logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 15, 2025

Ahmed Ally Awatoa Hofu Wana Simba Kuhusu Kuondoka Kwa Mpanzu, Bado Yupo Sana

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amewatoa hofu mashabiki wa klabu ya Simba kuwa kiungo wao Ellie Mpanzu yupo bado msimbazi kwa msimu mmoja na nu . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 13, 2025

TFF Yamfungia Ramadhan Missiru Miaka 6 Na Faini Ya Milioni Tano

Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Ramadhan Missiru kujihusisha . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jacobmlaytz
  • May 12, 2025

RASMI CARLO ANCELOTTI KOCHA MPYA BRAZIL

Kocha Carlo Ancelotti amethibitishwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil kwa mujibu wa shirikisho la soka la Brazil (CBF).Kocha huyo muitaliano ataachana na Real Madrid . . .

news
SOKA
  • Na Jacobmlaytz
  • May 12, 2025

XABI ALONSO KUANZA KUIFUNDISHA MADRID KOMBE LA DUNIA

Klabu ya Real Madrid inataka kocha Xabi Alonso kuanza majukumu ya kuwa meneja wao mpya mapema ili kukiandaa kikosi hicho kujiandaa na michezo ya kombe la Dunia kwa vilab . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 8, 2025

PSG WAMEFUZU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA UALAYA

Paris Saint-Germain (PSG) wamefuzu kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) baada ya kuwatoa Arsenal kwa jumla ya mabao 3-1 katika hatua ya nusu fainali. PSG walishind . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 6, 2025

Kariakoo Derby kupigwa Juni 15

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Jumapili Juni 15, 2025.Bodi ya Ligi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 2, 2025

Dabi ya Kariakoo Itapigwa tu Liwalo na Liwe

Yanga SC imerudishwa kamati ya rufaa ya TFF, CAS wamesema Yanga walitakiwa kuanzia Kamati ya rufaa ya TFF kwa mujibu wa kanuni za TFF, Bodi ya ligi (TPLB) na CAS.CAS wame . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 23, 2025

Stellenbosch FC Waanza Kutupa Vijembe

Kuelekea mchezo wa marudiano wa CAFCC dhidi ya Simba SC, klabu ya Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini imeonyesha uhakika wa kushunda mchezo na hamasa kubwa mashabiki na . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 20, 2025

Baada ya Ushindi wa 3-0 wa Singida Black Stars Dhidi ya Tabora United Huu Ndio Msimamo wa Ligi

Baada ya ushindi wa kishindo wa mabao 3-0 wa Singida Black Stars dhidi ya Tabora United, mabadiliko makubwa yameshuhudiwa kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Mchezo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 18, 2025

Yanga Wanamtaka Fei Toto kuziba pengo la Aziz ki

Yanga wanamtaka Fei Toto kuziba pengo la Aziz ki kwenye kikosi Chao. Yanga ambayo ilimuuza kwa nguvu Fei Toto kwenda Azam Fc, nayo imefanikiwa japo kuumaliza mgogoro kati . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 14, 2025

Hersi Said Apewa TUZO Kwa Mchango Wake wa Kuunganisha Vilabu Afrika

RAIS wa Klabu ya Yanga Sc na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika [ACA), Eng. Hersi Said (@caamil_88) amepata tuzo kutoka World Football Summit [WFS], ya kuthamini mchang . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 11, 2025

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking)

Viwango vya Ubora Barani Africa CAF Club Ranking 2025 | Mfumo wa viwango vya CAF wa miaka 5 hutumiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuamua idadi ya vilabu ambavyo kil . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 9, 2025

KIKOSI Cha Simba Vs Al Masry Leo Tarehe 09 April 2024

Simba itamenyana na Al Masry Port Said katika mchujo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Shirikisho Aprili 9. Mchezo utaanza saa 16:00 kwa saa za kwenu.Huku Simba na Al Masry . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 4, 2025

Aziz K Ashikilia Namba 4 Kwa Wachezaji Wazawa wa Ndani Afrika wanaolipwa Mkwanja Mrefu

Kupitia kwenye Jarida la Africa Facts Zone limetoa orodha ya Wachezaji wanaolipwa mkunjwa mrefu zaidi kwa mwaka kwa wachezaji wanaochezea soka la ndani ya Afrika.Katika O . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 30, 2025

Mbappe aifikia rekodi ya Ronaldo Real Madrid

Kylian Mbappe ameifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kufunga magoli 33 katika msimu wake wa kwanza akiwa Real Madrid baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa 3- . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 28, 2025

Kenya"Tanzania Mjipange Na Matokeo

Baada ya golikipa  wa timu aya Taifa ya Kenya Harambee Stars Patrick Matasi kusimamishwa kwa tuhuma za upangaji wa matokeo, @hoseamchopa ameongea na nyota wa zamani . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 27, 2025

Jean Baleke Apata Timu Afrika Kusini

Klabu ya AmaZulu FC ya Afrika Kusini imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa kutoka DRC, Jean Baleke!Mchezaji huyo amesaini mkataba rasmi baada ya kusafiri hadi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 25, 2025

Serikali yaita kikao kizito kuamua Kariakoo Derby

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ( . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 19, 2025

Busara na Hekima zitumike zaidi Dabi ya Kariakoo

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambap . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 12, 2025

Motsepe Achaguliwa Tena Kuongoza CAF Hadi 2029

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Dk. Patrice Motsepe, amechaguliwa tena kuliongoza Shirikisho hilo kama Rais kwa kipindi cha miaka minne ijayo.Motsepe am . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 10, 2025

TFF Yavifungia Viwanja Vitatu Vya Ligi Kuu Kwa Kutokidhi Vigezo

hirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Ba . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 9, 2025

Makamu wa Rais wa Yanga: Hakuna Mechi Tena Dhidi ya Simba Msimu Huu!

Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji, ameweka wazi kuwa mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga SC na Simba SC, iliyokuwa imepangwa kufanyika Machi 8, 2025, haitapangiwa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 7, 2025

Fifa Yaifungia Congo Brazzaville Kushiriki Shughuli Zote Za Kisoka

Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA) limetangaza kusimamisha shirikisho la soka la Congo (FECOFOOT), hivyo kupiga marufuku timu ya taifa ya Congo na vilabu kushiriki ka . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • February 6, 2025

Cristiano azungumzia shauku yake kwa Ronaldo JR

Mshambulizi wa Al Nassr Cristiano Ronaldo amefanya mahojiano na Canal 11, ambapo alisisitiza hamu yake ya kucheza kwenye uwanja sawa na mwanawe, Cristiano Jr. Hata hivyo, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 28, 2025

Aziz Ki Ageuka Dhahabu Klabu Nne Zataka Saini yake

Inaelezwa kuwa timu nne Barani Afrika Orlando Pirates, MC Alger, Wydad Casablanca na Al Ahly Benghazi zinawinda saini ya kiungo wa Yanga SC, Stephan Aziz K raia wa Burkin . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 9, 2025

CAF Yaongeza Fedha Kwa Mshindi wa Kombe la CHAN

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza ongezeko la asilimia 75 kwa atakayebeba Kombe la CHAN ambapo mshindi sasa atapata Dola za Kimarekani Milioni 3.5.CA . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 30, 2024

Manchester City yarejesha matumaini mapya kwa mashabiki

Ushindi wa mabao 3-0 walioupata Manchester City dhidi ya Leicester City umerejesha matumaini ya kikosi cha Pep Guardiola kilichoanzafa vibaya kwa msimu huu. Ushindi huo n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 19, 2024

TFF Yamfungia Miaka Mitano Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha DRFA

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano kujihusisha na mpira wa miguu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 17, 2024

Mtoto wa Mwanamuziki Joh Makini Aitwaye King Mseke Huyoo Manchester City Academy

Mtoto King John Mseke (9) ambaye ni Mtoto wa Msanii Staa wa Hiphop Tanzania Joh Makini ( @JohMakiniTZ ), amewasili katika Academy ya Club ya Manchester City iliyopo Jijin . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 12, 2024

Uhispania, Ureno na Morocco Wathibitishwa kuwa Wenyeji kombe la Dunia 2030

Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limethibitisha kuipatia Saudi Arabia haki za kuwa nchi mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA la 2034 huku Uhispania, Ureno na Morocco wakit . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 29, 2024

Simba na Yanga Kupanda Ndege Moja Kwenda Algeria

SERIKALI imesema inaangalia uwezakano wa kuwapa Simba na Yanga ndege moja kwa ajili ya kwenda nchini Algeria katika michezo yao ya Kimataifa ya hatua ya makundi ya Ligi y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 27, 2024

Mechi sita zilizomfanya Pep kuanza kusitasita Manchester City

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu ya Kandanda Uingereza (Epl) Manchester City wamejikuta katika hali ambayo hawajazoea miaka ya hivi karibuni.Mechi ya Jumanne ya Kipute cha Klab . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 26, 2024

Sababu za FIFA kubadili muundo wa dimba la Kombe la Dunia la Klabu

SHIRIKISHO la Kandanda Duniani (FIFA), lilizindua rasmi muundo mpya wa ‘FIFA Club World Cup’ mnamo Novemba 14, 2024.Shirikisho hili linachukulia hii kuwa hatua kubwa . . .

Kurasa 7 ya 27

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode