Mwanamuziki mahiri wa bongo fleva Elias Barnabas maarufu Barnaba boy, ametoa taarifa rasmi kuwa yuko katika maandalizi ya album yake mpya . . .
Mahakam Kuu ya nchini Kenya imetambua utoaji mimba kuwa ni Haki ya Msingi inayotambuliwa na Katiba ya Kenya Mahakama hiyo imesema ku . . .
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais Uhuru Kenyatta amekaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye umoja huo.Uhu . . .
ais Samia leo wakati akipokea ripoti ya CAG Ikulu, Chamwino, Dodoma amesema Serikali za Mitaa bado kuna upotevu mkubwa wa mapato ambapo . . .
Serikali imesema imebaini uwepo wa ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua na maumivu ya mwili kwa kipindi ch . . .
Deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.76 trilioni mwaka uliopita hadi kufikia Sh64.52 trilioni kufikia Juni 30, 2021.Hayo y . . .
Msemaji wa Umoja wa mataifa amesema Jumanne kwamba hakuna aliyenusurika wakati helikopta ya tume ya Umoja wa mataifa nchini DRC (MONUS . . .
Muungano wa ushirika unaoongozwa na Saudi Arabia ambao unaunga mkono serikali ya Yemen katika vita dhidi ya Wahuthi umetangaza Jumanne . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya amani kati ya wapatanishi wa nchi yake na Urusi yameonesha mwelekeo mzuri, ingaw . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP David Beasley ameonya kuwa vita vya Ukraine vinatishia kuvuruga juhudi za s . . .
Katibu Mkuu wizara ya utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbas ametoa ametoa wito kwa Taasisi ya Hakimili Tanzania COSOTA kuendelea k . . .
Kocha kutoka nchini Ureno Carlos Queiroz ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Misri, saa chache baada ya kik . . .
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka elimu ya kuwatahadharisha wananchi kuhusu kujiepusha na vishaw . . .
Mchungaji mmoja amewashauri wanaume kutooa wasichana wavivu. Mahubiri yake yalikuwa yanawalenga warembo ambao huomba nauli wakienda deti.Pas . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken jana ameizuru Morocco ambako alizungumzia Sahara Magharibi, maendeleo na usalama wa kik . . .
Timu ya taifa ya Senegal, imefuzu kushiriki katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika baadae mwaka huu huko Qatar. Senegal mabingwa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah Yassin mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro mpigadebe katika kituo kikuu cha mab . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Machi 29, 2022 ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 8 la Wakuu wa . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inathibitisha na kushikilia kuwa Rwanda inaunga mkono waasi wa M23, vuguvugu ambalo lilishindwa miaka k . . .
Nchini Ufaransa, kampeni za kisiasa zimeshika kasi, kuelekea Uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Aprili 10, wakati huu kura za maoni . . .
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fus . . .
Ida Odinga, mke wa Kiongozi wa Upinzani Kenya, Raila Odinga amekutana na fadhaa ya haja, baada ya kuzomewa alipokuwa anatoa hotuba kwenye . . .
Jeshi la Polisi Tanzania, limemrudisha makao makuu ya jeshi hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Wankyo Nyigesa kupisha uchunguzi kuto . . .
Kenya na Jersey zimetia saini mkataba utakaowezesha zaidi ya KSh 450 milioni zilizoibwa na kufichwa kwenye akaunti za nje ya nchi kurejeshwa . . .
Usiku wa kuamkia Jumatatu zilifanyika utoaji wa tuzo za Oscar katika ukumbi wa Dolby Theatre huko nchini Marekani. Miongoni mwa stori ziliz . . .
Mzee mwenye umri wa miaka 101, hatimaye ana amani baada ya kuhitimu kutoka shule ya upili, ambayo ni ndoto kwake kutimia. Merrill Pittman Co . . .
Familia moja jijini Nairobi inasherehekea baada ya watoto wao mapacha ambao hawajawahi kufungamana darasani kuvunja rekodi katika Mtihani wa . . .
Taasisi ya Russia ya mamluki ya Wagner Group imejaribu kuandikisha baadhi ya vitengo vyake vilivyopo barani Afrika kwenda kupigana pamoj . . .
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wanajaribu kuthibitisha taarifa za kuwepo makaburi ya watu wengi katika vituo vya kuwasafirisha . . .
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameonya kuhusu majaribio ya kufanya vikao vya bunge ambalo limesimamishwa. Akizungumza jana usiku Saied amesem . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky Jumatatu ameyataka mataifa ya magharibi kuiwekea haraka vikwazo vikali Russia, ikiwemo marufuku ya . . .
Mahakama nchini Kenya Jumatatu imewaachilia huru waendesha boda boda 16 waliokamatwa kutokana na shambulio baya dhidi ya mwanadiplomasia . . .
Kumeshuhudiwa mapambano makali asubuhi ya leo jumatatu katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Rutshuru jimboni Kivu ya Kaskazini baina ya jeshi . . .
Mwanamke mmoja Mkenya amejitokeza na kusema kwamba hataki kupata mtoto wakati wowote maishani mwake. Ebbie Weyime, 34, alisema yeye ni mwana . . .
Serikali ya Taliban imeamuru mashirika ya ndege nchini Afghanistan kuwazuia wanawake kupanda ndege bila kuongozana na jamaa yeyote wa ki . . .
Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya taifa ya Argentina Angel Di Maria amewaaga rasmi Mashabiki wa taifa hilo baada ya kucheza mchezo wa mwisho . . .
MWIGIZAJI maarufu wa Holywood, Will Smith (53), usiku wa jana alifanya tukio lisilo la kawaida, baada ya kumzaba MC wa Tuzo za Oscar, Ch . . .
Mazungumzo ya amani nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipamba moto tangu mwaka wa 2013, yamemalizi . . .
Iraq imejenga ukuta kwenye mpaka wake na Syria ili kuzuia wanajihadi wa kundi la Islamic state kujipenyeza, chanzo cha jeshi la Iraq kim . . .
Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori ya saa moja na nusu jioni kugonga pikipiki ya . . .