logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 1, 2025

Mchungaji auawa kikatili na aliyefika kuombewa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Victor Fransis Thomas (39), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Kadudu, Kijiji cha Lupaso, Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya kikatili dhidi ya Mchunga . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • June 30, 2025

Serikali yabeba gharama za maziko, 39 waliofariki ajalini

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema serikali imeamua kubeba gharama za maziko ya watu 39, waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la saba saba, nje kidogo ya Mji wa . . .

AJALI
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Idadi ya Vifo yaongezeka ajali ya Same hadi kufikia 39

Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imeongezeka na kufikia 39.Ajali hiyo ilitokea Juni 28, 2025 katika eneo la Sabasaba, Sa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 30, 2025

Nusura Ya Mauti! Ndege ya Batik Air Yatingishwa na Hali Mbaya ya Hewa!

Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana na hali mbaya ya hewa. Tukio hilo lilinaswa kwenye video iliyorekodiwa . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Maasi ya Gen Z yatia wasiwasi kwa vigogo wa siasa za maeneo nchini Kenya

VIGOGO wa maeneo ya kisiasa nchini ambao kwa kawaida wamekuwa wakijivunia ufuasi mkubwa, sasa wapo hatarini kupoteza umaarufu huo kutokana na kuchipuka kwa maasi ya Gen Z dhidi ya serikali.Mnamo Jumat . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 30, 2025

Watu 11 wafukiwa na kifusi Sudan

Kampuni ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na mgodi katika eneo la Kirsh al-Fil, jangwa la Howeid, kati ya miji ya At . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 28, 2025

Waziri akemea uharibifu uliotokea maandamano ya Gen Z

WAZIRI wa Huduma ya Umma, Geoffrey Ruku, amekashifu vikali uharibifu ulioshuhudiwa kote nchini katika maandamano ya Gen Z majuzi.Akizungumza Alhamisi Mbeere Kaskazini, Kaunti ya Embu, wakati wa shughu . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Jera miaka 20 kwa udhalilishaji wa kingono

Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baada ya kupatikana na hatia ya kosa la udhalilishaji wa kingon . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 27, 2025

Anayedaiwa kumuua mumwe anatafutwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa lbanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya llemera kwa tuhuma za . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 27, 2025

Wapalestina 56 wauawa Gaza

 IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa  Juni 26, 2025 kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika maeneo mbalimbali ya uk . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Nchemba afungwa jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka sita

Mrisho Mussa Nchemba (31) Mkulima mkazi wa Milama, Kata ya Dakawa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro , amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 6.Akisomewa hukumu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 26, 2025

Watu 26 wakamatwa kusaidia Israel

Iran imeripoti kuwa watu wasiopungua 26 wamekamatwa katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi, kwa madai ya kushirikiana na Israel, siku mbili baada ya Iran na Israel kufikia makubaliano ya . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • June 26, 2025

Idadi ya vifo yaongezeka Kenya

 IDADI ya raia waliofariki dunia kutokana na maandamano ya Jumatano imefikia 16, kwa mujibu wa taarifa ya shirika la Amnesty International.Ripoti hiyo imeeleza kuwa  idadi ya watu waliopotez . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

Waandamanaji 2 wa Gen Z Wapigwa Risasi na Polisi

Maandamano yanayoendelea ya kizazi cha Gen Z katikati mwa Jiji la (CBD) jijini Nairobi yameanza kuchukua mkondo mbaya. Maandamano hayo, yaliyokusudiwa kuwaenzi waliouawa wakati wa maandamano ya m . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • June 25, 2025

Mama Adaiwa Kuwaua Watoto Wake Wawili Baada ya Kukorofishana na Mumewe

Wasichana wawili wadogo wanaripotiwa kufariki baada ya mama yao mwenye umri wa miaka 26, Mary Mushi, kudaiwa kuwachoma kisu tumboni. Baba mkwe wa Mary, Nicholas Kileka, alisimulia tukio hilo la k . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Jera miaka 20 kwa udhalilishaji wa kingono

Mkazi wa Kijiji cha Lituhi kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma Winfridi Twahibu Mahundi {29} amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la udhalilishaji wa kingono kwa mtoto wa miaka 03.Hukum . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Magenge ya uhalifu yatikisa Haiti ongezeko la vitendo vya ukatili– UN

 WATAALAMU wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuwa magenge ya wahalifu yanayodhibiti maeneo makubwa ya Haiti yameongeza vitendo vya ukatili ikiwemo mauaji, ubakaji na utekaji nyara.Taarifa ya j . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • June 25, 2025

Watanzania 42 kutoka Israel warejea nchini

Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo tarehe 25 Juni 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia. Kwamujibu wa . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Askari walihusika na mauaji ya muuza madini wahukumiwa kunyongwa

Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imewahukumu kunyongwa hadi kufa maofisa wawili wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi (25), . . .

Afrika
  • Na Jembe Digital
  • June 23, 2025

Zoezi la kutafuta meli iliyotoweka kati ya Madagascar na Comoro linaendelea

Wiki moja baada ya kutoweka kwa meli, ambayo ilitakiwa kusafiri kutoka bandari ya Majunga, Madagascar, hadi Mutsamudu, mji mkuu wa kisiwa cha Comoro cha Anjouan, waokoaji bado wanajaribu kutafuta manu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Mchina jera miaka 30 kwa kubaka wanawake 10

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka China aliyeelezwa na polisi kuwa mmoja wa wanyanyasaji wa kijinsia wa kutisha zaidi nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Zhenhao Zou, ra . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • June 20, 2025

Washitakiwa kesi ya Ugaidi hoteli ya DusitD2 waenda jera miaka 30

Mahakama ya Kahawa Nairobi nchini Kenya imewahukumu Hussein Abdille na Mohamed Abdi Ali, waandaaji wa shambulio la hoteli ya DusitD2, kifungo cha miaka 30 gerezani kila mmoja. Hussein Abdille alishta . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran kutoonyesha huruma kwa utawala wa Israel

Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameapa kwamba nchi yake haitoonyesha huruma kwa watawala wa Israel. Matamshi hayo yanakuja  saa chache baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kuit . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 19, 2025

Iran yafanya mashambulizi Hospitali ya Israel na kusababisha majeruhi

Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu ya Beersheba iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku yenyewe ikijibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyu . . .

Kurasa 5 ya 56

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Michezo
news
  • 4 masaa yaliopita

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Habari
news
  • 22 masaa yaliopita

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Habari
news
  • jana

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Habari
news
  • jana

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Michezo
news
  • jana

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Makala
news
  • jana

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Michezo
news
  • jana

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 4 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 22 masaa yaliopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • jana

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode