Mabalozi wa Sweden na Finland wamewasilisha rasmi maombi yao ya kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO leo kwa Katibu Mkuu Jens Stoltenbe . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amewalaumu maafisa wa serikali yake kwa uzembe uliosababisha hali ya janga la virusi vya corona n . . .
Baraza la mawaziri la Uhispania limeidhinisha mswada unaowapa wanawake likizo ya kimatibabu yenye malipo, wanapopitia maumivu makali kipin . . .
Raila Odinga Junior, kitinda mimba wa kinara wa ODM Raila Odinga, amebashiri ushindi mkubwa wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika . . .
Hospitali ya Kitaifa ya Abuja, siku ya Jumatatu, Mei 16, ilikanusha madai kuwa maiti ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Osinachi Nwach . . .
Watu wawili wametiwa mbaroni kwa madai ya kusafirisha pombe haramu iliyovishwa kama maiti kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya hadi Nairobi wa . . .
Rais wa Marekani Joe Biden alitangaza Jumanne kwamba tukio lililotokea mwishoni mwa wiki la shambulizi la risasi kwa umma katika mji w . . .
Kiongozi wa cheo cha juu wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan anaahidi nchi yake kamwe haitakuwa tena tishio la kigaidi kwa Marekani . . .
ZAIDI ya vijana 100 mkoani Mwanza, wameunda umoja wa mabalozi wa Sensa wa kujitolea kwaajili ya kusaidia tukio la Sensa lipate matokeo cha . . .
Rais mteule wa Somalia anakaribisha taarifa kwamba kikosi maalum cha operesheni cha Marekani kitakuwa tena nchini Somalia kusaidia katik . . .
Serikali imesema itapitia upya mkataba wa mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas ili kuhakikisha kuwa haitakuwa na mkataba wen . . .
Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuanza watalii wa ndani na kutoka nje ya nchi kutaka kumuona.Nyati . . .
Kanisa la Angalikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza, limewataka watanzania kumrejea mwenyezi Mungu kwa kuepuka vitendo vya mmomonyok . . .
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuondolewa kazini Wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa (MSD), kufuatilia malalamiko mengi ambayo . . .
Halima Yunusa amempeleka baba mkwe katika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Sharia Court) katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria kwa madai ya . . .
Benki ya dunia itaipa serikali ya Ethiopia kima cha shilling dolla millioni 300, zitakazotumika kusaidia kujenga upy . . .
Umoja wa mataifa umesema idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapia mlo inazidi kuongezeka kidunia, hali hii ikichang . . .
Nchini Burkina Faso, ukatili dhidi ya raia umeongezeka kwa kasi katika muda wa miezi tisa iliyopita, kulingana na . . .
Juhudi zinaendelea kuwaokoa wapiganaji wa mwisho wa Ukraine ndani ya kiwanda cha chuma cha pua cha Azovstal katika mji ulioharibiwa na vit . . .
Chama cha ODM kimevunja ukimya wake baada ya kundi la wanamuziki la Sauti Sol kutishia kuushtaki muungano wa Azimio la Umoja kwa misingi ya . . .
Polisi wa Israel walifyetua gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyatawanya makundi ya waandamanaji Wapalestina jana Jumatatu kufuati . . .
Serikali ya Mali inayoongozwa na rais aliyefanya mapinguzi mara mbili imetangaza kuwa vikosi vyake vya usalama vimezuia jaribio la mapindu . . .
Kundi la wanamuziki la Sauti Sol limetishia kushtaki muungano wa Azimio la Umoja kwa kutumia wimbo wao wa Extravaganza bila idhini yao.Katik . . .
Vikosi vya Marekani vilivyopewa jukumu la kukabiliana na kundi la kigaidi la al-Shabab havitalazimika tena kusafiri hadi Somalia kutoka . . .
Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo siku ya Jumatatu alivunja bunge la nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwa . . .
Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris na waziri wa mambo ya nje Marekani Antony Blinken siku ya Jumatatu waliwasilisha rambirambi kwa . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka viongozi wa Serikali kuzima magari yao wanaposhuka badala ya kuyaacha kwa muda mrefu yakiwa ya . . .
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amependekeza kufutwa kwa baadhi ya vipengele katika Katiba . . .
https://iframes.5centscdn.com/5centscdn/hls/skin1/52qu8rxfep0viqx1/aHR0cHM6Ly85NnZkOTJiM3l4cTctaGxzLWxpdmUuNWNlbnRzY2RuLmNvbS9qZW1iZS8wYWIzN . . .
Ni Wakali kutokea Nigeria, Mavin, Crayon, Ayra Starr, LADIPOE, Magixx, Boy Spyce wametuletea hii ngoma mpya iitwayo Overdose. . . .
Katika siku ya 82 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu hii, Mei 16, Ukraine imedai kuwa udhibiti wa eneo la . . .
Raia wa Tunisia wameandamana katika jiji la taifa hilo Tunis, kupinga hatua ya rais Kais Saied kuendelea kujilimbikizia madaraka na kupand . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemchagua kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, kuwa mgombea mwenza katika uch . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atayaomba mabara ya Afrika na Asia yamuunge mkono. Zelensky amesema habari juu ya mahitaji ya . . .
Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upig . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza hii leo, baada ya kupokea majina matatu kutoka kwa jop . . .
Wanafunzi 76 wa shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza mjini Kibaha wamenusurika kifo baada ya moto kuteketeza bweni la shule hiyo.Moto h . . .