Siku ya wapendanao zawadi na ujumbe kwa umpendae

Siku ya wapendanao huadhimishwa kila inapofika Februari 14 duniani kote.
Watu hutuma ujumbe na zawadi mbalimbali kwa wawapendao ili kufanya siku hii iwe maalumu na yenye muonekano mzuri kabisa.

Siku hii mfanya mtu kujisikia anapenda hama kujaliwa na mpenzi wake,na kujisikia mwenye thamani zaidi maishani hakika ni siku ya furaha na kheri kwa wapendanao kote duniani.

Pia mpenzi anaweza kuwa mtu yoyote unaempenda na kumjali kwa dhati anaweza kuwa mama,baba,kaka,dada,mwenzi wako,mchumba,mpenzi wa kike(girlfriend),au mpenzi wa kiume(boyfriend).

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii