Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, Jumapili amewaenzi waandishi wa habari waliouawa katika vita vya Ukraine akisema anatu . . .
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Serikali ya Tanzania ina mopango wa kuwainua wakulima na kukiinua kilimo cha Tanzania ili kufikia . . .
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Franco Pablo Martin amesema wachezaji wake wamekamilisha Program ya maandalizi kabla . . .
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda amewataka wadau wa msaada wa kisheria nchini kujenga na kuimarisha ushirikiano wa kimkakat . . .
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameitisha uchaguzi mpya baada ya bunge kutupilia mbali kura ya kutokuwa na imani naye. Rais wa Pakistan . . .
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameombea ulimwengu kuonyesha wema na huruma zaidi kwa wakimbizi wakati alipokutana na w . . .
Wapiga kura nchini Hungary leo wanapiga kura huku wakikabiliwa na kibarua kizito cha kuchagua muungano wa vyama vya upinzani wenye sura ya . . .
Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu kar . . .
Mshambuliaji wa zamani wa Majogoo wa Jiji ‘Liverpool’ Dirk Kuyt, anaamini Meneja Erik Ten Hag kutoka Uholanzi, atakua chaguo sahihi kw . . .
Baada ya miaka 19 ya kusherehekea tamaduni tofauti na muziki wa Kiafrika, pazia la Sauti za Busara linafungwaZanzibar: Kwa huzuni na masikit . . .
Ndege mbili za Korea Kusini zimegongana angani wakati wa mazoezi na kuanguka karibu na kambi yake, na kuua watu wote wanne waliokuwemo nda . . .
Viongozi wa Umoja wa Ulaya na China wamekutana leo kwa mara ya kwanza katika miaka miwili, huku Brussels ikiishinikiza Beijing kutoa uha . . .
Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wamemchagua Abdulrahman Kinana kuwa makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kwa kura za ndiyo 1875.Wajumbe wali . . .
Viongozi wa Muungano wa Kenya Kwanza wametangaza kuwa watatoa hoja ya kumshinikiza Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nancy Gachungu kukagua . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha . . .
Wanajeshi wa Urusi wamekabidhi udhibiti wa kiwanda cha nyuklia cha Chernobyl kwa Waukraine na kuondoka eneo hilo lililochafuliwa na mionzi . . .
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameituhumu Marekani kwa kuingilia siasa za nchi yake -- madai ambayo yamekanushwa haraka na Washington. . . .
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai - ICC imefungua ofisi nchini Venezuela kama sehemu ya uchunguzi kuhusu ukiukaji wa haki za binaadamu wakati . . .
Rais wa Marekani Joe Biden Alhamisi ametangaza kwamba pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya Marekani kila . . .
Mapigano makali kati ya makundi hasimu huko Darfur nchini Sudan yameua watu 45, maafisa wamesema Alhamisi, huku viongozi wa kikabila w . . .
Mwendesha mashtaka wa Uturuki katika kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia walioshtakiwa kwa mauaji ya mwandishi wa gazeti la Washington . . .
Bunge la Pakistan leo litaanza mjadala wa kutokuwa na imani na uongozi wa Waziri Mkuu Imran Khan. Hatua hii huenda ikapelekea kuondolewa . . .
Mamlaka ya Palestina imesema Wapalestina wawili wameuwawa leo wakati majeshi ya Israel yalipofanya uvamizi katika Ukingo wa Magharibi. Hii . . .
Mashabiki wa mchezo wa mpira wa miguu duniani wamenunua tiketi 804,186 za mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar baadae mwaka huu katika awa . . .
Rapa Wakazi ameibuka na jipya kuhusu kujitoa kwenye tuzo za muziki kwa msanii Nay wa mitego ambaye hivi karibuni alitangaza kujiengua ku . . .
Urusi imesema imetangaza kusitisha kwa muda mapigano kwenye mji wa Mariupol ili kuruhusu raia kuondoka kwenye eneo hilo. Kamanda wa Urusi, . . .
Afrika Kusini imerekodi zaidi ya vifo 100,000 vya virusi vya corona. Kwa mujibu wa takwimu za serikali zilizochapishwa jana, vifo 100,020 . . .
Wakurugenzi wa taasisi na wa Hospitali za rufaa za mikoa wametakiwa kufuata miongozo na sheria za manunuzi ili kuondoa hati chafu na zenye . . .
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ametoa mwezi mmoja kwa Wazazi na Walezi wa wanafunzi 16 wa Tarafa ya Shelui ambao . . .
Mwili wa kikongwe aliyefanikiwa kupata shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 82, Dk Samuel . . .
askari Erinest(46) na mkewe Jeska Balitazali (39) wote wakazi wa Sengerema wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza kwa . . .
Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jumatano limepiga kura ya kumuondoa kwenye wadhifa wake waziri wa uchumi Jean Marie Kalumba, . . .
Viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italy, wametoa wito kwa mataifa ya magharibi kutolegeza msimamo wake dhidi ya . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwamba Marekani inaendelea vizuri na mkakati wake wa kuimarisha uhusiano na mataifa ya Asia-Pacific, . . .
Rais wa Tunisia Kais Saied Jumatano amelivunja bunge la nchi hiyo na kusema kwamba wabunge watafunguliwa mashtaka, akijiongezea mamlaka . . .
Ujerumani imetangaza rasmi kuanza kutoa gesi kwa watu wake kwa mgao, huku kukiwepo wasiwasi ya kuacha kuagiza mafuta kutoka Russia. . . .
Ukraine imeituhumu Urusi leo kwa kutega mabomu katika Bahari Nyeusi. Imesema baadhi ya mabomu hayo yameteguliwa katika pwani ya Uturuki na . . .
Maafisa wa Ukraine wamesema leo kuwa wanajeshi wa Urusi wameuripua mji wa kaskazini wa Chernihiv licha ya ahadi za awali za Moscow kuwa . . .
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu ameahidi kutoa Tiketi 200 kwa Wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo, kuelekea mchezo wa . . .
Aliyewahi kuwa Meneja wa kikosi cha Manchester United, Louis van Gaal, amemuonya Erikten Hag dhidi ya kuchukua mikoba ya kuliongoza Benc . . .