Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Februari 4, 2022 amendoka Nchini
kuelekea Addis Ababa Nchini Ethiopia kumuwakilisha Rais Samia Suluhu
Hassan katika Mkutano wae 35 wa wakuu wa Nchi na serikali wa umoja wa
Afrika (AU) unaotarajiwa kufanyika Februari 5, 2022 na Februari 6, 2022