Waziri mkuu mstaafu Mhe David Cleopa Msuya katika miaka 100 ya hayati baba wa taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ameelezea falsafa muhimu watanzania wanatakiwa kufuata na namna ya kuzienzi Ameyasema hayo wakati akizungumza na kipindi cha Mchakamchaka asubuhi hii