Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch, Kenneth Roth, amesema leo kuwa atauach . . .
Wizara ya mambo ya nje ya China imekanusha shutuma kwamba itatumia ushawishi wake kwa kampuni ya kutengeneza gari zinazoendeshwa kwa umeme . . .
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 3, 826 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanzania.Kwa mujibu . . .
Spika wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa amesema mtu asiyependa Muungano wa Tanzania akajinyonge.Msekwa ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 26 . . .
Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge amepata ajali ya gari wakati akitoka mazoezini jana.Taarifa ya klabu yake imesema ajali hiyo imempa . . .
Rekodi zinaonyesha namna winga wa Namungo FC, Shiza Kichuya anavyokuwa tishio kwa Yanga, wakikutana mechi za Ligi Kuu Bara.Kichuya amekuwa . . .
Kufuatia Mvua ilionyesha April 23 mjini Geita iliyoambatana na upepo mkali na kusababisha kuezua paa za Kaya 42, mapema April 25 Mkuu wa m . . .
Mfalme wa Abdullah wa Jordan amekubaliana na Rais wa Marekani Joe Biden kuhusu haja ya kuzuia marudio ya makabiliano ya karibuni katika ma . . .
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi Sergei Lavrov amezionya nchi za Magharibi kutopuuza hatari inayoongezeka ya kuzuka mzozo wa nyuklia k . . .
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guteress anaelekea mjini Moscow ambapo anatarajiwa kukatana leo Jumanne na Rais wa Russia Vlad . . .
Watu 16 wakiwemo wanajeshi tisa walifikishwa mahakamani siku ya Jumatatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wakituhumiwa kuuza . . .
Wakuu wa jeshi la Niger na jeshi la Burkina Faso Jumatatu wamesema operesheni ya pamoja ya wiki tatu katika eneo la mpakani linalosham . . .
Mahakama moja ya Morocco Jumatatu imemuhukumu kifungo cha miaka minne jela mwanaharati aliyemtusi Mfalme Mohammed wa sita kwenye mitanda . . .
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema waumini wa dini na wananchi watashehekea sikukuu ya Eid el-Fitri Mei 2 au Mei 3 kuli . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Muungano na Mazingira, Dk Selemani Jafo amesema wamefanikiwa kutatua kero 18 za muungano kati ya 25 zilizopo.Jaf . . .
Familia ya mlinzi anayedaiwa kuuawa na mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, Pendael Molllel imeliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi . . .
IBU MKUU wa Wizara ya Kilimo, Bw. Andrew Massawe na Mtendaji Mkuu wa Tanzania Horticulture Association (TAHA), Dkt. Jacqueline Mkindi, jan . . .
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu 8 na 19 kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Coa . . .
RAIS Uhuru Kenyatta na Mkewe Margaret Kenyatta wawaongoza wakenya kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa zamani Emilio Stanley Mwai Kibak . . .
Wafungwa wawili katika gereza la wanawake pekee wamepata ujauzito baada ya kulala na mfungwa aliyebadili jinsia. Kwa mujibu wa Mirror, wanaw . . .
Mapigano kati ya makundi hasimu katika jimbo la Sudan la Darfur yamesababisha vifo vya watu 168 Jumapili, kundi moja la misaada limese . . .
Mji wa China wa Shangai Jumapili umeripoti vifo 39 kutokana na Covid 19, ikiwa idadi kubwa ya vifo licha ya kuweka masharti makali ya . . .
umatatu April 25 ni siku ya Malaria Duniani, shirika la afya Duniani (WHO) linapendekeza upanuzi wa matumizi ya chanjo ya kwanza ya malari . . .
Zaidi ya watu 110 wameuawa kufuatia mlipuko uliotokea katika kiwanda haramu cha kuchakata mafuta kusini mashariki mwa Nigeria. Shughuli ya . . .
Wapiga kura nchini Ufaransa jana wamempa ushindi Emmanuel Macron wa muhula wa pili madarakani katika uchaguzi wa rais baada ya mpinzani wa . . .
WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amefanya ziara na kukagua nyumba 103 miongoni mwa nyumba zinazojen . . .
Madai ya Katiba mpya yameibukia nje ya viunga vya Ubalozi wa Tanzania Jijini New York, Marekani, ndivyo unavyoweza kusema.Hiyo ni baada ya . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameahirisha kikao cha Bunge leo Jumatatu Aprili 25, 2022 kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa . . .
Mpatanishi mwandamizi kwa upande wa Ukraine na mshauri wa rais, Mykhailo Podolyak leo hii amesema majeshi ya Urusi bado yanaendelea kuusha . . .
Vyombo vya habari nchini Korea Kaskani vimetangaza taifa hilo kupata kile ilichokiita nguvu isiyoweza kushindwa, ambayo ulimwengu hauwezi . . .
Watu 80 wameteketea kwa moto kufuatia mripuko uliotokea usiku katika kiwanda kinachochakata mafuta kinyume cha sheria Kusini mwa Nigeria. . . .
Ummy Msika (45), mkazi wa kata ya Bomambuzi manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro amepata madhara mwilini baada ya rafiki yake kudaiwa k . . .
WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(RUWASA)Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi umesema kupatikana kwa miradi ya maji inayotekele . . .
Mkoa wa manyara unalenga kuwachanja watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 kuwakinga dhidi ya ugonjwa wa Polio unaosababisha kupooza.Kamp . . .
Iran imeanzisha tena mazungumzo na hasimu wake wa kikanda Saudi Arabia, baada ya kusitishwa kwa mazungumzo ya siri mjini Baghdad miezi kad . . .
Watu kadhaa wanahofiwa kuteketea kwa moto kufuatia mripuko uliotokea usiku katika kiwanda kinachochakata mafuta kinyume cha sheria Kusini . . .
Mapigano kati ya kabila la waarabu na wakulima wa kabila la wachache katika eneo lililokumbwa na vita la Darfur nchini Sudan yamesababisha . . .
Mamilioni ya wapiga kura nchini Ufaransa, wanapiga kura Jumapili hii Aprili 24, kumchagua rais katika duru ya pili ya uchaguzi, unaowaku . . .
Baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa katika miji ya New York na Los Angeles Marekani, gari lililoonekana likiendeshwa na Rais Samia . . .
Uturuki imefunga anga lake kwa ndege za kiraia na kijeshi za Urusi zinazosafiri kuelekea Syria.Tangazo hilo linaashiria moja ya majibu m . . .