Ufunguo wa maisha ya kila mmoja wetu yanapatikana kwa njia ya utulivu na uwiano uliopo katika kutunza afya ya akili kwa umakini na uangalizi mkubwa . Hebu tujadili sote kwa pamoja kwa kuanza kujali nafsi zetu na kuwajali wengine wanaotuzunguka.
Hatua za Kuchukua Ili Kudhibiti na Kuimarisha Afya Yako ya Akili .
1️⃣ Tambua kinachoendelea - jifunze kutambua hisia na changamoto unazopitia.
2️⃣ Tunza mwili wako - kula vizuri, fanya mazoezi na pata usingizi wa kutosha.
3️⃣ Jenga ratiba zenye afya -panga muda wa kazi, mapumziko na burudani.
4️⃣ Zungumza na wengine -kushiriki mawazo na hisia husaidia kupunguza mzigo wa kihisia.
5️⃣ Fanya mazoezi ya akili yako -fanya tafakari, soma vitabu, au shiriki katika shughuli zinazochochea fikra chanya.