Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) nchini Kenya imewasimamisha kazi maafisa watano walioko katika kituo kikuu cha polisi mjini Nairobi kuhusiana na kifo cha Albert Omondi Ojwang ambaye aliaga dunia aki . . .
Wakati viongozi wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakitua mkoani Kigoma kwa ajili ya mikutano mitatu kunadi operesheni ya Chauma For Change (C4C), Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama . . .
Shirika la ulinzi wa raia wa Gaza limesema mashambulizi ya Israel siku ya jana Jumapili yamewaua takriban watu 10 wakiwemo wasichana wawili katika Ukanda huo. Msemaji wa shirika hilo Mahmud Bas . . .
Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) nchini Kenya imewasimamisha kazi Maafisa watano walioko katika Kituo Kikuu cha Polisi mjini Nairobi kuhusiana na kifo cha Albert Omondi Ojwang ambaye alifariki dunia . . .
Maandamano yamezidi kupamba moto kwa siku ya tatu huko Los Angeles, ambako waandamanaji wanaopinga sera za uhamiaji za Rais wa Marekani Donald Trump wamekabiliana na maafisa wa usalama. Wanajeshi wa . . .
Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya.Kwa mujibu wa mashuhuda, ajali hiyo ime . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya Limeyafungia makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa Wilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe na Kyela.Hii ni kufuatia tam . . .
Zaidi ya watu 98 bado hawajulikani walipo juma moja baada ya mafuriko kuwaua watu 160 katika jiji cha Mokwa nchini Nigeria, idara ya majanga nchini humo imesema.Idara ya majanga nchini Nigeria&nb . . .
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Odilo Anania Sumi (80), fundi ujenzi mkongwe, amekutwa amefariki dunia katika eneo la makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, huku mwili wake ukiwa umeharibika . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya Limeyafungia makanisa sita ya Ufufuo na Uzima yaliyopo eneo la ZZK Mbalizi, Mtaa wa Mnadani Rujewa Wilaya ya Mbarali, Wilaya ya Chunya, Rungwe na Kyela. Hii ni kufuatia t . . .
Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano, huku 64,323 wakichaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu. Jumla ya wanafunzi 214,141 waki . . .
Kutokana na tangazo la Donald Trump kufuta nchini 12 kuingia nchini Marekani ikiwemo nchi ya Chad rais wa Chad Mahamat Idriss Deby maarufu Jenerali Kaka amesema Chad haina mabilioni ya fed . . .
Urafiki wa Rais wa Marekani Donald Trump na mfanyabiashara tajiri zaidi duniani Elon Musk, sasa unaonekana kumalizika baada ya wawili hao kutupiana cheche za maneno makali kwenye mitandao ya kijamii. . . .
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68, kutokana na chama chake cha kisiasa kuripoti taarifa ya kifo chake. Huku ikisema kuwa alikuwa akipokea matibabu maalum . . .
Mmiliki wa nyumba huko Githurai 44, kaunti ya Nairobi, anashutumiwa baada ya kudaiwa kuziba mfumo wa mifereji ya vyoo, na kusababisha mtiririko wa maji machafu kwenye nyumba ya mpangaji wake.Mpangaji . . .
Mtanzania aliyejulikana kwa jina la Iqbal Baghdad amefariki akiwa nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hijja. Hujaji huyo amefariki jana katika mji wa Madina kabla ya kuanza kwa Manasiq yaan . . .
Waumini 84 kati ya 86 waliokamatwa katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, wameachiwa kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda ambapo wakituhumiwa kukiuka maagizo ya . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini tangazo la kupiga marufuku Raia wa Mataifa 12 kuingia nchini humo akitaja sababu kuwa ni kulinda usalama wa Taifa, Vyombo vya habari vva nchini Marekani vime . . .
Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Halla, wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali, tukio ambalo limezua masikitiko makubwa miongoni mwa familia . . .
Magari yanayotarajiwa kutumiwa na Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye uzinduzi wa operesheni yake ya C4C katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo Jumatatu Juni 3, 2025 zikiwa kwenye maan . . .
Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wamejiandaa kwa kusikilizwa kwa kesi ya rufaa inayowakabili Nyundo na wenzake, waliokata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani waliyopew . . .
Ukraine inasema ndege zake zisizo na rubani ziliharibu ndege za kivita za Urusi zenye thamani ya mabilioni ya dola za Marekani kwenye mji wa Siberia, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa Kiev kutekeleza ma . . .
Israel imeeleza wazi kuwa Hamas lazima ivunje jeshi lake na mamlaka yake ya kisiasa na kurejesha mateka wote 58 waliobaki kabla ya kukubali kumaliza vita Mpango mpya wa Marekani kwa ajili ya Gaza ulio . . .
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema siku ya Jumatano, Mei 28, kwamba Israeli imemuua Mohammed Sinwar, anayechukuliwa kuwa kiongozi wa Hamas katika eneo la Palestina lililoharibiwa na mie . . .