"Tunataka waumini wapate injili ya viwango vya juu na hilo linaweza kuafikiwa endapo mapadri na maaskofu watapa mafunzo ya hali ya juu" alisema Ida.
Ida sasa anadai kuwa matamshi yake yalitafsiriwa vibaya ameondoa kauli hiyo na kuomba msamaha "Ningependa asubuhi ya leo kuondoa matamshi yangu kwa NCCR kudhibiti makanisa chini yake ili kuboresha viwango vya injili nchini KENYA alisema kupitia tarifa .