Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche amezungumza kuhusu yale yanayoendelea ndani ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema akisema anakuja Mwanza kufanya ziara maalamu.
Tazama zaidi hapa kuyasikia mazungumzo ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akizungumza na mwandishi wa Jembe Fm Pascal Kadushi (PK).