Madaiwa ya Kutekwa kwa Polepole Polisi Waanza Uchunguzi

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma, likieleza kuwa limeona taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ndugu wa Humphrey Polepole zikidai kuwa ametekwa na kwamba tayari limeanza kuzifanyia kazi taarifa hizo ili kupata ukweli.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii