Davido Ajinunulia Jumba la Kifahari Georgia

Staa wa muziki wa Afropop kutoka Nigeria, Davido, amewaonesha mashabiki wake jumba jipya alilonunua hivi karibuni katika jimbo la Georgia, Marekani.

Msanii huyo alishiriki picha na video za nyumba hiyo ya kifahari kupitia ukurasa wake wa Instastory, akiwapa wafuasi wake nafasi ya kuona baadhi ya maeneo ya makazi hayo mapya.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii