FADLU DAVIDS BYE BYE SIMBA SC, AMGOMEA MO DEWJI

Kocha wa Simba Fadlu Davids hana mpango wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo msimu huu 2025-26.

Rais wa Simba Mo Dewji amejitahidi kumshawishi ikiwemo kutaka kumuongezea mkataba ila imeshindikana, Fadlu ameshawishiwa na klabu ya nyumbani kwao ya Kaizer Chiefs ambayo ipo tayari kumpa mshahara wa dollar elfu 80 sawa na Milioni 198 za kitanzania.

Mbali na ofa hiyo ya Kaizer Chiefs pia ana ofa ya klabu ya Raja Casablanca ya Morocco.

#Simbasc #mnyama

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii