logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
Kikapu
  • Na Asha Business
  • October 28, 2024

Stephen Curry apata majeraha Warriors ikipoteza

Stephen amewahi kushinda tuzo ya MVP mara mbili  amekuwa na historia ya kuumia kifundo cha mguu wake mara kwa mara   amefunga alama 18 huku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 16, 2024

Thomas Tuchel Apewa Muda Na England

Thomas Tuchel kocha wa zamani wa Chelsea ya England ametangazwa na FA ya nchi hiyo kuwa kocha wao mkuu baada ya Gareth Southgate kujiuzulu mwezi Julai 2024. Kikosi c . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 15, 2024

Golikipa Juma Kaseja Kuwa Kocha Kagera Sugar

Baada ya juzi uongozi wa Kagera Sugar kutangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Paul Nkata, nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Juma Kaseja  . . .

news
Marathoni
  • Na Asha Business
  • October 14, 2024

Ruth Chepngetich amevunja rekodi Chicago Marathon

Ruth Chepngetich ameweka rekodi mpya Chicago marathon siku ya Jumapili Oktoba 13 baada ya kukimbia mbio ndefu kwa masaa mawili dakika 9 na sekunde 57. Chepngetich anakuwa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 10, 2024

Real Madrid yapania kuibomoa Arsenal 2025

Real Madrid ya Hispania imepania kumsajili mlinzi wa kati wa klabu ya Arsenal raia wa Ufaransa William Saliba ili kuimarisha safu yao ya ulinzi inayomtegemea zaidi Antoni . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 8, 2024

Manchester City Yashinda kesi

Klabu ya Manchester City ya Uingereza Oktoba 7, 2024 imeshinda kesi yake dhidi ya Bodi ya Ligi Kuu nchini humo ya sheria ya matumizi ya fedha iliyokuwa inawahusisha wamil . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 8, 2024

Hatima ya Kocha wa MAN United Ten Hag Kuamriwa Leo

Tetesi za usajili barani Ulaya zinasema hatma ya kocha Erik ten Hag katika klabu ya Manchester United itaamuliwa wakati wa mkutano wa timu hiyo leo huku msaidizi wake, Ru . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • October 4, 2024

Palestina Yaomba FIFA Kuifungia Israel Kujihusisha Katika Mchezo

Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA), limetangaza wazi mpango wake wa kushughulikia ombi liliwakilishwa na Palestina kuifungia Israel kujihusisha katika mchezo wa . . .

news
Kikapu
  • Na Asha Business
  • October 1, 2024

Dikembe Mutombo, nyota wa mpira wa kikapu na mchezaji nguli wa NBA afariki

Alikuwa mchezaji nguli wa NBA, na si kwa umbo tu. Dikembe Mutombo, mchezaji nguli wa mpira wa vikapu kwa misimu 18 katika NBA, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 58 s . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

MBAPPE NJE KWA SIKU 21

Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa mshambuliaji wake nyota wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe amepata majeraha na atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu.Taarifa iliyoto . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 26, 2024

MBAPPE NJE KWA SIKU 21

Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa mshambuliaji wake nyota wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe amepata majeraha na atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu.Taarifa iliyoto . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2024

Lewandowski na Raphinha watikisa La Liga

Robert Lewandowski na Raphinha wote walifunga mara mbili na kusaidia Barcelona kuwalaza Villarreal 5-1 siku ya Jumapili.Barcelona walipata kipigo chao cha kwanza msimu hu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 20, 2024

Azizi ki "Niache hao CBE nina kazi nao"

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga SC Stephane Aziz Ki ameamua kubeba jukumu zito la kuwapa furaha mashabiki katika dakika 90 za mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya awali . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

Majaji wa ngumi Tanzania wafaulu kimataifa

Waamuzi na Majaji 26 kutoka Tanzania wamefaulu mafunzo ya Kimataifa ya Waamuzi na Majaji wa Dunia wa IBA Nyota moja, mafunzo yalifanyika katika Chuo cha taaluma ya Polisi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 19, 2024

UEFA: Dortmund yaisambaratisha Club Brugge

Jamie Gittens alifunga mabao mawili Borussia Dortmund ilipofungua kampeni ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya Club Brugge.Serhou Guirassy aliongeza pe . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • September 6, 2024

Ten Hag Apewa Mechi Mbili United.

Man United ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 14, katika mechi tatu za mwanzo za EPL imeshinda moja na kupoteza mbili.Kutokana na kuanza vibaya, wachambuzi na mashabiki w . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 23, 2024

Guinness Yaongoza Shamrashamra Za Msimu Mpya Wa Epl Nchini

Wadau wa soka Tanzania wamejiandaa vilivyo kwa ajili ya raundi ya pili ya mechi za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wikendi hii, kwa hisani ya Guinness, Bia Rasmi na Bia Rasmi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 14, 2024

Fountain Gates yaja kivingine msimu wa 2024-25

Klabu ya Fountain Gates yenye makao makuu mkoani Manyara imejipanga vyema kuelekea msimu huu baada ya kukamilisha sajili za wachezaji wake wote itakaowatumia. Fountain Ga . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 9, 2024

Mbinu za Guardiola na Ten hag zitatupa bingwa wa ngao ya jamii

Klabu za Manchester United na Manchester city zitavaana hapo Kesho kwenye mchezo wa fainali wa kombe la ngao ya jamii kwa msimu wa 31 tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 9, 2024

Yanga Yashinda KESI Dhidi ya Magoma

Leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwa ni siku ya hukumu katika kesi ya Yanga na Juma Ally Magoma ikumbukwe kwamba siku ya Jumatano ndiyo ilipangwa kesi hiyo ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 8, 2024

BAADA YA ONANA KUONDOKA SIMBA NA TIMU YAKE MPYA NI HII

WINGA wa Simba Mwenye Udambwi Udambwi  Willy Onana, licha ya kulamba mkwanja mrefu akijiunga na Muaither SC ya Qatar msimu ujao, atacheza Ligi Daraja la Kwanza baada . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2024

Kuelekea msimu ujao Simba mpya yazidi kupikwa

Raisi wa Heshima na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba bilionea Mohammed Dewji ametangaza kamati mpya ya mashindano kuelekea msimu mpya wa 2024/25.  Mohammed De . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2024

Simba Washusha Golikipa Mpya wa Kimataifa

Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpyaKlabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpyaKlabu ya Simba ime . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2024

Kichapo Kutoka Kwa Yanga Kwaifanya Kaizer Chief Kujitathmini Upya...Kikosi Chafumuliwa

Baada ya Yanga kuichapa mabao 4-0 Kaizer Cheif ya Sauzi, Mabosi wa kikosi hicho wameshtuka na kuanza hesabu kali za usajili, huku kocha akiwataka kuboresha maeneo matatu. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2024

CHELSEA YAMNASA GOLIKIPA JORGENSEN

Klabu ya chelsea imefanikiwa kumnasa golikipa Filip Jorgensen kutoka Villareal ya hispania kwa ada ya euro milioni 20.7 . Golikipa huyo aliicheza mechi 36 kwa msimu uliop . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2024

FIFA kuichunguza Argentina juu ya madai ya ubaguzi

Shirikisho la soka duniani FIFA linachunguza video inayoonyesha wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina wakiimba nyimbo kuhusu wachezaji wa Ufaransa zilizotafsiriwa na sh . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2024

Yanga Mabingwa wa Safari Cup, Wampiga Mtu bao nne

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2024

Etoo Aishangaa South Afrika Kuwa na Ligi Bora ila Timu ya Taifa Mbovu

Ligi ya Afrika Kusini inafanya vyema na ni moja kati ya ligi bora barani Afrika lakini Sielewi kwanini timu yao ya taifa sio nzuri ”“Wasimamizi wanatakiwa kukaa na ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 18, 2024

De Bruyne Aomba Kujiunga Real Madrid

Nyota wa klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne yupo tayari kupunguza nusu ya mshahara wake ili acheze misimu miwili au mitatu Real Madrid.Nyota huyo raia wa Ubelgiji . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 14, 2024

Mgunda kurejea Coastal Union

 Inaelezwa kuwa juma mgunda yupo mbioni kurejea Coastal Union kwa nia ya kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo itakayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ina . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 7, 2024

Wajumbe wote wa Simba wamejiuzulu

Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mfanyabiashara Mohamed Dewji ameripotiwa kutoa shinikizo la kujiuzulu nafasi zao kwa wajumbe wote aliowateua yeye ambapo mpaka sasa wajumbe w . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 5, 2024

Barbara Gonzalez Arudi SIMBA, Mo Dewji Hataki Masihara

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez amekubali kurudi ndani ya klabu hiyo.Makubaliano baina ya pande zote mbili, yaani Bodi ya Wakurungenzi n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

Real Madrid watangaza kumsajili Kylian Mbappe

Winga wa Ufaransa, Kylian Mbappe amekamilisha taratibu zote za usajili za kujiunga na Real Madrid akitokea PSG.Kwa mujibu wa ripoti, Mbappe atakuwa akilipwa mshahara wa â . . .

Kurasa 13 ya 32

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Necta Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2026, Asilimia 85.22

    • 15 masaa yaliopita
  • Mshambuliaji wa Tenerife Jesus de Miguel Afariki Baada Ya Kugongana na Kipa Uwanjani

    • 15 masaa yaliopita
  • Gavana akana dai hofu ya uchawi ilimfukuza ofisini

    • 15 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode