MAKAMU WA RAIS KUMUWAKILISHA RAIS SAMIA HAFLA YA KUTOA MAAMUZI YA MWISHO UWEKEZAJI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA UGANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma wakati akiondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma kuelekea Kampala Nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Februari 1,2022.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii