Ridhiwani aanza kazi ya Unaibu Waziri wa Ardhi afika Arusha, atoa maagizo haya

Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete amefanya ziara Mkoani Arusha ambapo amempongeza Rais Samia katika siku yake ya kuzaliwa nakuzungumzia fedha alizozitoa Bilioni 50 kwenye wizara hiyo na kutoa maagizo.

Ikiwemo shamba linalomilikiwa na shirika la nyumba la Taifa NHC lililopo katika eneo la usaliva Arusha ambalo limekodishwa na kampuni ya Tanzia Agriculture ambalo linajiusisha na shughuli mbalimbali za kilimo cha mboga mboga.Pamoja na kutembelea baadhi ya miradi ambayo inasimamiwa na shirika la nyumba la Taifa ambapo amemshukuru rais wa Tanzania kwa kutoa shiling bilion 50 kwa wizara hiyo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii