AJIUA KISA MKE KUMUACHA

tukio la kijana aitwaye Ginasa Petro (30) Mkazi wa Bariadi aliyekunywa sumu ya kuulia panya akiwa Nyang'hwale na kupoteza maisha huku chanzo cha kujiua kikiwa ni msongo wa mawazo baada ya kuachwa na Mkewe.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii