Wataalamu wa afya nchini Afrika Kusini wamesema nchi hiyo inashuhudia ongezeko la maambukizo ya ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na aina . . .
Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida leo hii anaanza ziara ya kuyatembelea mataifa ya kusini mashariki mwa bara Asia. Ziara hiyo itakamfikis . . .
Rais wa Marekani Joe Biden ameliomba bunge la nchi hiyo kuidhinisha kitita cha dola bilioni 33 kuisadia Ukraine kupambana na Urusi. Ombi . . .
Ikiwa na miaka sita tangu ianzishwe, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebainisha udhaifu katika uk . . .
Masharika mawili ya kutetea haki za binadamu ya IHR lenye maskani yake nchini Norway na lile la nchini Ufaransa la ECPM linalopinga. Ripot . . .
Milipuko ya ajabu katika Transnistria, jimbo lililojitenga linalodhibitiwa na Urusi katika Moldova linalopakana na Ukraine, imeibua . . .
Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani . . .
Waislamu na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kubadili tabia kwa kutenda yaliyo mema na kuyaendeleza h . . .
Wakati Ligi Kuu ya NBC ikikaribia ukingoni, napenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mtu aliyewezesha kufanikiwa kwa ligi hi . . .
TANZANIA na Misri ziko katika hatua ya mwisho ya majadiliano ya kuipatia ufumbuzi changamoto ya utozaji kodi mara mbili kwenye bidhaa zi . . .
Beki wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger anaondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka ndani ya kiko . . .
Mahakama moja mashariki mwa Rwanda imemhukumu Imam Mwislamu kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua nguruwe msikitini.Sadate Museng . . .
Bilionea pekee wa Afrika Mashariki anatoka Tanzania, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya utafiti ya New World Wealth and Henley & . . .
Polisi mjini Thika katika kaunti ya Kiambu wameanzisha msako wa kumsaka mwanamume asiyejulikana ambaye alivamia kambi ya Thika Barracks na k . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yuko mjini Kyiv kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri w . . .
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atakutana leo na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida mjini Tokyo katika ziara yake ya kwanza barani Asia t . . .
Marekani na Russia Jumatano wamebadilishana wafungwa licha ya uhusiano wao wenye mvutano mkali kutokana na vita vya Ukraine. Mwanajesh . . .
Kampuni kubwa ya mtandaoni ya Google imetangaza mwezi huu itafungua kituo chake cha kwanza cha kutengeneza bidhaa barani Afrika kitaka . . .
Rais wa Mistri Abdel Fattah al-Sisi amemusamehe mwanahabari aliyefungwa jela kwa “kusambaza habari za uongo”, pamoja na zaidi ya w . . .
Sudan Jumatano imewaachilia huru viongozi kadhaa wa kiraia na mjumbe wa zamani wa Baraza kuu la uongozi, waliokamatwa katika miezi iliyo . . .
Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 2 . . .
Katibu wa Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, Sisty Nyahoza ameainisha vituo vitakavyotumika kutoa maoni kuhusu maeneo . . .
Tukio la maporomoko ya udongo lilitokea katika wilaya ya Kadutu, huko Bukavu jioni ya Jumatatu Aprili 25 na kuua watu wanane, akiwemo mwan . . .
Waasi wa Tigrayan wa TPLF wamejiondoa kabisa kutoka eneo la Afar kaskazini mashariki mwa Ethiopia. Walikuwa wamekalia eneo la kaskazini . . .
Kampuni kubwa inayotengeneza ndege zisizo na rubani, DJI, inatangaza "kusitishwa" kwa shughuli zake za kibiashara nchini Urusi na Ukraine, . . .
Marekani imeongoza jana mkutano wa zaidi ya nchi 20 katika kituo cha jeshi la anga la Marekani cha Ramstein magharibi mwa Ujerumani . . .
WarsawUkraine imeituhumu Urusi kuwa inaihujumu Ulaya kwa kusitisha usambazaji wa gesi nchini Poland na Bulgaria wakati mzozo nchini Ukrain . . .
Manchester,Manchester City wana uongozi mwembamba wa kuulinda katika mkondo wa pili wa nusu fainali yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya . . .
MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutwa na Korona, taarifa imetolewa na Ikulu ya Marekani. Makamu huyo wa Rais alikamilisha dozi . . .
Tanzania inatarajia kushiriki maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari unaoonekana kuongezeka baada ya kudumaa katika miaka mitano iliy . . .
Serikali imeanza mchakato wa mapitio ya sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 na kuboresha mitaala ya elimu ili iweze kuwajengea uwezo . . .
Marekani Jumanne imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kama maafisa wa ujasu . . .
Muandaaji wa mashindano ya urembo nchini Rwanda na mwanamuziki mashuhuri wa zamani amekamatwa Jumanne kwa tuhuma za unyanyasaji wa kin . . .
Maafisa wa afya wa Ulaya wamesema leo hawajagundua chanzo cha ugonjwa wa ajabu wa homa ya ini kwa watoto. Jumla ya watoto 190 wanaougua ug . . .
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanalinda dola kwa kufanya kazi na kutekeleza Ilani na ahad . . .
Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Asutin, ameelezea Imani yake kwamba Ukraine inaweza kushinda vita dhidi ya Russia, ambavyo vimechukua . . .
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amekutwa na makosa ya kutoheshimu amri ya mahakama, baada ya kushindwa kuwasilisha nyaraka al . . .
Korea kaskazini imefanya maonyesho ya makombora yake ya masafa marefu katika gwaride la kijeshi lililofanyika usiku. Wakati wa maon . . .
Maafisa wa afya katika mji wa Beijing, China, wameanza kupima virusi vya Corona kwa wakaazi milioni 21, kutokana na wasiwasi kuwamba hue . . .
Wajumbe kutoka nchi 40 wanakutana kwa ajili ya kikao cha dharura kwenye mji wa Ramstein wa nchini Ujerumani kujadili njia za kuimarisha ul . . .