Klabu ya Dortmund ya Ujerumani imethibitisha kuwa nyota wake Gio Ryena ataukosa Msimu wote uliosalia 2021/22 kutokana na majeraha.
Ryena aliumia Goti Ijumaa hii Dortmund ilipopata ushindi wa 2-0 dhidi ya Stuttgart kwenye mchezo wa Bundasliga.
Tufuatilie kupitia ukurasa wetu wa Instagram @jembefmtz