logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 13, 2025

Vifo vya Moto vyafikia 24, tahadhari yazidi kutolewa

Moto mkubwa mjini Los Angeles Nchini Marekani umesababisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao ambapo mpaka sasa vifo vimeongezeka na kufikia watu 24.Mkuu wa kikosi cha zima moto wa Los Angeles, Anthon . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Russia yaonya Trump kutokana na madai ya kutaka kuchukua Greenland

Russia imesema Alhamisi kwamba inafuatilia kwa karibu hali ya huko  Greenland, baada ya rais mteule wa Marekani Donald Trump kukatata kufuta uwezekano wa kutumia jeshi  na hatua za kiuchumi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Kamanda Muliro Athibitisha Dr Slaa Akamatwa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amethibitisha kukamatwa kwa Dk. Willibrod Peter Slaa, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mbunge wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

Mahakama ya Juu Marekani Yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake

Mahakama ya Juu nchini Marekani imetupilia mbali ombi la Rais mteule Donald Trump la kusitisha hukumu dhidi yake hii leo Ijumaa katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumiTrump alipatikana na hatia ya . . .

Teknolojia
  • Na Asha Business
  • January 10, 2025

TIKTOK Yathibitisha Kujiondoa Marekani

TikTok yathibitisha kusitisha huduma Marekani ifikapo January 19,2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wakeSerikali ya Marekani iliipa Masharti TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 9, 2025

Maelfu wakusanyika Washington Jumatano ili kutoa heshima za mwisho kwa Jimmy Carter

Maelfu ya watu Jumatano walikumbana na  baridi kali ili kwenda katika jengo la Bunge  la Marekani, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa  rais wa zamani Jimmy Carter, amabye mwili wake um . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 8, 2025

Kijiji cha Italia chawaamuru wakazi wasiugue

Kijiji cha Belcastro, kilichopo kaskazini mwa Calabria, Italia, kimewaamuru wakazi wake kuepuka magonjwa makubwa yanayohitaji huduma za dharura.Belcastro ni miongoni mwa maeneo maskini zaidi nchini It . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 8, 2025

Maelfu ya watu walazimika kukimbia moto mkali huko Los Angeles

Moto wa nyika unaowaka kwa kasi katika sehemu za Los Angeles, Marekani, umeharibu majengo na kusababisha msongamano wa magari huku zaidi ya watu 30,000 wakihamishwa.Maafisa wanasema, takribani ekari 2 . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 8, 2025

Bobi Wine amjibu Mkuu wa majeshi Uganda kwa kutishiwa kukatwa kichwa

Vita vya mitandaoni vimeendelea kutokota kati ya Mkuu wa jeshi la Uganda Generali Muhoozi Kainerugaba na mwanasiasa mashuhuri wa Uganda Bobi Wine.Hii ni baada ya mtoto wa Rais wa muda mrefu Yoweri Mus . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 8, 2025

Atolewa Uvimbe Wenye Uzito wa Kilo 5.5 Kwenye Mfuko wa Mayai

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, Januari 7, 2025 amefanyiwa upasuaji mkubwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, katika mfuko wa m . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 7, 2025

Kithure Kindiki Anatajwa Mwanasiasa Anayependwa Zaidi Mlima Kenya, Utafiti Mpya Waonyesha

Utafiti mpya unaonyesha kuwa Naibu Rais Kithure Kindiki huenda akaunganisha eneo la Mlima Kenya lenye kura nyingi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kura ya maoni ya Politrack Africa iliyofanywa kat . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • January 7, 2025

Baridi yauwa watano, safari za anga zasitishwa

Takriban watu watano wamefariki kutokana na hali ya hewa, ambayo imesababisha theluji na baridi kali katika sehemu kubwa ya Taifa la Marekani.Taarifa ya Polisi wa doria katika barabara kuu ya Jimbo la . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • January 7, 2025

Asia Anayeishi Bila Figo Miaka 20 Atamani Kuonana Na Rais Samia – Video

Asia Mustapha ni binti ambaye ameishi kwa takribani miaka 20 bila figo zote mbili, akitegemea huduma ya kusafisha damu kwa njia ya mashine (dialysis).Mwanzoni, huduma hiyo ilikuwa ya gharama kubwa, la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 7, 2025

Trudeau kujiuzulu kama waziri mkuu wa Canada

Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau Jumatatu ametangaza anajiuzulu kwenye wadhifa wake, akisema ataondoka madarakani mara tu chama chake kitakapomchagua kiongozi mpya.Baada ya zaidi ya miaka tisa mad . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 3, 2025

Jeshi Lawazuia Polisi Wasimkamate Rais Aliyeondolewa Madarakani

Mamlaka nchini Korea Kusini zimejikuta katika mgogoro mkubwa na kikosi cha usalama cha Rais aliyeondolewa Madarakani Yoon Suk-yeol baada ya maafisa usalama na uchunguzi kufika kwenye nyumba ya rais al . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 3, 2025

Waziri Aagiza Kijana Aliyetaka Kuuza Figo za Mwanae Akamatwe

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dorothy Gwajima ameliamuru jeshi la polisi limtafute na kumkamata kijana aliyetangaza mtandaoni kuwa anauza figo za mtoto wake.â . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • January 2, 2025

Wezi Wazua Mshangao kwa Kuiba Ng'ombe na Kumchinja Kanisani

Wakaazi wa Rosterman, iliyoko viungani mwa mji wa Kakamega, walipigwa na butwaa baada ya wezi kutekeleza kitendo cha kustaajabisha na cha kushangaza cha wizi na unajisi. Inasemekana watu hao wasi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • January 2, 2025

Bilionea Namba moja Duniani Aja Na Balaa Jipya, Aanzisha Mji Wake Mpya

Bilionea Namba moja Duniani, Elon Musk, ambaye kwa sasa ndye Bilionea wa kwanza aliyefikisha utajiri wa zaidi ya dola BILIONI 400, ameibuka na jambo lingine kubwa zaidi – anajenga mji wake, huko Tex . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • January 1, 2025

Kikosi kipya cha kulinda amani nchini Somalia kinachukua nafasi ya ATMIS

Nchini Somalia kikosi kipya cha kulinda amani na kupambana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, kinaanza kazi kuchukua nafasi ya kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika ATMIS.Kikosi kipya sasa kinafahamika . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • January 1, 2025

Uhamiaji Yatakiwa Kuimarisha Udhibiti Wa Wahamiaji Haramu

Idara ya Uhamiaji nchini imetakiwa kuimarisha udhibiti wa Wahamiaji haramu na baadhi ya wageni wanaoingia na kufanya biashara haramu huku wakiwa na lengo lililojificha la kuvunja amani yetu kukamatwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 31, 2024

Makaribisho ya mwaka mpya 2025

Miji mikuu kote duniani inajitayarisha kwa sherehe za mwaka mpya baada ya kuaga mwaka 2024 uliogubikwa na vita na msukosuko wa kisiasa.Nchi zilizo kusini mwa Pacific zitakuwa za kwanza kuukaribisha mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 31, 2024

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter Kuzikwa Januari 9, 2025

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, aliyefariki dunia Jumapili akiwa na umri wa miaka 100, atazikwa tarehe 9 Januari 2025.Mazishi ya kitaifa yatafanyika katika Kanisa Kuu la Katoliki mjini Washi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 30, 2024

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, afariki dunia

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter, mkulima wa karanga na gavana wa jimbo la Georgia kabla ya kuwa rais, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.Carter alipokula kiapo cha kuwa rais wa Mareka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 27, 2024

Waziri Mkuu" Hakikisheni Mabondia Wananufaika Na Vipaji Vyao"

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kuhakikisha inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwawezesha mabondia kunufaika na vipaji vyao.Ametoa Wito huo ja . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 24, 2024

Askofu alitoweka wakati wa vita alikuwa akishikiliwa na utawala

Shirika lisilo la kiserikali la Hostage Aid Worldwide limetangaza siku ya Jumanne Desemba 24, 2024 mjini Damascus kwamba askofu, raia  wa Syria mwenye asili ya Marekani, Yohanna Ibrahim, aliyetek . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 24, 2024

Israel imekiri kummua kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh

Jeshi la Israel limesema mapema leo Jumanne kwamba limezuia kombora lililofyetuliwa kutoka Yemen.Kombora hilo limesababisha ving’ora kulia, lakini hakuna uharibifu umeripotiwa baada ya kuzuiliwa kab . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

Mithika Linturi Amlima Ruto kwa Madai ya Kuwatenga Wameru katika Uteuzi Serikalini: "Tumechoka"

Meru - Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi ameikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa madai ya kuwatenga jamii ya Ameru.Linturi alidai kuwa jamii ya Ameru imetengwa kutoka kwa maamuzi muhimu y . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

Waziri Mkuu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Maji Kisesa, Mwanza

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la kuhifadhi maji la Kisesa, mkoani Mwanza ikiwa ni Mpango wa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

Pastor Tobi Adegboyega"Davido ni msanii wa injili'

Mwanzilishi wa Kanisa la Salvation Proclaimers Anointed Church, maarufu kwa jina la SPAC Nation, Mchungaji Tobi Adegboyega, amemtaja mwanamuziki maarufu David Adeleke, maarufu kwa jina la Davido, kuwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 23, 2024

TikTok yapigwa marufuku Albania

Waziri mkuu wa Albania Edi Rama, amesema Jumapili kwamba hatua ya kupigwa marufuku kwa jukwaa la TikTok na serikali yake siku moja kabla “haikuwa ya kushtukiza na wala siyo kutokana na tukio moja.†. . .

Kurasa 37 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 11 dakika zilizopita
  • Utaratibu wa mapitio ya kesi ya Waziri Mkuu Ousmane Sonko wafunguliwa

    • 29 dakika zilizopita
  • Ndege za Marekani zafanya ukaguzi juu anga ya Nigeria

    • 33 dakika zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode