Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga ameuawa kwa k . . .
MABOSI wa Yanga, wanabadilisha anga wakisaka vifaa vipya vya kigeni kwa malengo ya msimu ujao, lakini ndani ya timu yao kumeibuka mshtuko . . .
MASHABIKI wa Yanga waliokuwa na hamu ya kuona kifaa kipya kutoka Rwanda kikitua Jangwani, wakae kwa kutulia baada ya Waarabu kutia mkono . . .
Umoja wa Mataifa umesema waasi wa Houthi wameamua kutowatumia tena watoto kama wanajeshi. Waasi hao wamewatumia maelfu ya watoto kupigana . . .
Marekani imeondoa sheria ya kuvaa barakoa katika vyombo vyote vya usafiri. Mahakama moja katika jimbo la Florida imesema kwamba sheria h . . .
Kamishina wa haki za binadamu katika serikali ya Ujerumani Luise Amtsberg ametaka wakimbizi wanaoingia Ujerumani kutoka mataifa kama Afg . . .
Jeshi la Israel linasema limedungua roketi iliyorushwa kutoka Ukanda wa Gaza jana. Hili ndilo shambulizi la kwanza la aina hiyo kufanyika . . .
Baadhi ya vijana katika Kijiji cha Muungano wilayani Chemba mkoani Dodoma, wamedai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya kukataliwa kuoa ka . . .
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Handeni mkoani Tanga, imemsimamisha kazi mtendaji kata ya Kwenjugo, Athumani Mgaza akidaiwa kutenda . . .
Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara . . .
Kutoka kuwa mshiriki na kuzindua filamu ya Tanzania: The Royal Tour, kufanya mazungumzo na ikulu ya White House hadi kuanza kujenga daraja . . .
Wanajeshi wawili waliokuwa wamelewa wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti kwenye eneo tete la mashariki mwa Jamhuri ya . . .
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Jumatatu ametangaza kuwa mafuriko mabaya yanayolikumba taifa hilo ni janga la kitaifa, na kuonya . . .
Nchini Ufaransa, wagombea wawili kwenye kiti cha urais, rais anayemaliza muda wake Emmanuel Macron na Marine Le . . .
Kapteni Vasyl Kravchuk anatabasamu kwa urahisi licha ya kuvumilia siku 50 za vita.Anaunganishwa kwenye a Video ili kufanya mahojiano haya . . .
Utakuta maelfu ya makala zikielezea jinsi binzari ya manjano zinavyoweza kutibu magonjwa kama kiungulia, kukosekana kwa uwezo wa tumbo wa . . .
Bi Zainab alituma katika mtandao wake wa Twitter siku ya Jumamosi masaibu aliyoyapata katika moja ya hoteli karibu na ufukwe eneo la Nungw . . .
Ukraine imeapa kupambana hadi dakika ya mwisho katika mji uliozingirwa wa Mariupol baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa na Urusi kwa kuw . . .
Mjumbe Maalum wa Marekani kwa Korea Kaskazini Sung Kim amewasili mjini Seoul leo kwa mazungumzo na maafisa wa Korea Kusini juu ya kushughu . . .
JUMLA ya watu 47 wameripotiwa kufariki nchini Afghanistan katika majimbo ya Khost na Kunar yanayopatikana mashariki mwa nchi hiyo na hiyo ni . . .
Watu wanane wakiwemo wanajeshi watatu wameuawa katika mji wa Bambu, Kilomita 40 kutoka mji wa Bunia, mkoani Ituri ba . . .
Mwaka mmoja baada ya kifo cha Idriss Déby Itno, baraza la kijeshi la mpito lililoundwa katika hali ya dharura bado . . .
Maafisa wa jimbo la South Carolina nchini Marekani wanasema wanachunguza tukio la ufyatuaji risasi katika klabu moja katika kaunti ya . . .
MAJESHI ya Ukraine ambayo yapo jijini Mariupol yamegoma kujisalimisha kama ilivyotolewa amri na Urusi na badala yake yameapa kupambana hadi . . .
Wakati mgogoro ukizidi kufukuta kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, leo baadhi ya waumini wa usharika . . .
Kikosi cha pamoja cha kijeshi kutoka Nigeria, Niger na Cameroon kilisema Jumapili kwamba kimewaua zaidi ya waasi 100 wa kiislam wakiwemo . . .
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea Afrika kusini, iliongezeka hadi 440 siku ya Jumapili huku mvua ikipungua na . . .
Wiki iliyopita simanzi iliwakumba watu wengi barani Afrika, hasa wafuatiliaji wa muziki wa injili baada ya kifo cha muimbaji wa nyimbo za in . . .
Huku wengine wakisumbuliwa na uraibu wa pombe na dawa za kulevya, basi kuna wengine ambao wana uraibu wa kunywa mkojo wao. Daah! ama kweli k . . .
Kufuatia Video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha Mjasiriamali mdogo wa ndizi akichukuliwa bidhaa zake na mgambo wa Halmashauri, Waziri wa . . .
Jeshi la anga la Nigeria limesema limewauwa zaidi ya wapiganaji 70 wenye mafungamano na kundi linalojiita Dola la Kiislamu katika eneo la . . .
KUFUATIA kutumika kwa mara ya kwanza mfumo wa video wa kumsaidia mwamuzi (VAR) hapa Tanzania katika mchezo wao wa leo Jumapili dhidi ya . . .
Jeshi la Urusi limevitolea mwito vikosi vya Ukraine katika mji wa bandari uliozingirwa wa Mariupol kuweka chini silaha na kujisalimisha . . .
Korea Kaskazini imefanya jaribio jingine la aina mpya ya makombora katika tukio ambalo limeshuhudiwa na kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong . . .
Meli iliyobeba tani 750 za mafuta ya dizeli ikitokea Misri kwenda kisiwa cha Malta imezama nje kidogo ya pwani ya kusini mashariki mwa Tun . . .
Baada ya kushindwa Ijumaa usiku na Zamalek ya Misri, Petro de Luanda ya Angola ilirejea uwanjani Jumamosi na kushinda dhidi ya Forces Ar . . .
Muda mfupi baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Innocent Bashungwa kutoa maagizo kwa uongozi wa Jiji la Mwanza kutokana na vide . . .
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuwashughulikia watu wote waliolisababishia Taifa hasara ya mabilioni ya fedha ka . . .
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ataitembelea India katikati ya wiki inayokuja kwa mazungumzo juu ya biashara na usalama pamoja mw . . .
Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo wanasherehekea sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubi . . .