Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa taarifa za za kukamatwa kwa Raimond Mollel ambaye ni mlinzi wa eneo la mstahiki meya wa jiji la Arusha Maxmillian Iranghe kwa tuhuma za mauaji ambapo mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji hayo nakuonyesha kichwa hicho.
Kupitia kwa kaimu kamanda polisi Joshua mwaflango amezungumza na kuseama kwamba wanamshikilia kijana anaefahamika kwa jina la Raimond mollel Aambae ni mlinzi wa msatahiki meya wa jiji la arusha mara baada ya kuhusika na mauaji ya kukata kichwa cha mwenzake na kuondoka nacho kusiko julikana.