Kijana auwawa kisa flash ya kuhifadhia nyimbo, familia wasimulia

Kijana Nyangi Kambarage(20) aliyekuwa mkazi wa mtaa wa Igelegele Maina, Ameuwawa baada ya kupigwa na rafiki zake wakimshtumu amepoteza flash waliyokuwa wakiitumia kuhifadhia nyimbo wakati wakienda kusherehesha kwenye Maharusi.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii