Kocha Mkuu wa Simba SC Franco Pablo Martin amesema wachezaji wake hawatakua na muda wa kupumzika baada ya kuwasili Dar es salaam, wakitokea nchini Morocco. Sim . . .
Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Mshindo Mbette Msolla ameibuka kwa mara ya kwanza msimu huu na kutoa nasaha kwa Benchi la Ufundi na Wachezaji wa klabu hiyo, kuf . . .
Mshambulia wa Yanga na kinara wa mabao, Fiston Mayele aliyetupia tisa katika Ligi Kuu katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar, akiwa ameiteka asilimia kubwa ya nchi kwa s . . .
Kiungo kutoka nchini Uganda na klabu ya Simba SC Thadeo Lwanga amesema yupo tayari kuipigania klabu yake katika Mzunguuko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao ulia . . .
Mlinzi wa Sporting Lisbon mreno Goncalo Inacio amekubali kusaini mkataba mpya kusalia klabuni hapo. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 alikuwa akiwaniwa na Newcastl . . .
Barcelona wanakaribia kumsajili kiungo wa Ivory Coast Franck Kessie kwa uhamisho huru wakati mkataba wa nyota huyo wa AC Milan mwenye umri wa miaka 25 utakapom . . .
mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski pale Bayern Munich unamalizika mwaka 2023, wakati mkongwe huyo mwenye miaka 33 akitaka mkataba mpya kusalia katika klabu . . .
Mmiliki wa Chelsea Mrusi Roman Abramovich anasema "anawapa wadhamini wa wakfu wa hisani wa Chelsea usimamizi na utunzaji" wa klabu hiyo. Abramovich, ambaye atasalia k . . .
Shirikisho la Soka Duniani ( FIFA ) jana lilijibu shinikizo la kimataifa linaloongezeka kuhusiana na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine likisema Urusi itacheza mechi zak . . .
Michael Masi ameondolewa kama mkurugenzi wa mbio za magari ya langalanga kama sehemu ya urekebishaji katika bodi ya FIA kufuatia mashindano ya Abu Dhabi Grand Prix ya . . .
Ushindi wa mabao 3-1 umewafurahisha sana viongozi wa Simba na sasa katika kujipanga kuhakikisha wanaendeleza kasi hiyo ugenini dhidi ya USGN ya Niger na i . . .
Mwanasoka wa zamani wa Zimbabwe Charles Yohane amefariki dunia nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 48 katika tukio linaloonekana kuwa la wizi wa gari. Beki . . .
UONGOZI wa Simba licha ya kumsamehe winga wao, Bernard Morrison, lakini wamepatia masharti ambayo anatakiwa kuyafuata baada ya kupewa msamaha huo ndani ya kikosi chao.Mor . . .
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amekiri kuwa mnyonge, kufuatia timu yao kukubali kichapo cha mabao 7-0, katika mchezo wa K . . .
Waziri wa utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa Februari 15, 2022 amekutana na Balozi wa Morocco nchini Mhe. Zakaria Elgoumiri na kufanya mazungum . . .
DAKTARI wa viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne, amepata nafuu na atarejea uwanjani baada ya takribani siku . . .
Baada ya kukosa ushindi katika mechi tatu za mwisho kwenye Ligi mechi mbili na moja Kombe la FA, Manchester United imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya . . .
UKIACHANA na mchezo wa soka ambao umekuwa na wafuatiliaji wengi zaidi duniani, mchezo ambao pia unafuatiliwa na mashabiki ni ule wa ngumi za kulipwa ambao pia una fed . . .
Klabu ya Leicester City imemsajili mtoto wa mlinzi wa zamani wa Arsenal na Liverpool Kolo Toure, Yassine kwa mkataba wa miaka miwili. Yassine ambaye tofauti na baba ya . . .
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF, Jumanne ya Leo February 15, 2022 limeanza rasmi kuendesha semina ya siku tatu kwa waamuzi wote wanaochezesha Ligi Kuu NBC Tanz . . .
Beki wa klabu ya Manchester City, Joao Cancelo amezungumzia tukio la “kutisha” la kuvamiwa na wezi alilolielezea “lilitishia familia yangu” na kumjeruhiCancel . . .
Hatimaye Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umekubali kumsamehe Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison na kumrudisha kambini. . . .
Furaha ya ushindi dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast bado imeendelea kushamiri kwa Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally, licha ya kikosi cha klabu . . .
SIMBA SC, leo Jumapili inatarajiwa kuvaana na ASEC Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Saalam. H . . .
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 na Simba mwaka 1936, lakini ukizama ndani utagundua kwamba , huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa utani na upinzani wa jadi baina ya miamba . . .
STAA wa Simba, Bernard Morrison ametuma ujumbe kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo na kufowadi vilevile kwa viongozi akiomba radhi kwa kilichotokea.“ . . .
Christian Eriksen anasema ni muujiza kuweza kuanza tena soka akiwa na Brentford baada ya kuzimia alipokuwa akiichezea Denmark kwenye Euro 2020 msimu uliopita wa joto. M . . .
Marekani Jumatano imejipatia medali yake ya kwanza ya dhahabu kwenye michecho ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Beijing, China, kupitia ushindi wa Lindsey Jacob . . .
mchezo wao wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast, unaotarajiwa kufanyika Februari 13, katika Uwanja wa Mkapa, Dar.Sim . . .
China imesema Jumanne kwamba itaalika watazamaji zaidi kwenye michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayoendelea mjini Beijing kutokana na fanaka kubwa ya kudhibi . . .
Uongozi wa klabu ya Young Africans umepaza sauti na kusema timu yao imekua ikipata wakati mgumu dhidi ya waamuzi wanaochezesha michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara. . . .
Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi . . .
Mchezaji nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye picha ya video akimpiga paka wake kama mpira kwenye sakafu y . . .