logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 7, 2024

Kimenuka..Timu ya Singida Fountain Gate Yafukuza Kocha na Wasaidizi wake wote

Uongozi wa Singida Fountain Gate umefikia uamuzi wa Kuvunja benchi lote la ufundi Kocha na wasaidizi wake lililokuwa likiongozwa na Kocha Thabo Senong kufuatia matokeo ma . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • March 6, 2024

Anthony Joshua atamba kumchakaza Ngannou

Bondia Anthony Joshua ametamba kumpiga mpinzani wake Francis Ngannou kwa ‘KO’ kwenye pambano la uzito wa juu litakalofanyika Saudi Arabia, mwishoni mwa juma lijalo.Jo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 5, 2024

Prince Dube Aomba Kuondoka Azam, Apewa Ruksa

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube akiomba kuvunja mkataba na Klabu hiyo.Ikumbukwe kuwa mkatab . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 27, 2024

Anthony Martial kuondoka Man Utd

Mshambuliaji wa Man Utd, Anthony Martial ataondoka kwenye kikosi hicho katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambapo mkataba wake utamalizika na Man United imekataa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 26, 2024

CAF yakataa ombi la Simba SC

Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmedy Ally amesema mchezo wao Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi Jwaneng Galaxy utachezwa Jumamosi Machi 2, 2024 saa 1:00 usiku, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 26, 2024

Mchezaji mpira wa Honduras Elis bado yuko katika hali ya kukosa fahamu baada ya kuumia kichwa

Mshambulizi wa Honduras Alberth Elis alibaki katika hali ya kukosa fahamu Jumapili baada ya jeraha baya la kichwa na klabu yake ya Ufaransa ya Bordeaux ikisema "haiwezeka . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 23, 2024

Dani Alves Ahukumiwa Kifungo Cha Miaka Minne Na Miezi 6 Jela

NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mwanamke mmoja . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 23, 2024

Kocha Dabo ahimiza juhudi Azam FC

Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouf Dabo amewaomba wachezaji wake kuongeza bidii kuendana na ushindani kwenye mbio za ubingwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara.Dabo amesema kwa nam . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 22, 2024

Haji Manara ataka Kocha wa Taifa Stars afukuzwe mara moja

Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara amesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wanapaswa kumfukuza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Adel Amrouche k . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 21, 2024

Tanzania kupeleka waamuzi AFCON

Shirikisho la Soka ‘TFF’ limesema Tanzania itakuwa kituo cha mafunzo ya mfumno wa VAR kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’.Katibu Mkuu wa TFF, Kidao . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 20, 2024

Benchikha afichua kuahirishwa mechi ya Mtibwa

Wakati kikosi cha Simba SC kikiwa safarini kuelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Asec Mim . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 19, 2024

Mourinho: Man City, Real Madrid mabingwa Ulaya

Kocha kutoka nchini Ureno Jose Mourinho anaamini Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City ndio washindani wakuu wa taji la Ligi ya mabingwa Barani Ulaya msimu huu, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 16, 2024

Shime atamba kuiangamiza Afrika Kusini

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’, Bakari Shime amesema maandalizi ya mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu michuano ya Olimpiki dhidi ya Afrika Kus . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2024

Wachezaji Ivory Coast wazawadiwa fedha, nyumba

Wachezaji wa Ivory Coast na Kocha wao wa muda Emerse Fae wamepewa fedha na nyumba za kifahari baada ya kutwaa Ubingwa wa Afrika ‘AFCON 2023’ kwa kuifunga Nigeria maba . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 15, 2024

Brentford imekubali yaishe kwa Toney

Klabu za Newcastle United na Arsenal zote za England zimeanza kujipanga baada ya kusikia taarifa kwamba Brentford inamfuatilia Mshambuliaji kutoka nchini Canada na Klabu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 13, 2024

Mrisho Ngassa Ampa za uso Fisto Mayele

Sakata la Fiston Mayele limemuibua mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa ambaye amesema kama ni kutupiwa jini basi Fei Toto angekuwa chizi, majini ya hap . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 12, 2024

Mbwana Samatta "Narudi Kucheza TIMU Moja ya Tanzania"

Nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania nahodha Mbwana Ally Samatta ameeleza uchu wake wa kurudi kucheza timu moja wapo ya Ligi kuu kandanda Tanzania Bara.Samatta anatamani ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 9, 2024

Gamondi akomaa na safu ya ulinzi

Licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mashujaa FC jana Alhamis (Februari 08) katika Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es salaam, Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanz . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 9, 2024

Xavi Alonso "Sina mpango na Liverpool"

Kocha Mkuu wa Vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bayern Leverkusen, Xabi Alonso amesema kuwa hana mpango wa kujiunga na Liverpool kwa sasa kwa kuwa alipo ana furaha.Alonso a . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 8, 2024

Hugo Broos"Tulistahili kucheza fainali"

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ Hugo Broos amewapongeza wachezaji wake licha ya kushindwa kutinga Hatua ya Fainali ya Michuano ya Mataifa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2024

AFCON 2023 – Afrika Kusini ina kibarua kwa Nigeria

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ imefikia Nusu Fainali ambako Nigeria itaivaa Afrika Kusini saa 2:00 usiku na wenyeji Ivory Coast dhidi ya Jamhuri . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 2, 2024

Toko Ekambi astaafu Cameroon

Mshambuliaji Karl Toko Ekambi ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Cameroon baada ya kuondoshwa katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Afcon 2023 na Nige . . .

news
Top Story
  • Na Nattyebrandy
  • February 1, 2024

LEWIS HAMILTON KUONDOKA NYUMBANI “MERCEDES”

Lewis Hamilton kuondoka Mercedes na kujiunga na Ferrari kwa msimu wa Formula 1 wa 2025 Lewis Hamilton atajiunga na Ferrari mwaka ujao na kuchukua nafasi ya Carlos Sainz k . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 1, 2024

Wachezaji Watano Simba Waugua Ugonjwa wa Red Eyes

KOCHA Mkuu wa Simba Abdalhek Benchikha ameahirisha mapumziko aliyowapa mastaa wa timu hiyo waliokuwa Taifa Stars, baada ya wachezaji watano aliokuwa nao mazoezini kupatwa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 31, 2024

Regragui " Sikusema Morocco inawawakilisha Waarabu"

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Morocco ‘ Simba wa Milima ya Atlas’ Walid Regragui amesema kikosi chake hakikucheza kwa kujituma katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhid . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 31, 2024

Mali Wafika Robo Fainali kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 10 Kwa Kuichapa Burkina Faso

Mali iliifunga Burkina Faso mabao 2-1 na kujihakikishia nafasi ya kufuzu kwa robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Mapema katika vipindi vyote viwili, Mali wal . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 30, 2024

Taifa Stars yapongezwa AFCON 2023

Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza Wachezaji, Benchi la Ufundi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kazi kubwa waliyoifanya kwenye Fainali za Mataifa ya . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 29, 2024

Maigizo mpya yamuibua kocha Benchikha

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema usajili ambao wameufanya unakwenda kurudisha makombe ambayo waliyapoteza katika katika kipindi cha msimu miwili."Tumean . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 26, 2024

Real Madrid kinara wa mapato duniani

Real Madrid imetajwa kuwa klabu ya soka iliyoingiza mapato ya juu zaidi duniani kwa msimu wa 2022/23 kwa mujibu wa Deloitte Sports Business Group, ikichukua nafasi ya Man . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 26, 2024

Straika wa Mabao Arudi Cameroon

Maombi ya Taifa la Cameroon yamejibiwa, huyu mwamba aliiua Brazil na akafanya mabalaa pale Qatar akitokea benchi, ndio ni Vicent Aboubacar.Ni top Striker Barani Afrika kw . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 25, 2024

Msuva Afunguka AFCON Kumsaidia Kupata Timu ya Saudi Arabia ya Al Najmah FC

staa wa soka wa Tanzania Simon Msuva amesema Kombe la Mataifa ya Afrika ( AFCON) imemuwezesha kupata Timu ya Saudi Arabia ya Al Najmah FC ya Ligi daraja la kwanza ambayo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 23, 2024

Wafungaji Bora wa AFCON 2024

Kwa vile michuano ya hivi punde zaidi ya Kombe la Mataifa ya Afrika ilianza wikendi iliyopita, hebu tuchochee hamu yako kwa kutafakari Wafungaji Bora wa AFCON. Mashi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 22, 2024

Kocha Senegal yupo salama

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse alipata matatizo ya kiafya, akawahishwa hospitalini kufuatia ushindi dhidi Cameroon, lakini sasa anaendelea vyema baad . . .

Kurasa 10 ya 27

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode