Zaidi ya watu 10,000 wamekimbia mapigano kati ya jeshi la Iraq na wapiganaji wa Yazidi wenye mafungamano na chama cha wafanyikazi cha Ku . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amemteua Karine Jean-Pierre kuwa msemaji wa Ikulu ya White House, mtu wa kwanza mweusi kushikilia wadhifa huo w . . .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha k . . .
Yamezuka makabiliano mapya baina ya Waisraeli na Wapalestina kwenye katika uwanja wa msikiti wa al-Aqsa mjini Yerusalemu, siku kumi baada . . .
Naibu mkuu wa watumishi katika Ikulu ya Urusi, Kremlin, Sergey Kiriyenko amezuru mjini Mariupul, huko Ukraine, ambao kwa kiwango kikubwa . . .
Mwanaanga wa Kijerumani Matthias Maurer yuko njiani kurejea duniani baada ya karibu miezi sita kuwepo angani kwenye kituo cha anga ya ki . . .
Mamlaka yenye kushughulika na majanga nchini Afghanistan imesema mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya watu watu 22, kuharibu mami . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameiagiza Serikali kupeleka bungeni hatua za muda mfupi itakazochukua kukabiliana na changamoto ya kupanda . . .
Idara ya mahakama ya Guinea imeanza uchunguzi dhidi ya rais wa zamani wa nchi Alpha Conde na maafisa wengine 26 waliokuwa katika serikali . . .
Sweden imepokea hakikisho la kuungwa mkono na Marekani katika kipindi ambapo ombi lake la kutaka kujiunga na Muungano wa Kujihami wa NATO . . .
Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa marefu kuelekea bahari yake ya mashariki, ikiwa ni siku chache tu baada ya kiongozi wake Kim J . . .
Jeshi la Polisi limepewa siku saba kuhakikisha linawakamata vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliohusika kujeruhi na kuiba ka . . .
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutok . . .
Mwanachama wa wanamgambo wa mrengo mkali wa kulia wa Oath Keepers siku ya Jumatano alikiri kushiriki katika njama za uchochezi wakati wa . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alipimwa Jumatano na alikutwa na maambukizi ya COVID-19 na atafanya kazi kwa njia ya . . .
Majeshi ya Urusi katika mji unaoshikiliwa na majeshi hayo wa Melitopol yamegundulika kuiba Trekta la mkulima mmoja nchini Ukraine lenye . . .
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi leo anaanzia ziara yake barani Ulaya kwa kuzitembelea Ujerumani, Denmark na Ufaransa huku uamuzi wa ser . . .
Watu watano wamekufa usiku wa kuamkia leo baada ya jengo moja la ghorofa tatu kuporomoka kwenye mji wa kibiashara wa Nigeria wa Lagos na k . . .
Baadhi ya wakaaji wa Mombasa sasa wameanza kuitumia pilipili kama kifaa cha kuadhibu watu wanaokutwa na makosa kwa mfano wizi. Waliomkamata . . .
MOURAD Alpha almaarufu Mo J; ni mtangazaji wa Radio Clouds FM ambaye dunia inajua ni baba mzazi na halisi wa mtoto Mayra aliyezaa na msani . . .
Upinzani uliogawika nchini Sri Lanka hapo jana umeonyesha mshikamano wa nadra ulipoungana na kumtaka Rais Gotabaya Sajapaksa kujiuzulu kuf . . .
Rais wa Tunisia Kais Saied amesema serikali yake itaunda kamati ya kuandika katiba mpya ya kile alichokiita "taifa jipya" nchini Tunisia. . . .
Mamlaka ya magereza nchini Morocco imekuwa ikitoa mafunzo ya kutokomeza ugaidi tangu mwaka 2017 kwa wapiganaji wa zamani wa kundi la I . . .
Polisi wa kutuliza ghasia nchini Uturuki wamewakamata darzeni ya waandamanaji waliokuwa wakijaribu kufika katika Uwanja mkuu wa Taksimu . . .
Neil Parish ameiambia Jembe FM kuwa anajiuzulu kama mbunge baada ya kukiri kuwa alitazama ponografia mara mbili Bungeni.Bw. Parish, ambay . . .
UTAFITI uliofanywa na Shirika la Utafiti la Bedding Company la nchini uinereza umegundua kuwa zaidi ya nusu ya wanaume nchini humo hawafui . . .
Afisa wa Ukraine na mashirika ya habari ya serikali ya Urusi wamesema kuwa wanawake na watoto kadhaa wamehamishwa kutoka kiwanda cha chuma . . .
Kiongozi mkuu wa Afghanistan Hibatullah Akhundzada, ambaye alionekana hadharani leo Jumapili ikiwa ni mara ya pili tu katika kipindi cha m . . .
Mamlaka ya Mexico imemkamata kiongozi anayeshukiwa kuwa wa kundi lenye nguvu la wauza madawa ya kulevya la Jalisco New Generation. Francis . . .
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akiambatana na wabunge kadhaa, amefanya ziara mjini Kyiv katika kuonyesha mshikamano kwa nchi hiyo . . .
Kufuatia matukio ya uporaji yanayofanywa na vijana wanaojulikana kwa jina la Panya Road jijini hapa, baadhi ya wakazi wameweka mikakati . . .
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta) limemkumbusha Rais Samia Suluhu Hassan ahadi yake ya kuboresha mishahara kwa wafanyakaz . . .
Machafuko yamezuka upya hii leo kati ya Wapalestina na polisi wa Israel katika eneo la msikiti wa Al-Aqsa mjini Jerusalem na watu 40 wam . . .
Maelfu ya Wairan wameshiriki kwenye mikutano mikubwa ya maandamano ya umma katika mji mkuu Tehran kuadhimisha siku ya Jerusalem ambayo w . . .
Kenya leo inamuaga rasmi rais wa zamani wa nchi hiyo Mwai Kibaki aliyefariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 90. Viongozi mbalimba . . .
Shirika la umeme nchini Tanesco, limesema linafanya Tathmini ya utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere amba . . .
Vyama vya kisiasa nchini Kenya viko kwenye hatari kwa wagombea wake katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9 kuondolewa katika orodha ya wagombe . . .
Niger imeruhusu chanjo dhidi ya malaria iliyotengenezewa Uingereza itolewe kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano, ili kupamb . . .
Raia mzungu wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 77, ambaye ni mmiliki wa shamba, amefikishwa mahakamani Alhamisi kwa kumpiga risasi na . . .
Urusi imeyashambulia kwa makombora maeneo kadhaa ya maakazi kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kyiv wakati Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antoni . . .