Rais Samia Atua Jijini Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali akiwa safarini kuelekea Mkoani Mara katika ziara ya kikazi ya siku 4, leo tarehe 04 Februari 2022.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii