Rais Putin aibua mapya, aamuru vikosi vyenye silaha za nyuklia vikae tayari

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika “tahadhari maalum” – kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.

Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya Magharibi yamechukua “hatua zisizo za kirafiki” kwa Urusi na kuweka “vikwazo visivyo halali”

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii