logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Je, Rwanda ni nchi ya usalama au hofu?

Wageni wanaotembelea Rwanda mara nyingi huvutiwa kupata nchi ambayo mambo yanaonekana kufanya kazi kwa ufanisi. Ni nadhifu na mwonekano . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Urusi yaonya kuhusu kutumwa kwa silaha za nyuklia ikiwa Uswidi, na Finland zitajiunga na NATO

Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliionya NATO siku ya Alhamisi kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na muu . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

"Urusi sio jirani kama tulivyomfikiria"

Mwishoni mwa mwezi Januari, wanajeshi wa Urusi walipokusanyika kwenye mpaka wa Ukraine na wengi bado wana shaka iwapo Urusi ingethubutu . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Majanga mikopo ya elimu ya juu

Dosari katika mifumo ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) zimesababisha baadhi ya wanufaika kuzidishiwa, wengine kupunjwa huku wato . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa

Mahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahu . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Ujumbe wa Pasaka KKKT wabeba mzito

Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametuma salamu za Pasaka kwa mwaka 2022 zilizobeba ujumbe wa mambo makuu mana . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • April 15, 2022

Nyumba Yanusurika Kuungua Baada ya Gari Kuteketea kwa Moto Nje ya Nyumba Hiyo

YUMBA moja mali ya Bw. Rashid Adam mkazi wa Dodoma, imenusurika kushika moto kutokana na gari iliyokuwa imepaki nje ya nyumba hiyo kutek . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Wakijiandaa Kuikabili Simba… Nabi Amuongezea Makali Mayele.

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha ya mwenendo bora walionao msimu huu, bado haridhishwi na kiwango cha umaki . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Mshambuliaji wa Zanaco Phiri aitaka namba ya Yacouba Yanga, Adai ina Bahati

MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10 kat . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Russia yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na NATO.

Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushi . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko makubwa Afrika Kusini yafikia 341.

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko ambayo hayajawahi kutokea nchini Afrika Kusini imeongezeka Alhamisi hadi 341 huku helikopta zikizungu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Rais wa zamani wa Ufaransa Francois Hollande aomba Wafaransa kumpigia kura Emmanuel Macron.

Rais wa zamani wa Ufaransa wa siasa za Kisocialist Francois Hollande Alhamisi ametoa wito kwa wapiga kura kumuunga mkono Emmanuel Macron . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Miaka minane tangu utekaji nyara wa wasichana wa Chibok huko Nigeria

April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Nyoka auwa kwa kumuuma mmiliki wa nyoka zaidi ya 100

Maafisa wa Maryland wamesema bwana mmoja amekutwa amekufa nyumbani, kwake Kaunti ya Charles ambae anafuga nyoka zaidi 100 akiwemo aina ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

Wabunge wa Somalia waapa

Wabunge wa Somalia wamekula kiapo chao kuanza kazi ikiwa ni hatua muhimu kulekea katika uchaguzi wa kiongozi mpya wa taifa hilo, hatua amb . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 15, 2022

ICC kuitaka Urusi ijihusishe na uhalifu wa kivita wa Ukraine

Mwendesha Mashkata Mkuu wa Mahakama ya Kimatiafa (ICC), Karim Khan, amesema ataendelea kujaribu kufanikisha upatikanaji wa Urusi katika . . .

Siasa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Nchi ambayo watu hawapigi kura

Wabunge wapya wa Somalia wanatarajiwa kuapishwa hivi karibuni kufuatia uchaguzi wa aina yake wa bunge la nchi hiyo, unaojulikana kama 'b . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Shambulizi la Ukraine dhidi ya meli muhimu ya Urusi 'litaitikisa Moscow'-Mtaalamu

Urusi inasema meli yake ya ya makombora katika bahari ya Black Sea Moskva imeharibiwa vibaya na moto uliosababishwa risasi zake kulipuk . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Tanzania, UAE Zasaini Makubaliano Kuimarisha Ushirikiano

Serikali ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E), zimesaini Makubaliano ya Tume ya Kudumu ya Pamoja katika nyanja za forodha, e . . .

Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Uingereza Yatoa Uamuzi Mgumu, Wahamiaji Haramu Kupelekwa Afrika Mashariki

SERIKALI ya Uingereza kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Priti Patel inataraji kusaini mkataba na serikali ya Rwanda ambao . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania T.I.C Robo Tatu ya Mwaka 2022

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutoka . . .

Uwekezaji
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

TANZANIA KUWA NCHI YA KWANZA AFRIKA KWA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

MKUU wa Mkoa wa Singida Dk.Binilith Mahenge amesema Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Barani Afrika  kwa kusambaza umeme katika vijiji vy . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

MELI ZA MAGARI KUTUA BANDARI YA TANGA KUANZIA MWEZI MEI

BANDARI ya Tanga inatarajiwa kuanza kupokea Meli za Magari ifikapo Mwezi Mei mwaka huu ambayo yatakuwa yakipelekwa kuhifadhiwa eneo la M . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Ubalozi wa Marekani watoa tamko kuhusu Afande Sele ‘Hatukubaliani na ujumbe wa wimbo’

Ubalozi wa Marekani umetoa kauli juu ya wimbo wa Afande Sele unaofahamika kwa jina la “Bila Marekani”. Katika taarifa iliyochapishwa na . . .

Habari
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Bunge lanusa matumizi mabaya fedha za Uviko

Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (Usemi) imesema ufuatiliaji umeonyesha kuwa zipo dalili za baadhi ya halmashauri kutotek . . .

Bungeni
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Serikali yatoa waraka wa masharti watumishi kuishi na wenza wao

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Zainabu Katimba amehoji juu ya waajiri wasiotoa fursa kwa watumishi wao kufanya kazi wakiwa karibu na wenza . . .

Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • April 14, 2022

Ni madudu yaleyale ripoti ya CAG

Kuongezeka kwa deni la Serikali hadi Sh64.52 trilioni kutoka Sh56.76 trilioni na kuwepo madai ya bima ya afya yaliyohusisha wanaume 56 . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

WAISLAMU KUFUNGA MARA MBILI MWAKA 2030

Kalenda ya Saudi Arabia ya mwaka 2030 inaonesha kwamba Waislamu katika mwaka huo watafunga mara mbili kwa mwakakwa mujibu wa mtaalamu wa N . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Mamia wapoteza maisha katika mafuriko nchini Afrika Kusini

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mafuriko kwenye maeneo ya mji wa Durban nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia 259. Mamlaka nchi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Macron, Scholz waepuka kutaja mauaji ya Ukraine kuwa "halaiki"

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamekataa kurejelea kauli aliyoitoa rais wa Marekani Joe Biden kwamba Urusi inatekeleza mauaji ya kimbar . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Nchi mbili za Kiislamu ambazo ni Marufuku Kuoa wake Wengi.

Katika dini ya Kiislam, wanaume wanaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja kutokana na maandiko katika kitabu kitukufu cha Uislamu, Kurani.Wanaum . . .

Uchumi biashara
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Afisa Mkuu wa Rubis Atimuliwa nchini.

Serikali imetimiza ahadi yake ya kuwaadhibu wauzaji mafuta wanaoficha mafuta huku kukiwa na uhaba wa bidhaa hiyo kote nchini kote.Mnamo Juma . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Uber yasimamisha shughuli zake Tanzania

Kampuni ya Uber inayotoa huduma ya usafiri ya taxi kwa njia ya mtandao imesitisha huduma zake nchini Tanzania kuanzia leo 14 Aprili 2022. . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania, Washington Marekani Wampokea Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi, Watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania pamoja . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

IMF yaunda mfuko wa ufadhili kukabiliana na changamoto za muda mrefu

Shirika la fedha ulimwenguni IMF limeidhinisha kuundwa kwa mfuko mpya wa ufadhaili unaolenga kuzisaidia nchi za kipato cha chini na za k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Finland na Sweden kuamua juu ya kujiunga na jumuiya ya NATO

Mawaziri wakuu wa Finland na Sweden jana walikutana mjini Stockholm kujadili usalama wa kikanda kutokana na vita vinavyoendelea nchini U . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Mshukiwa wa shambulio kwenye kituo cha treni cha New York akamatwa na kushtakiwa ugaidi.

Mshukiwa wa shambulio la kufyatulia risasi watu wengi Jumanne kwenye kituo cha treni cha jijini New York amekamatwa Jumatano alasiri na . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Maunda Zorro Afariki Dunia kwa Ajali ya Gari Usiku wa Kuamkia Leo Dar

MSANII wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari, usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022 baada ya gari alilokuwa amepanda . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • April 14, 2022

Hedhi yatajwa kikwazo cha masomo kwa wasichana

Imeelezwa kuwa asilimia 48 ya wanafunzi wa kike wanakosa masomo kutokana na kuwa katika mzunguko wa hedhi hali ambayo huathiri uwezo wa . . .

Matukio
  • Na JZ The Brand
  • April 13, 2022

Mdau wa utalii amwagiwa ‘tindikali’ Moshi

Mdau wa utalii na mkazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Tariq Awadhi amedai kumwagiwa kimiminika kinachodhaniwa kuwa tindikali . . .

Kurasa 176 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category