logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
bungeni
  • Na Asha Business
  • May 16, 2022

Ratiba ya Bunge yapanguliwa uwasilishaji Bajeti Kuu

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amatangaza mabadiliko ya ratiba ya Bunge akisema ni makubaliano ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika M . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Ujerumani iko tayari Finland na Sweden ziidhinishwe katika NATO

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema nchi yake imefanya maandalizi yote ya mchakato wa uidhinishaji wa haraka iwa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Korea Kaskazini yaripoti vifo 15 zaidi kutokana na 'homa'

Korea Kaskazini leo imeripoti vifo 15 zaidi kutokana na kile ilichokiita homa, siku chache baada ya kuthibitisha rasmi maambukizo yake ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Wagombea 36 kushiriki katika uchaguzi wa rais nchini Somalia hii leo

Wagombea 36 wanawania kiti cha rais katika uchaguzi unaofanyika leo nchini Somalia ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu.Rais huyo atachag . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Mashambuli ya makombora yaharibu miundo mbinu ya kijeshi Ukraine

Gavana wa jimbo la Lviv nchini Ukraine Maxim Kozitsky amesema leo kuwa mashambulizi manne ya makombora yamelenga miundo mbinu ya kijeshi k . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Amber Lulu" Najilaumu Kuunadi Mwili Wangu Kwenye Mitandao".

Lulu Euggen almaarufu Amber Lulu; ni muuza nyago (video vixen) na ni msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ambaye anafunguka kuwa, kipin . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Nai" Mastaa Acheni Pombe Kali na Bata Zisizokuwa na Maana Kwenu".

NAIRATH Ramadhan au Nai; ni video vixen na msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka sababu iliyomfanya apungue, kuwa ni . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 15, 2022

Serikali Yaitaka Kampuni Ya Gas Entec Tanzania Kuzingatia Mkataba

SERIKALI imeuelekeza uongozi wa  Kampuni ya  Gas Entec Tanzania ambayo inajenga meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi  Tu kuzi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya muandaaji yawekwa faraghani

Mahakama ya mwanzo mjini Kigali imeamua kuendesha kesi dhidi ya mwandaaji wa shindano la urembo la Rwanda -Miss Rwanda faraghani ili kuwal . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Mkenya anayepambana na ukeketaji ametangazwa kuwa muuguzi bora zaidi duniani

Muuguzi wa Kenya ameshinda tuzo ya kwanza kuwahi kuepo ya uuguzi duniani ambayo ina zawadi ya $250,000. Anna Qabale Duba, ambaye anafanya . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Wazazi wamshtaki mwanao wa kiume kwa kuchelewa kuwapa mjuku.

Wanadoa wawili kaskazini mwa India katika jimbo la Uttarakhand, wamefunguliwa kesi mwanao wa kiume pamoja na mkewe kwa kukosa kuwapa waj . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Mnadhimu mkuu wa jeshi amehitimisha ziara nchini Rwanda.

Mnadhimu mkuu wa jeshi la Mali, Jenerali Oumar Diarra, alhamis Mei 12 amehitimisha ziara ya siku tatu ya kikazi nchini Rwanda, ambapo pia . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Marekani yaonya uwezekano wakutokea shambulio la kigaidi mashariki mwa DRC.

Serikali ya Marekani imeonya kuhusu uwezekano kwa kutoka kwa shambulio la kigaidi katika eneo la Goma, Mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Mama Mwenye Rotuba Zaidi Duniani Aliyejaaliwa Watoto 44 Ambaye Alipigwa Marufuku Kuzaa Tena.

Mariam Nabatanzi alikuwa na umri wa miaka 13 tu alipojaaliwa pacha wake wa kwanza. Na wakati anafikisha umri wa miaka 36, tayari Mariam alik . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Waliokimbia Ukraine wapindukia milioni 6

Shirika la Umoja wa Mataifa lenye kuwahudumia wakimbizi UNHCR limesema zaidi ya watu milioni 6 hadi sasa wameikimbia Ukraine tangu Urusi i . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Zelenskyy anasema yupo tayari kuzungumza na Putin

Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema yupo tayari kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika kufanikisha makubalian . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Ujerumani imesema inaweza kuhimili athari za vikwazo vya nishati ya Urusi

Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Robert Habeck amesema athari za vikwazo vya Urusi katika sekta ya nishati ya Ujerumani zinaweza kudhibitiw . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Twitter Yawatimua Kazi Mameneja Wawili Kupisha Utawala wa Elon Musk

TWITTER imewatimua kazi Mameneja wawili wa ngazi ya juu na kusitisha ajira ikiwa ni mpango wake wa mabadiliko chini ya utawala mpya wa b . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

WEMA SEPETU " SIWEZI KUCHORA TATOO YA MWANAUME BABA YANGU YUPO".

Wema Isaac Abraham Sepetu siku hizi wanamuita Last Born wa Taifa; ni staa mwenye jina kubwa kunako Bongo Movies ambaye anafunguka kuwa, ka . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Wanafunzi Waislamu wamua kwa mawe mwanafunzi Mkristo wakimtuhumu kumkashifu Mtume Muhammad

Wanafunzi Waislamu katika mji wa jimbo la kaskazini magharibi mwa Nigeria la Sokoto Alhamisi wamempiga mawe mwanafunzi Mkristo hadi kufa . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Korea Kaskazini yathibitisha kifo cha kwanza cha Covid 19, shughuli zote zafungwa kudhibiti maambukizi

Shirika la habari la Korea Kaskazini (KCNA) leo Ijumaa limethibitisha kifo cha kwanza cha Covid 19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa ras . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Rais Ramaphosa ayaomba mashirika ya kimataifa kununua chanjo za Covid zinazotengenezwa Afrika

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi ameyaomba mashirika ya kimataifa yanayosaidia katika mpango wa chanjo dhidi ya virusi vya . . .

Bungeni
  • Na Asha Business
  • May 13, 2022

Wabunge waliotimuliwa uanachama Chadema watinga bungeni

abunge wa viti maalum waliofukuzwa uanachama wa Chadema juzi leo Ijuma Mei 13 wameudhuria vikao vya Bunge isipokuwa Halima Mdee na Ester . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Mama Aomba Mahakama Kumfunga Mwanawe Hadi Atakapoaga Dunia.

Mama mmoja alizua kizaazaa katika mahakama ya Eldoret nchini kenya baada ya kumlilia hakimu kumfunga mwanawe hadi pale ambapo yeye na mumewe . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Viongozi wa Finland waunga mkono nchi hiyo kujiunga na NATO

Viongozi wakuu wa Finland wamesema hii leo kuwa wanaunga mkono taifa hilo kuomba uanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO hatua inayofungu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Muswada wa sheria wa kulinda haki ya wanawake kutoa mimba wakwama kwenye baraza la Seneti la Marekani

Wademocrats katika baraza la Seneti Jumatano wameshindwa kupitisha muswada wa sheria unaolinda haki ya wanawake kutoa mimba nchini kote . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Mahakama kuu Kenya imesitisha kwa muda utekelezaji wa sheria ya usawa wa jinsia kwa vyama vya kisiasa

Mahakama kuu nchini Kenya imesitisha kwa muda utekelezaji wa sheria ya usawa wa jinsia inayovitaka vyama vyote vya kisiasa vinavyotaka k . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Watu 11 wafariki katika ajali ya ndege nchini Cameroon

Ndege iliyokuwa inabeba watu 11 imefanya ajali Jumatano katika msitu katikati mwa Cameroon, wizara ya usafiri imesema.Wafanyakazi wa usafiri . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

MWANZA: MWENYEKITI WA NYAMBULOGOYA AMETOA WITO KWA VIJANA.

wito umetolewa kwa vijana hapa nchini kuacha tabia ya kuchagua kazi na kuchangamkia fursa mbalimbali kadri zinavyojitokeza. wito huo umetole . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

RAIS WA TANZANIA SAMIA SULUHU ATOA SHUKRANI KWA WAUGUZI WOTE.

Ikiwa leo ni siku ya wauguzi duniani, Waziri wa Afya ,ummy mwalimu amewashukuru Wauguzi kwa kazi nzuri wanazoendelea kufanya katika kuwahudu . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA WITO KWA JAMII DHIDI YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kutonyamazia matukio ya ukatili wa kijinsia na badala yake watoe taarifa za wahusika wa ma . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • May 12, 2022

Pablo apewa siku 7 Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amepewa wiki moja kuandaa ripoti maalumu kwa ajili ya masuala ya kiufundi kabla ya msimu ujao kuanza m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Urusi yaulenga mji wa Odesa kwa makombora

Ukraine imesema leo kuwa vikosi vya Urusi vimeishambulia bandari muhimu ya mji wa Odesa katika juhudi za karibuni kabisa za kuhujumu mifum . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Lavrov akutana na rais Tebboune wa Algeria

Waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Urusi Sergei Lavrov amekutana na rais wa Algeria Abdelmadjid Tebboune mjini Algiers jana usiku wakati w . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Mwandishi Habari wa Al-Jazeera auwawa Ukingo wa Magharibi

Mwandishi habari wa shirika la utangazaji la Aljazeera ameuwawa leo wakati akiripoti katikati ya makabiliano baina ya wanajeshi wa Israel . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

KIBA "Sijawahi Kuimba Wimbo Wenye Uongo"

KING Kiba; ni mfalme wa muziki nchini Tanzania ambaye amezua mjadala kama wote, baada ya kutoa kauli tata kuwa, bila uongo hakuna mapenzi. . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Bill Gates apata corona

Mwanzilishi mwenza aliyestaafu wa Microsoft na mfadhili mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Bill Gates amepimwa na kukutwa na UVIKO-1 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Bobi Wine atinga Baraza Kuu Chadema

Mwanasiasa wa upinzani na mwanamuziki maarufu nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amewasili katika ukumbi wa Mlimani City k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Russia yarusha makombora kwenye bandari ya Odesa kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu nchini Ukraine

Jeshi la Ukraine limesema Russia imerusha makombora saba katika mji wa Odesa, yaliyoanguka kwenye kituo cha biashara na ghala, na kuua mtu . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • May 11, 2022

Mahakama yaamuru rais wa zamani wa Burkina Faso Compaore, kulipa fidia kwa familia ya hayati Thomas Sankara

Mahakama nchini Burkina Faso Jummane imeamuru rais wa zamani Blaise Compaore na washtakiwa wengine tisa kulipa fidia ya zaidi ya dola . . .

Kurasa 169 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category