logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Top Story
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Sweden na Finland zawasilisha rasmi maombi ya kujiunga NATO

Mabalozi wa Sweden na Finland wamewasilisha rasmi maombi yao ya kujiunga na Jumuiya ya Kujihami ya NATO leo kwa Katibu Mkuu Jens Stoltenbe . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Kim awalaumu maafisa wa serikali yake kuenea kwa corona

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amewalaumu maafisa wa serikali yake kwa uzembe uliosababisha hali ya janga la virusi vya corona n . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Mawaziri Uhispania wapitisha likizo ya wanawake walio katika hedhi

Baraza la mawaziri la Uhispania limeidhinisha mswada unaowapa wanawake likizo ya kimatibabu yenye malipo, wanapopitia maumivu makali kipin . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Raila Odinga Junior "Baba Atakuwa Ikulu Asubuhi na Mapema".

Raila Odinga Junior, kitinda mimba wa kinara wa ODM Raila Odinga, amebashiri ushindi mkubwa wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya katika . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Hospitali Yakanusha Madai ya Maiti ya Msanii Osinachi Kuimba Ekwueme usiku.

Hospitali ya Kitaifa ya Abuja, siku ya Jumatatu, Mei 16, ilikanusha madai kuwa maiti ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Osinachi Nwach . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

WATU WAWILI WANASWA WAKISAFIRISHA POMBE HARAMU KWA KUTUMIA GARI LA KUBEBEA MAITI.

Watu wawili wametiwa mbaroni kwa madai ya kusafirisha pombe haramu iliyovishwa kama maiti kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya hadi Nairobi wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Rais Biden na mkewe wametembelea eneo la shambulizi la risasi huko Buffalo, New York

Rais wa Marekani Joe Biden alitangaza Jumanne kwamba tukio lililotokea mwishoni mwa wiki la shambulizi la risasi kwa umma katika mji w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Kiongozi wa Taliban nchini Afghanistan anaahidi nchi hiyo haitakuwa tena tishio kwa Marekani

Kiongozi wa cheo cha juu wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan anaahidi nchi yake kamwe haitakuwa tena tishio la kigaidi kwa Marekani . . .

Michezo
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

MFAHAMU FRED ROLZ MWANARIADHA ALIYEIACHA DUNIA MDOMO WAZI

. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

MABALOZI WA SENSA MWANZA WAPANIA KUIFANYA SENSA 2022.

ZAIDI ya vijana 100 mkoani Mwanza, wameunda umoja wa mabalozi wa Sensa wa kujitolea kwaajili ya kusaidia tukio la Sensa lipate matokeo cha . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Rais Mteule wa Somalia amepokea kwa furaha taarifa ya Marekani kupambana dhidi ya Al Shabaab.

Rais mteule wa Somalia anakaribisha taarifa kwamba kikosi maalum cha operesheni cha Marekani kitakuwa tena nchini Somalia kusaidia katik . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 18, 2022

Serikali kupitia upya mkataba wa Songas

Serikali imesema itapitia upya mkataba wa mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas ili kuhakikisha kuwa haitakuwa na mkataba wen . . .

UTALII
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

NYATI MWEUPE AONEKANA TANZANIA.

 Nyati mweupe ameonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuanza watalii wa ndani na kutoka nje ya nchi kutaka kumuona.Nyati . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

TUTAPIGA MAOMBI MWANZA MPAKA 'PANYA ROAD' WAOKOKE

Kanisa la Angalikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza, limewataka watanzania kumrejea mwenyezi Mungu kwa kuepuka vitendo vya mmomonyok . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Wakurugenzi watano MSD waondolewa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametangaza kuondolewa kazini Wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa (MSD), kufuatilia malalamiko mengi ambayo . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Binti Ampeleka Baba Mkwe Mahakamani.

Halima Yunusa amempeleka baba mkwe katika Mahakama ya Kiislamu Islamic (Sharia Court) katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria kwa madai ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Benki ya dunia kushirikiana na Ethiopia

Benki ya dunia itaipa serikali ya Ethiopia kima cha shilling dolla millioni 300, zitakazotumika kusaidia kujenga upy . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Utapia mlo kutatiza watoto katika Bara la Africa.

Umoja wa mataifa umesema idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapia mlo inazidi kuongezeka kidunia, hali hii ikichang . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

HRW yalaani ongezeko la ghasia dhidi ya raia

Nchini Burkina Faso, ukatili dhidi ya raia umeongezeka kwa kasi katika muda wa miezi tisa iliyopita, kulingana na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Ukraine yaongeza juhudi za uokozi Azovstal

Juhudi zinaendelea kuwaokoa wapiganaji wa mwisho wa Ukraine ndani ya kiwanda cha chuma cha pua cha Azovstal katika mji ulioharibiwa na vit . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

ODM Yazungumza Baada ya Sauti Sol Kutishia Kushtaki Azimio kwa Kutumia Wimbo wao.

Chama cha ODM kimevunja ukimya wake baada ya kundi la wanamuziki la Sauti Sol kutishia kuushtaki muungano wa Azimio la Umoja kwa misingi ya . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Machafuko yazuka Jerusalem kufuatia mazishi

Polisi wa Israel walifyetua gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kuyatawanya makundi ya waandamanaji Wapalestina jana Jumatatu kufuati . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Serikali ya Mali yazuia jaribio la mapinduzi

Serikali ya Mali inayoongozwa na rais aliyefanya mapinguzi mara mbili imetangaza kuwa vikosi vyake vya usalama vimezuia jaribio la mapindu . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Kimeumana! Sauti Sol Kushtaki Azimio la Umoja kwa Kutumia Wimbo wao Kuzindua Mgombea Mwenza Martha Karua.

Kundi la wanamuziki la Sauti Sol limetishia kushtaki muungano wa Azimio la Umoja kwa kutumia wimbo wao wa Extravaganza bila idhini yao.Katik . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Wanajeshi wa Marekani wasiozidi 500 wameidhinishwa kuingia Somalia kukabiliana na Al Shabaab.

Vikosi vya Marekani vilivyopewa jukumu la kukabiliana na kundi la kigaidi la al-Shabab havitalazimika tena kusafiri hadi Somalia kutoka . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Rais Bissau amevunja bunge" nitaitishwa uchaguzi wa mapema".

Rais wa Guinea Bissau Umaro Sissoco Embalo siku ya Jumatatu alivunja bunge la nchi hiyo na kusema kuwa utaitishwa uchaguzi wa mapema mwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Kamala Harris na Blinken wamewasilisha rambirambi kwa familia ya marehemu Rais wa UAE

Makamu wa Rais wa Marekani kamala Harris na waziri wa mambo ya nje Marekani Antony Blinken siku ya Jumatatu waliwasilisha rambirambi kwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Dk Tulia aonya matumizi mabaya ya mafuta magari ya viongozi

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka viongozi wa Serikali kuzima magari yao wanaposhuka badala ya kuyaacha kwa muda mrefu yakiwa ya . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 17, 2022

Ludovick Utouh alia na Katiba

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amependekeza kufutwa kwa baadhi ya vipengele katika Katiba . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • May 16, 2022

SIKILIZA JEMBE FM HAPA

https://iframes.5centscdn.com/5centscdn/hls/skin1/52qu8rxfep0viqx1/aHR0cHM6Ly85NnZkOTJiM3l4cTctaGxzLWxpdmUuNWNlbnRzY2RuLmNvbS9qZW1iZS8wYWIzN . . .

Habari
  • Na Jembefmtz
  • May 16, 2022

SIKILIZA JEMBE FM HAPA

93.7 MWANZA . . .

Muziki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Wakali wa Nigeria wameungana kuileta Ngoma hii.

Ni Wakali kutokea Nigeria, Mavin, Crayon, Ayra Starr, LADIPOE, Magixx, Boy Spyce wametuletea hii ngoma mpya iitwayo Overdose. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Vikosi vya Ukraine vyadai kuwa vimedhibiti tena enero la mpakani Kharkiv

Katika siku ya 82 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, Jumatatu hii, Mei 16, Ukraine imedai kuwa udhibiti wa eneo la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Raia waandamana kutaka mabadiliko

Raia wa Tunisia wameandamana katika jiji la taifa hilo Tunis, kupinga hatua ya rais Kais Saied kuendelea kujilimbikizia madaraka na kupand . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Odinga

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amemchagua kiongozi wa chama cha Narc Kenya, Martha Karua, kuwa mgombea mwenza katika uch . . .

Top Story
  • Na Jembefmtz
  • May 16, 2022

JEMBE FM

93.7 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Ukraine yataka kuungwa mkono na Afrika katika vita na Urusi

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atayaomba mabara ya Afrika na Asia yamuunge mkono. Zelensky amesema habari juu ya mahitaji ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upig . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Odinga kumtangaza mgombea mwenza

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, anatarajiwa kumtaja mgombea mwenza hii leo, baada ya kupokea majina matatu kutoka kwa jop . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Wanafunzi 76 wanusurika kifo bweni likiteketea Kibaha

Wanafunzi 76 wa shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza mjini Kibaha wamenusurika kifo baada ya moto kuteketeza bweni la shule hiyo.Moto h . . .

Kurasa 168 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category