Msanii wa Marekani Sean Combs, maarufu kama P Diddy ameshtakiwa na mtayarishaji wa muziki ambaye anamtuhumu kwa kumshambulia kijinsia na kumlazimisha kufanya ngono na mak . . .
Hawa ni baadhi ya watu maarufu duniani ambao hawapo katika mitandao ya kijamii ikiwemo Instgram na X zamani (Twitter) licha ya umaarufu na nguvu kubwa ya ushawishi waliyo . . .
Msanii wa kizazi kipya Vanilla Music,Amepiga stori na BfortyFive kwenye #BLACKbox Ameelezea kiu yake yakutamani kufanya kazi na Dizasita Vina kutokana na Aina yake ya Utu . . .
MWANAMUZIKI wa mtindo wa Africapopster Nadia Mukami amejitokeza kulaumu Chama cha Hakimiliki za Muziki Nchini (MCSK) kwa kukosa kumpa pesa z . . .
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wasanii wa sarakasi kutoka Tanzania Ibrahim na Fadhili Ramadhan wanaounda kundi la The Ramadhan Brothers ambao wame . . .
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa, Usher Raymond alilipwa ($671) sawa na TSh. Milioni 1.7 kutumbuiza kwenye Halftime ya Super Bowl, Jumapili tarehe 11. Kikawaida NFL huwa haw . . .
. . .
Meek Mill amewauliza swali lingine mashabiki wake kuhusu Afrika, lakini safari hii ni kuhusu wasanii gani kutoka bara hilo anatakiwa kufanya nao kolabo. Akitumia Twitter/ . . .
Mwimbaji wa muziki kutoka nchini marekani dua lipa inawezekana rasmi amezama katika mahaba na mwigizaji kutoka nchini uingereza ambaye anafahamika kwa jina la callum turn . . .
Dar es Salaam 14 Januari 2024: Shindano la kumsaka Miss University mwaka huu lililofanyika Ukumbi wa Mirado uliopo Sinza Dar usiku wa kuamkia jana (Jumapili) limetajwa ku . . .
Takriban Wahamiaji wasiopunguwa 6,618 walikufa au kutoweka wakijaribu kuingia Uhispania kupitia njia ya bahari mwaka 2023.Shirika la kutetea haki za Wahamiaji Nchini Hipa . . .
Mwanadada selena Gomez ambaye ni mwimbaji kutoka nchini marekani amekuwa akiandika vichwa vingi vya Habari katika matukio mbali mbali lakini karibuni alifunga midomo ya w . . .
IKiwa ni siku chache tangu mwimbaji kutoka nchini Nigeria atangaze kumchukulia rb msanii mwenzake ambaye ni davido kufatia vitisho ambavyo amekuwa akikutana navyo na kuwe . . .
Jeshi la Polisi la Jimbo la Lagos limethibitisha kupokea ombi la mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria, Tiwa Savage, kuhusu kudhulumiwa na kutishiwa maisha na mteul . . .
Mwanadada ambaye alitamba na wimbo wa new rules dua lipa ambaye amefanikiwa kufanya vizuri na kufikia chati mbali mbali za muziki duniani kwa kazi zake ikiwemo levitate&n . . .
Zarinah hassan maarufu kwa jina la zari the bosslady ambaye amekuwa akiingia katika vichwa vya Habari mbali mbali ,zari inafahamika hapa nchini Tanzania amewahi kuwa na m . . .
Producer na mshirika wa biashara wa Super Bowl halftime shows Shawn Carter Jay Z ‘HOV’ amesema anahisi atakuwa mbinafsi kama akijichagua mwenyewe kuperforme show hiyo . . .
Msanii wa muziki kutoka nchini nigieria ambaye kwa nafasi yake amefanikiwa kufanya vizuri katika majukwaa mbali mbali ya muziki ambayo kwa namna moja ama nyingine yamefan . . .
Msanii wa muziki kutoka nchini kenya masauti ambaye asili yake ni kutoka Mombasa ni moja kati ya msanii ambaye alifahamika Zaidi katika muonekano wa dread ambazo alikuwa . . .
Mkongwe wa muziki wa hiphop kutoka nchini marekani rapa Snoop Dogg anaendelea kuongeza nguvu kwenye wasifu wake unaoendelea kukua, akijiunga na utang . . .
Angela White, ambaye zamani alikuwa Blac Chyna, anaenda kupata sura mpya ... na anasema kupunguza ukubwa wa vipandikizi vya matiti yake imekuwa mchakato changamoto&n . . .
Mwanamuziki wa Hiphop nchini Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Kubanda.Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, @therelfidq ameandika “Ni . . .
Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs maarufu kama Puff au Diddy akawa katika nyakati ngumu kutokana na tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono zinazozidi kuibuliwa dhidi yake, lich . . .
Mwanadada mmoja mzaliwa wa Kenya aliyejitabulisha kwa jina Catherine almaarufu 'Kutu' Mkenya, amefunguka wazi na kusimulia upendo wake kwa msanii kutokea Tanzania Harmoni . . .
Member wa Kings Music Records Abdukiba amefunguka hawezi kuhama nyumbani kwao kwa sababu ya Mama yao ambaye hayupo tayari kuwaona wakiwa wanaishi tofauti tofauti pia anap . . .
Msanii wa muziki wa rap Sean "Diddy" Combs ametuhumiwa kwa ubakaji na biashara ya ngono na mwimbaji wa kike.Katika kesi iliyoonekana mpenzi wa zamani Casandra Ventu . . .
Mke wa zamani ambaye pia ni Mama watoto wa mwimbaji Jose Chameleone kutoka Uganda, Daniella Atim bado ana matumaini kwamba anaweza kupata mapenzi tena.Daniella Atim kwa m . . .
Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Video za albamu hiyo imechukuliwa katika maeneo . . .
Staa wa Afrobeats wa Nigeria Rema amewashukuru mashabiki wake kwa kuja kumtazama akitumbuiza kwenye onyesho lake la “Ravage Uprising” 02 Arena jijini London siku ya J . . .
Staa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ametangaza rasmi kuwa alhamis November 16, 2023 atamtambulisha Mkali mwingine mpya ambaye amemwaga wino . . .
Licha ya kucheleweshwa mara kadhaa, Ty Dolla $ign ameahidi mashabiki kwamba albamu yao inakuja hivi karibuni, "Coming Real Soon". Alitoa habari hizi wakati wa show yake, . . .
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeer ambaye alikuwa ni Dereva wa gari lililombeba mwanamuziki @chino_kidd7 na wenzake amefariki duniaNabeel amefariki dunia Alfajir . . .
Msanii Zuchu hatimaye amevunja kimya chake ikiwa ni siku chache tu baada ya walimu wakuu wawili kushushwa vyeo vyao kufuatia klipu ya wanafunzi katika shule zao wakicheza . . .