Chini ya miezi miwili baada ya timu ya utetezi ya Dedrick Williams – mmoja wa washukiwa watatu katika kesi ya mauaji ya XXXtentacion – kuorodhesha mauaji ya wasanii k . . .
Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa msanii @harmonize_tz ameendeleza Tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango!Boss huyo wa Konde Gang mara hii ajiw . . .
Rapa Diddy amekanusha uvumi wa kuwa amemchana Burna Boy baada ya kushindwa kuondoka na Tuzo ya Grammy mwaka huu. Taarifa hiyo ilionekana mitandaoni ikionesha imetoka kwen . . .
Mwimbaji, na mtunzi kutoka nchin Nigeria Burna Boy amepoteza vipengele viwili alivyoteuliwa katika toleo la 65 la tuzo za Grammy 2023, zinazo enedelea Muda huu kwenye uku . . .
Baada ya kushinda tuzo ya Albamu Bora ya Muziki ya Dansi/Elektroniki, @beyonce sasa anashikilia rekodi ya wakati wote ya ushindi mwingi wa #Grammy @recordingacademy rekod . . .
Aliyekuwa mke wa hajismanara , rushaynah ametua Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kuongea na waanishi wa habari.Mrembo huyo amefika katika eneo hilo akiwa na walinzi.Rusha . . .
Shilole ambaye yeye binafsi hakuwahi kufika hata kidato cha nne sababu ya kukumbana na changamoto za kimaisha katika umri mdogo, amejitosa kusherehekea mwanae kufaulu . . .
Mwimbaji nyota wa muziki nchini, msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito. @iamrubyafrica ame-share picha hiyo inayoonesha ukubwa wa tumbo lake kupitia kuras . . .
Dr.Mwaka hajakubali kuachwa ageuka mbogo, adai yeye hajatoa talaka kwa Queen na atamshitakimtu yeyote anakayejitosa kumuoa, awalipua masheikh wa mkoaDr Mwaka amegeuka Mbo . . .
Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria Burna Boy ametajwa kumpa Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Zaidi ya Milioni 4 kwa ajili ya kwenda kurekebisha Camera yake ambayo aliian . . .
Timu ya Wanasheria wa Kanye West wamepanga kutumia njia ya Gazeti kumfikishia taarifa rapa huyo kuwa wamemtema rasmi na hawatamuwakilisha tena kwenye masuala yake ya Kima . . .
Mdau wa michezo hajismanara ametoa ya moyoni juu ya kuachana na aliyekuwa Mke wake mdogo rushaynah.Haji amekiri kuachana na Rushayna na ameweka wazi kuwa hayupo tayari ku . . .
Amefunguka juu ya kuondoka kwa wasanii kwenye Lebo ya Konde Gang ikiwa ni pamoja na "machawa'Meneja wa Harmonize ambaye pia ni CEO wa Jembe Media Limited inayomiliki kitu . . .
Trust me watoto wangu wana mambo mengi ya kujifunza duniani zaidi ya kuja kushangaa nguo za ndani za mama Yao . . .
Usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Ramada, staa mkubwa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanya bonge moja la shoo ambayo ilisheheni ubunifu wa hali ya juu, na kukonga . . .
Muigizaji na mchekeshaji hodari kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mtangazaji wa televisheni Nicholas Scott Cannon maarufu Nick Cannon na mrembo Alyssa Scott wamebariki . . .
Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa wiki kadhaa sasa na hata kw . . .
Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego amewaomba wasanii wenzake waache kulalamika sana."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babuta . . .
I think mmeshajulika kama nilazima mchokenolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende . Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe maana mtakua mmekamilisha male . . .
Rapper Drake ameliwa kiasi cha dola za kimarekani milioni moja katika mchezo wa betting baada ya kuipa ushindi Argentina kuifunga Ufaransa ndani ya dakika 90.Staa huyo wa . . .
Mwanamuziki wa nyimbo za asili na uhamasishaji nchini Tanzania, Mrisho Mpoto ameondoka nchini pamoja na bendi yake kuelekea nchini India katika tamasha kubwa la kid . . .
Kundi la muziki la Navy Kenzo limeomba radhi kufuatia kadhia iliyotolewa na mavazi ya wacheza show wao kwenye jukwaa la Fiesta jijini Dar es salaam, Dec 03, 2022."Tunaahi . . .
Tume Huru ya Mienendo ya Ufisadi na Makosa Mengine Yanayohusiana, (ICPC) imemkamata na kumweka kizuizini Msanii kutoka Nchini Nigeria @iambangalee ,Mwanamuziki huyo alika . . .
Mtayarishaji wa muziki mwimbaji na na mwandishi wa nyimbo za afro beat ama afro pop adegboye segun maarufu kwajina la shawbit ameachia ep yake ya kwanza kabisa katika muz . . .
Msanii wa bongo fleva Harmonize ametangaza kuwa kila mtu ambaye atataka kufanya nae kolabo lazima atoe hela ndipo ataweza kufanya kolabo.Ikiwa baadhi ya wasani . . .
Hatimaye mastaa Kanye West (YE) na Kim Kardashian mchakato wao wa Talaka umekamilika Jumatatu hii, wameripotiwa na TMZ kufikia maridhiano ya Talaka huku Kanye West atatak . . .
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid ndiye mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yoyote Barani Afrika. Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Wiz . . .
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Amber Lulu ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia.Amber Lulu ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na . . .
Msanii wa bongo rap Jay Moe akataa kufanya muziki aina ya amapiano kulingana na kuwachanganya mashabiki.msanii huyo ameeleza kuwa wasanii wa rap pindi wanaporap kwe . . .
Msanii wa Hip Hop Young Jeezy wa Marekani amekataa kutumia neno "OG" kulinganana na maana ya neno hilo. Neno OG maana yake ni ORGINAL GANGESTER na neno hili hata bo . . .
Wasanii wa bongo fleva killy na cheed wamethibitisha leo kupitia insta story zao kuwa wako huru kwa sasa kutokana na suala mikataba yao amabayo ili kua na utata na wameel . . .
Baada ya kifo cha mtoto wa Davido Watu 9 washikiliwa akiwemo Mpishi wa Mtoto huyo wa Staa ,Ifeanyi ambae amefariki katika Swimming pool ya Nyumbani huko Lagos wanashikili . . .
Msanii wa Kenya Nameless na mke wake Wahu Kagwi wamebarikiwa kupata mtoto wa tatu wa kike wiki tatu zilizopita na mshabiki wake wakitaka wapate mtoto wa kiume.Moja ya sha . . .