logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Asha Business
  • August 2, 2024

Simba Washusha Golikipa Mpya wa Kimataifa

Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpyaKlabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpyaKlabu ya Simba ime . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2024

Kichapo Kutoka Kwa Yanga Kwaifanya Kaizer Chief Kujitathmini Upya...Kikosi Chafumuliwa

Baada ya Yanga kuichapa mabao 4-0 Kaizer Cheif ya Sauzi, Mabosi wa kikosi hicho wameshtuka na kuanza hesabu kali za usajili, huku kocha akiwataka kuboresha maeneo matatu. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 31, 2024

CHELSEA YAMNASA GOLIKIPA JORGENSEN

Klabu ya chelsea imefanikiwa kumnasa golikipa Filip Jorgensen kutoka Villareal ya hispania kwa ada ya euro milioni 20.7 . Golikipa huyo aliicheza mechi 36 kwa msimu uliop . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2024

FIFA kuichunguza Argentina juu ya madai ya ubaguzi

Shirikisho la soka duniani FIFA linachunguza video inayoonyesha wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina wakiimba nyimbo kuhusu wachezaji wa Ufaransa zilizotafsiriwa na sh . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2024

Yanga Mabingwa wa Safari Cup, Wampiga Mtu bao nne

Klabu ya Young Africans Sc imeibuka bingwa wa kombe la Safari Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Safari Champions katika dimba la Benjamin Mkapa. . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 30, 2024

Etoo Aishangaa South Afrika Kuwa na Ligi Bora ila Timu ya Taifa Mbovu

Ligi ya Afrika Kusini inafanya vyema na ni moja kati ya ligi bora barani Afrika lakini Sielewi kwanini timu yao ya taifa sio nzuri ”“Wasimamizi wanatakiwa kukaa na ku . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 18, 2024

De Bruyne Aomba Kujiunga Real Madrid

Nyota wa klabu ya Manchester City, Kevin De Bruyne yupo tayari kupunguza nusu ya mshahara wake ili acheze misimu miwili au mitatu Real Madrid.Nyota huyo raia wa Ubelgiji . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 14, 2024

Mgunda kurejea Coastal Union

 Inaelezwa kuwa juma mgunda yupo mbioni kurejea Coastal Union kwa nia ya kwenda kuiongezea nguvu timu hiyo itakayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ina . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 7, 2024

Wajumbe wote wa Simba wamejiuzulu

Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mfanyabiashara Mohamed Dewji ameripotiwa kutoa shinikizo la kujiuzulu nafasi zao kwa wajumbe wote aliowateua yeye ambapo mpaka sasa wajumbe w . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 5, 2024

Barbara Gonzalez Arudi SIMBA, Mo Dewji Hataki Masihara

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez amekubali kurudi ndani ya klabu hiyo.Makubaliano baina ya pande zote mbili, yaani Bodi ya Wakurungenzi n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • June 4, 2024

Real Madrid watangaza kumsajili Kylian Mbappe

Winga wa Ufaransa, Kylian Mbappe amekamilisha taratibu zote za usajili za kujiunga na Real Madrid akitokea PSG.Kwa mujibu wa ripoti, Mbappe atakuwa akilipwa mshahara wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 28, 2024

Wachezaji Walioitwa Taifa Stars Mashindano ya Kufuzu Kombe la Dunia

KIKOSI Cha Tanzania Kilichoitwa vs Zambia Kufuzu Kombe la DuniaNi kesho ligi inatamatika huku ni Yanga vs Tz prison kule ni Simba vs Jkt tanzania usikose kuzitazama mechi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 26, 2024

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union Mambo Mazuri, Kushiriki Michuano ya CAF

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wamejihakikisha nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao baada ya leo kukata tiketi ya CAF kwa kutoka suluhu na JKT Tanzania kwe . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 24, 2024

Zirkzee kwenye rada za Arsenal

Klabu ya Arsenal inahusishwa na mpango wa kumsajili Mshambuliaji kutoka nchini Uholanzi na Klabu ya Bologna ya Italia Joshua Orobosa Zirkzee.Siri ya mpango wa usajili wa . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 22, 2024

Guardiola afunguka mafanikio 2023/24

Kocha wa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City Pep Guardiola ametajwa kuwa Kocha Bora wa Msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu ya England.Guardiola aliiongoza Manche . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 22, 2024

Kocha wa Man United Ten Hag Ajipa Moyo "Mbona Man United Tamu tu Tupo Vizuri"

Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amedai Manchester United ipo katika nafasi nzuri zaidi ya ilivyokuwa miezi 12 iliyopita, licha ya kuwa katika hatari ya kumaliza . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 14, 2024

Mbappe mshahara wake kupunzwa Real Madrid

Mshambulaiji kutoka nchini Ufaransa Kylian Mbappe atalazimika kupunguza sehemu kubwa ya mshahara wake ili kufanikisha safari ya kutua kwa Mabingwa wa Soka nchini Hispania . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 9, 2024

Ngoma awapa masharti viongozi Simba SC

Kiungo Mkabaji kutoka DR Congo na Klabu ya Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikosini hapo, wasajili wachezaji w . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 8, 2024

Mwamba anarudi tena nyumbani

Nyota wa Chelsea, Thiago Silva mwenye umri wa miaka 39 atajiunga tena na klabu ya Fluminese ya kwao Brazil.Chelsea itamruhusu kujiunga na klabu hiyo ya Brazil mapema sana . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 8, 2024

Tabora United yawakuta mazito

Mchezaji kutoka DR Congo Makuntima Kisombe Guylain ameiwekea kigingi klabu ya Tabora United kufanya usajili, baada ya kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo ya mkoani . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 6, 2024

Lameck Lawi kuvaa viatu vya Inonga

Unaweza kusema ndani ya Simba eneo la beki wa kati mwenye namba yake yupo njiani kutua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa aji . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • May 6, 2024

Mchezaji Aziz K Ateuliwa Mchezaji Bora Mwezi wa Nne

Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili 2024, kwenye NBC Premier League huku kocha wa timu hiyo Miguel Gamond akit . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 16, 2024

Chama Apewa Zawadi ya Kitimoto

Shabiki wa Simba Simon Mkondya ambaye ni Mfanyabiashara na Mfugaji kutoka Jijini Dodoma ( 104.4), amemtaka Wachezaji wa Simba Clatous Chama na Kibu Dennis kwenda kuchukua . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 16, 2024

Mangungu Akataa Kujiuzulu Simba

Tetesi zinazoendelea kwa sasa katika Klabu ya Simba SC juu ya Mwenyekiti wao upande wa wanachama;SIMBA MPYA: Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klab . . .

news
Masumbwi
  • Na Asha Business
  • April 12, 2024

Mandonga Achezea Kichapo kwa Mada Maugo, apigwa TKO

Bondia Karim Mandonga amepoteza pambano dhidi ya Mada Maugo kwa kupigwa katika Raundi ya 6 kwa TKO kwenye pambano lililofanyika Mkoani MorogoroNgumi iliyopigwa kwenye kid . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 9, 2024

Klopp aionya Manchester United

Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameionya Manchester United akisema watachezea kichapo kutoka kwa Arsenal mwezi ujao ikiwa watacheza kama walivyocheza dhidi ya kikosi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 8, 2024

PSG imedhamiria kwa Victor Osimhen

Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris St-Germain wamepaga kulipa Pauni 111.5 milioni kumnunua Mshambuliaji wa SSC Napoli, Victor Osimhen katika dirisha lijalo la majira . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 5, 2024

FECAFOOT yakana ujio wa kocha mpya

Shirikisho la Soka nchini Cameroon ‘FECAFOOT’ limekanusha na kushangazwa na Wizara ya Michezo ya nchi hiyo kumteua Marc Brys kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa, . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 1, 2024

Haaland "Man City bado wanaweza kushinda taji la EPL"

Jangili wa Manchester City, Erling Haaland , amesema kwamba timu yake bado inaweza kushinda taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) licha ya sare ya bila kufungana . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • April 1, 2024

Ten Hag Afungukia Madai ya Kutemwa Kibarua chake Man U

Mkufunzi wa Manchester United Erik ten Hag anasema hajali kuhusu uvumi unaohusu kibarua chake.Kundi la Sir Jim Ratcliffe la Ineos linaripotiwa kufikiria kufanya marekebis . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 20, 2024

Lionel Messi atemwa Argentina

Nahodha na Mshambuliaji Lionel Messi atakosa mechi zijazo za Kimataifa ya Kirafiki za Argentina dhidi ya El Salvador na Costa Rica kwa sababu ya jeraha la msuli wa paja l . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 20, 2024

Ihefu FC yahamia jijini Arusha

Kikosi cha Ihefu FC, kitaweka kambi jijini Arusha kwa ajili ya kuweka kambi kujiandaa na michezo inayokuja ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’.Tim . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • March 8, 2024

Al hilal yaipatia Azam fc mpunga wa kutosha

Kwa mujibu wa taarifa zinasema kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imepeleka ofa ya Dola 200,000 [TZS 509 Million] kwenye klabu ya Azam FC ili kuinasa saini ya mshambuliaji w . . .

Kurasa 9 ya 27

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode