logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Jacobmlaytz
  • December 10, 2021

TAKWIMU ZA SIMBA YANGA HIZI HAPA

Kesho Jumamosi nchi itasimama kwa muda kupisha mechi ya watani wa Jadi Simba wakiwakaribisha Yanga Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa jioni majira ya saa 11:00.Kuelekea kwenye mch . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 9, 2021

Tigo Yataka Washiriki Kili Marathon Wajisajili Kwa Wingi

Kampuni ya Tigo ambayo inadhamini mbio za km 21 za Kilimanjaro Marathon imetoa wito kwa washiriki wa mbio hizo waendelee kujisajili kwa wingi huku ikiwa imebaki takriban . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

BARCELONA YATUPWA NJE UEFA.

Barcelona wanamaliza nafasi ya tatu kwenye Kundi lake na watakwenda kucheza Europa league.Mara ya mwisho Barcelona kushindwa kucheza hatua ya 16 Bora ligi ya mabingwa na . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 9, 2021

TIMU ZILIZOFANIKIWA KUFUZU KWENDA HATUA YA 16 BORA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VINARA wa makundi na watakutana . . .

news
NBC Tanzania Premier League 2021/2022
  • Na Suzuki
  • December 8, 2021

Ni mwendo wa tambo na vijembe kuelekea Derby ya Kariakoo.

Ikiwa ni Siku tatu za tambo na vijembe kuelekea kwenye mchezo wa Kariakoo Derby, Simba na Yanga Disemba 11, 2021 kwenye dimba la Benjamin Mkapa, Maofisa habari wa vilabu . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 8, 2021

Rais Samia aahidi sapoti zaidi kwa Tembo Warriors

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya soka ya Walemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu kuiwakilisha nchi kwenye kombe . . .

news
SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Namungo, Aussems sasa wanayajenga

NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa matokeo haya yamepelekea viongoz . . .

news
SOKA
  • Na Jembefmtz
  • December 7, 2021

Simba yashusha kocha mpya

ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo umeendelea kulisuka benchi la . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Suzuki
  • December 7, 2021

MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND BAADA YA MECHI 15.

Msimamo  wa ligi kuu ya England baada ya mechi 15.  Huku timu tatu Manchester City, Liverpool na Chelsea zikiwa na nafasi kubwa ya kumaliza ndani ya nne bo . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Sasii pilato Kariakoo Derby - NBC Tanzania Premier League 2021/2022

Wakati joto la pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya vinara Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda mwamuzi, Herry Sasii amepewa jukumu la kusimama kati kuamua mchezo h . . .

news
Mitindo | Urembo
  • Na Jembefmtz
  • December 6, 2021

Miss Tanzania apata viza Kushiriki Miss World

Miss Tanzania namba mbili, Juliana Rugumisa ambaye aliteuliwa kushiriki Miss World baada ya aliyeshika nafasi ya kwanza, Rose Manfere kuenguliwa kutokana na utovu wa nidh . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Simba yatinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika

KLABU ya Simba imefanikiwa kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 2-1 na Red Arrows katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Zambia. Wenye . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembefmtz
  • December 5, 2021

Newcastle United yaonyesha nia kumtaka Jesse Lingard

Newcastle United imeanza kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji . . .

news
Top Story
  • Na Suzuki
  • November 30, 2021

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka kwa Wenye Ulemavu (Tembo Warriors), imeipa hadhi nchi kwa kuwa Taifa la kwanza Afrika, kufuzu kwenda Robo Fainali za Mashindano ya Soka kwa Walemavu Afrika (Canaf)

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Soka kwa Wenye Ulemavu (Tembo Warriors), imeipa hadhi nchi kwa kuwa Taifa la kwanza Afrika, kufuzu kwenda Robo Fainali za Mashindano ya Soka . . .

news
Top Story
  • Na Suzuki
  • November 30, 2021

LIONEL MESSI ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MARA YA 7.

LIONEL MESSI ANASHINDA TUZO YA BALLON D’OR MARA YA 7.Miaka aliyoshinda Leo Messi Ballon d’Or!2009: Lionel Messi 2010: Lionel Messi 2011: Lionel Messi 2012: Lionel Mes . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • November 28, 2021

SIMBA WAVUNA USHINDI KWA MKAPA DHIDI YA RED ARROWS

TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mchezo huo, umepigwa leo J . . .

news
Top Story
  • Na Jacobmlaytz
  • November 21, 2021

MAN UNITED YAACHANA NA OLE GUNNAR

Manchester United wamethibitisha kusitisha mkataba wa kocha Ole Gunnar Solskjaer baada ya matokeo mabovu ya hivi karibuni.Taarifa ya United inasema Michael Carrick atasim . . .

news
SOKA
  • Na Jacobmlaytz
  • November 19, 2021

GUEYE AFANYA KAMA MANE SENEGAL

Kiungo wa PSG Idris Gana Gueye ametoa msaada wa vifaa vya hospitali, dawa pamoja na kiasi cha pesa kwa wizara ya Afya ya taifa lake la Senegal ili kuwasaidia Wananchi wa . . .

Kurasa 25 ya 25

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mahakama Kuu Kutowa Hukumu Kesi ya Viongozi wa CHADEMA

    • October 29, 2025
  • Juhudi zaidi zahitajika kushughulikia hali mbaya ya kibinadamu

    • October 29, 2025
  • Atakayevuruga amani Ruvuma kukions

    • October 29, 2025

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode