Burna Boy hashikiki amechukua tuzo ya BET usiku wa kuamkia leo kwa mara nyingine kwenye kipengele cha best international act.Kwenye kipengele hicho alikua akishindana na . . .
Akaunti ya YouTube ya msanii @officialalikiba inaonekana kuhakiwa na akunti ya jina likisomeka kampuni ya TESLA. Kupitia akaunti hiyo video zote zimefichwa na zimebaki mb . . .
Beyoncé na Jay-Z waliongoza chati mwishoni mwa wiki-sio kwa kutoa albamu kwa siri au tarehe mpya ya ziara ya ulimwengu ya Queen Bey, lakini kwa habari kwamba wanandoa wa . . .
Mwanamuziki maarufu Nigeria, David Adekele, anayejulikana na wengi kama Davido amesema kwamba anaendelea kumuomboleza mwanawe Ifeanyi Adekele kila siku.Davido alizungumza . . .
MSANII wa Nigeria, Habeeb Okikiola, maarufu kwa jina la Portable, amedai kuwa yeye ni 'mtu anayewajibika' kinyume na wengi wanavyomfikiria. Katika video iliyos . . .
Mkali wa Afrobeats, David Adeleke, almaarufu Davido, amefichua kuwa mtoto wake marehemu, Ifeanyi, ana kaka mdogo anayeitwa Dawson.Mwimbaji huyo alifichua haya katika maho . . .
Mcheshi Eric Omondi amemfurahisha mpenzi wake mjamzito Lynne, kwa kumpa zawadi ya kifahari gari aina ya Mazda SUV kama zawadi ya kumpa motisha wakati wa kujifungua. . . .
Otile Brown na meneja wake Joseph Noriega wameamua rasmi kusitisha makubaliano ya kufanya kazi pamoja, ikiwa ni baada ya ushirikiano mkubwa waliokuwa nao kwa takriban mia . . .
DJ Zinhle hayuko tayari kutembelea Durban hivi karibuni kufuatia kifo cha baba wa mtoto,wake Kiernan Forbes maarufu A.K.A Ikumbukwe kw . . .
Inafahamika kuwa megan Stallion amekuwa katika vichwa vingi vya Habari kufuatia lile Sakata dhidi yake na mwimbaji tory lanez.Fununu zilizosambaa katika mitandao mbali mb . . .
Shaffer smith maarufu kwa jina la neyo ambaye ni msanii wa muziki wa rnb kutoka nchini marekani aliyefanikiwa kwa nafasi yake katika mziki kushinda na kuchaguliwa kuwania . . .
Msanii wa muziki wa hiphop kutoka nchini Tanzania ambaye kwa sasa yupo nchini marekani roma mkatoliki ambaye pia anafanya vizuri na wimbo wake uitwao nipeni maua yangu.Ro . . .
Msanii wa muziki wa hiphop kutoka nchini marekani rick ross ambaye pia ni boss wa maybach music group.Rick ross mwaka jana alifanikiwa kufanya show yake ya kwanza ya maga . . .
Msanii na mwigizaji nick cannon kutoka nchini marekani ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika vichwa vya Habari kutokana na namna ambavyo amekuwa akipata Watoto na wa . . .
Wapenzi wawili ambao waliwahi kutikisa katika safu ya burudani wakiwa Pamoja shawn mendes Pamoja na mwanadada camia Cabello wameamua kurudi Pamoja na kuangali pale walipo . . .
Wasanii kutoka nchini kenya ambao wamekuwa wakifanya vizuri kwa kipindi kirefu na kwa mara kadhaa wamekuwa wakifanya muziki wao kama kundi n ahata walipofanikiwa kuanza k . . .
Mama mzazi wa msanii wa muziki kutoka nchini Africa ya kusini costa tich ambaye pia alikuwa anawakilisha titch gang aliyefariki mwanzo mwa mwaka huu march 12 huko afrika . . .
Karen mukupa ni msanii wa muziki wa hiphop ,rap na raggae kutoka nchini Denmark ambaye alizaliwa nchini Zambia na kukulia nchini Tanzania mpaka alipofika umri wa miaka 15 . . .
Msanii David Adeleke (Davido) ameeleza kuwa moja kati ya uamuzi bora zaidi kuwahi kuufanya ni kumpata mke wake Chioma.Kupitia mahojiano na kituo cha Redio, Beat 105 . . .
Inadaiwa kuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe na Mrembo Hamisa Mobeto wapo kwenye penzi la moto, hii imekuja baada ya wawili hao kupostiana kwa nyakati tofau . . .
Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.Msanii @kontawaa amebeba tuzo ya . . .
Kendrick Lamar ameivunja rekodi ya Drake, kwa kuwa rapper mwenye ziara ya muziki iliyotengeneza mkwanja mrefu zaidi.Kwa mujibu wa Touring Data, Big Steppers ya K.Dot ndiy . . .
Miezi miwili tangu kifo cha ghafla cha msanii wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA, familia yake imezungumzia nyakati zao za mwisho kabla ya tukio hil . . .
Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto.Hamisa amesema baadhi ya wanaum . . .
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' ameshare picha akiwa na tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dimpoz ameweka . . .
“Kama Uislamu Umekushinda Ondoka nenda kwenye Dini inayokufaa tuachie Waislam Dini yetu, Hii ni Dini ya Mwenyezi Mungu” – Sheikh Shareef Majini amefunguka kwenda kw . . .
Msanii maarufu nchini Guinea Grand P amemtoka kidosho mwenye umbo kali Eudoxie.Grand P na Eudoxie walikuwa wamezua gumzo mitandaoni na penzi lao moto huku picha za mahaba . . .
Abigail chams amekiri kuwa wasanii wamekuwa wakimtongoza lakini yeye anachukulia ni kawaida na ni asili ya mwanadamu akimuona binti mzuri basi atajaribu bahati yake.Hata . . .
Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda, ndani ya Album hiyo yenye ngoma 17 Mastaa kama #Asa . . .
Msanii wa muziki na mzaliwa kutoka nchini Congo ambaye makazi yake ni nchini ubeligiji ,homa homa ambaye amekuwa akifanya muziki kwa miaka kadhaa ameakuja kivingine na ku . . .
Msanii wa muziki wa Hip hop Stamina Shorwebwenzi ambaye ndoa yake ilidumu kwa miezi 7 amefunguka ya moyoni kueleza jinsi vijana wengi wanavyopitia magumu kwenye mais . . .
Katika orodha iliyotolewa kwa rapa wa Marekani wanaochaji kiasi kikubwa cha fedha ili uwashirikishe, Wakongwe wawili Jay Z pamoja na Kanye West imeelezwa kuwa wao wanacho . . .
Afrika Kusini inaomboleza kifo kingine cha mwanamuziki maarufu. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, rapa Costa Tsobanoglou maarufu kwa jina la kisanii Costa Tit . . .