logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
AFYA
  • Na Asha Business
  • April 29, 2022

UVIKO-19 Waongezeka Afrika Kusini

Wataalamu wa afya nchini Afrika Kusini wamesema nchi hiyo inashuhudia ongezeko la maambukizo ya ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na aina . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2022

Waziri Mkuu wa Japan kuyatembelea mataifa ya kusini mashariki mwa Asia

Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida leo hii anaanza ziara ya kuyatembelea mataifa ya kusini mashariki mwa bara Asia. Ziara hiyo itakamfikis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2022

Biden aliomba bunge kudhinisha dola bilioni 33 kuisadia Ukraine

Rais wa Marekani Joe Biden ameliomba bunge la nchi hiyo kuidhinisha kitita cha dola bilioni 33 kuisadia Ukraine kupambana na Urusi. Ombi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 29, 2022

Miaka sita ya Ubungo kuzembea kukusanya mapato

Ikiwa na miaka sita tangu ianzishwe, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebainisha udhaifu katika uk . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Idadi ya wanaonyongwa Iran yapanda kwa asilimia 25

Masharika mawili ya kutetea haki za binadamu ya IHR lenye maskani yake nchini Norway na lile la nchini Ufaransa la ECPM linalopinga. Ripot . . .

Vita
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Je vita vinasambaa?

Milipuko ya ajabu katika Transnistria, jimbo lililojitenga linalodhibitiwa na Urusi katika Moldova linalopakana na Ukraine, imeibua . . .

Biashara
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

S.H Amon alivyopoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Mbunge wa zamani wa Rungwe, Sauli Henry Amon amepoteza jengo la ghorofa nane lililoko Kariakoo jijini hapa, baada ya Mahakama ya Rufani . . .

Uchumi biashara
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

YAFUTURISHA WADAU NA WAFANYAKAZI

Waislamu na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kubadili tabia kwa kutenda yaliyo mema na kuyaendeleza h . . .

NETBALL
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Asante kwa kuunga mkono Ligi Kuu ya Soka ya NBC

Wakati  Ligi Kuu ya NBC ikikaribia  ukingoni, napenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mtu aliyewezesha kufanikiwa kwa ligi hi . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Tanzania Na Misri Zajadili Utozaji Kodi Mara Mbili

TANZANIA na Misri ziko katika hatua ya mwisho ya majadiliano ya kuipatia ufumbuzi changamoto ya utozaji kodi mara mbili kwenye bidhaa zi . . .

SOKA ULAYA
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Hakuna Ambaye Amependa Toni Rudiger Kuondoka

Beki wa klabu ya Chelsea Antonio Rudiger anaondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. ANTONIO Rudiger ameamua kuondoka ndani ya kiko . . .

Afrika mashariki
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Imam afungwa miaka mitano kwa kuua nguruwe msikitini Rwanda

Mahakama moja mashariki mwa Rwanda imemhukumu Imam Mwislamu kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua nguruwe msikitini.Sadate Museng . . .

Makala
  • Na JZ The Brand
  • April 28, 2022

Bilionea pekee Afrika Mashariki anatoka Tanzania-Ripoti

Bilionea pekee wa Afrika Mashariki anatoka Tanzania, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya utafiti ya New World Wealth and Henley & . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Mwizi Avamia Kambi ya Kijeshi Kiambu na Kuiba Bunduki Wanajeshi Wakioga.

Polisi mjini Thika katika kaunti ya Kiambu wameanzisha msako wa kumsaka mwanamume asiyejulikana ambaye alivamia kambi ya Thika Barracks na k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Katibu Mkuu wa UN yuko Kyiv kwa mazungumzo na uongozi wa Ukraine

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yuko mjini Kyiv kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na Waziri w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Kansela wa Ujerumani Scholz yuko ziarani Japan

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atakutana leo na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida mjini Tokyo katika ziara yake ya kwanza barani Asia t . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Marekani na Russia wabadilishana wafungwa

Marekani na Russia Jumatano wamebadilishana wafungwa licha ya uhusiano wao wenye mvutano mkali kutokana na vita vya Ukraine. Mwanajesh . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Google itafungua kituo cha kwanza cha bidhaa barani Afrika nchini Kenya

Kampuni kubwa ya mtandaoni ya Google imetangaza mwezi huu itafungua kituo chake cha kwanza cha kutengeneza bidhaa barani Afrika kitaka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Rais wa Mistri al Sisi atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

Rais wa Mistri Abdel Fattah al-Sisi amemusamehe mwanahabari aliyefungwa jela kwa “kusambaza habari za uongo”, pamoja na zaidi ya w . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Sudan yawaachilia huru wanaharakati waliopinga mapinduzi ya kijeshi

Sudan Jumatano imewaachilia huru viongozi kadhaa wa kiraia na mjumbe wa zamani wa Baraza kuu la uongozi, waliokamatwa katika miezi iliyo . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 28, 2022

Polisi, mahabusu wafariki kwa ajali Mwanza

Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 2 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Kikosi kazi cha Samia, MCT na LHRC mezani

Katibu wa Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, Sisty Nyahoza ameainisha vituo vitakavyotumika kutoa maoni kuhusu maeneo . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Watu 8 wafariki katika maporomoko ya udongo mjini Bukavu

Tukio la maporomoko ya udongo lilitokea katika wilaya ya Kadutu, huko Bukavu jioni ya Jumatatu Aprili 25 na kuua watu wanane, akiwemo mwan . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Waasi wa Tigray waondoka eneo la Afar

Waasi wa Tigrayan wa TPLF wamejiondoa kabisa kutoka eneo la Afar kaskazini mashariki mwa Ethiopia. Walikuwa wamekalia eneo la kaskazini . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Kampuni ya DJI yasitisha operesheni zake nchini Urusi na Ukraine

Kampuni kubwa inayotengeneza ndege zisizo na rubani, DJI, inatangaza "kusitishwa" kwa shughuli zake za kibiashara nchini Urusi na Ukraine, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Ujerumani kupeleka vifaru nchini Ukraine

 Marekani imeongoza jana mkutano wa zaidi ya nchi 20 katika kituo cha jeshi la anga la Marekani cha Ramstein magharibi mwa Ujerumani . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Poland na Bulgaria zakatiwa gesi asilia kutoka Urusi

WarsawUkraine imeituhumu Urusi kuwa inaihujumu Ulaya kwa kusitisha usambazaji wa gesi nchini Poland na Bulgaria wakati mzozo nchini Ukrain . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Man City yaipiku Real Madrid katika mechi ya kusisimua ya Ligi ya Mabingwa

Manchester,Manchester City wana uongozi mwembamba wa kuulinda katika mkondo wa pili wa nusu fainali yao ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris Akutwa na Corona

MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris amekutwa na Korona, taarifa imetolewa na Ikulu ya Marekani. Makamu huyo wa Rais alikamilisha dozi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Uhuru wa habari kuadhimishwa katika mazingira tulivu

Tanzania inatarajia kushiriki maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari unaoonekana kuongezeka baada ya kudumaa katika miaka mitano iliy . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Serikali mbioni kurudisha shule za ufundi

Serikali imeanza mchakato wa mapitio ya sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 na kuboresha mitaala ya elimu ili iweze kuwajengea uwezo . . .

Mtandaoni
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu wadukuzi 6 wa mtandaoni kutoka Russia

Marekani Jumanne imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kama maafisa wa ujasu . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Muandaaji wa mashindano ya urembo nchini Rwanda akamatwa kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Muandaaji wa mashindano ya urembo nchini Rwanda na mwanamuziki mashuhuri wa zamani amekamatwa Jumanne kwa tuhuma za unyanyasaji wa kin . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 27, 2022

Ugonjwa wa homa ya ini wa aina ya kipekee umewapata takriban watoto 200

Maafisa wa afya wa Ulaya wamesema leo hawajagundua chanzo cha ugonjwa wa ajabu wa homa ya ini kwa watoto. Jumla ya watoto 190 wanaougua ug . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Shaka "Tutalinda dola kwa kufanya haya"

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanalinda dola kwa kufanya kazi na kutekeleza Ilani na ahad . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Waziri wa ulinzi wa Marekani asema Ukraine inaweza kushinda vita vya Russia

Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Asutin, ameelezea Imani yake kwamba Ukraine inaweza kushinda vita dhidi ya Russia, ambavyo vimechukua . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

TRUMP ATOZWA FAINI

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amekutwa na makosa ya kutoheshimu amri ya mahakama, baada ya kushindwa kuwasilisha nyaraka al . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Korea kaskazini yafanya maonyesho ya silaha usiku

Korea kaskazini imefanya maonyesho ya makombora yake ya masafa marefu katika gwaride la kijeshi lililofanyika usiku. Wakati wa maon . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Maambukizi ya Corona yaongezeka China

Maafisa wa afya katika mji wa Beijing, China, wameanza kupima virusi vya Corona kwa wakaazi milioni 21, kutokana na wasiwasi kuwamba hue . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 26, 2022

Wajumbe wa nchi 40 wakutana kujadili mkakati wa kuisaidia zaidi Ukraine

Wajumbe kutoka nchi 40 wanakutana kwa ajili ya kikao cha dharura kwenye mji wa Ramstein wa nchini Ujerumani kujadili njia za kuimarisha ul . . .

Kurasa 172 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category