Siku chache baada ya ajali daraja la JPM, Wafanyakazi watishia mgomo

Feb 15, 2022 baadhi ya Wafanyakazi katika Daraja la JPM linalojengwa kati ya Kigongo na Busisi wametishia mgomo wakishinikiza kulipwa stahiki zao na Kampuni ya Kichina (CCECC) inayofanya Ujenzi wa Daraja hilo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii