Ndege inayotumia mfumo wa umeme kwa 100% badala ya mafuta iliyotengenezwa na kampuni ya Israel Eviation Marekani imebakiza wiki chache kabla ya kufanya safari yake ya kwanza, ina uwezo wa kubeba Abiria 9 na kuruka kwa dakika 60, itaingizwa sokoni 2029 - 2032.