva, Nandy amedai yeye na mwenzake Zuchu walipata mapokezi na uangalizi mbovu kutoka kwa waandaji wa tuzo za All . . .
WALISEMA muziki ni vita kutokana na kila msanii kujipambania kutoboa na kujitangaza ndani na nje ya Afrika.Harmonize alitoa ya moyoni vita na vikwazo ambavyo anapitia kwe . . .
MWAKA 2021 huo unakaribia kwisha. zimebaki siku 18 kuuambia kwaheri.Wakati watu wataukumbuka kwa mambo mbalimbali yakiwemo ya kuhuzunisha na ya kufurahisha huenda kwa msa . . .
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Flebva @ommydimpoz ameipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada ya usiku wa kuamkia leo kuibuka mshindi wa kipengele cha Msanii bor . . .
Ilikuwa Kuelekea mwishoni mwa 2019 Harmonize aliamua kuondoka kwenye lebo ya WCB ya Diamond Platnumz akiwa ni msanii wa pili kufanya hivyo baada ya Rich Mavoko . . .
Msanii WizKid atunukiwa tuzo (plaque) ya Nyota wa Mchezo hii ni baada ya kuujaza ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu, ambapo ni Novemba 28, 29 na Disemba Mosi, ukumbi ambao . . .
Msanii Harmonize amekiwasha katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika Tamasha la Ibraah Home Coming . . .