Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 kwa ajali ya gari iliyohusisha lori na gari n . . .
Kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS limekiri kuhusika na shambulizi nchini Israel ambalo limewaua wanajeshi wawili na kuwajeruhi wengin . . .
Chama cha Social Democratic, SPD kimetangazwa mshindi katika uchaguzi wa jimbo la magharibi mwa Ujerumani, Saarland. Kwa mujibu wa takwimu . . .
Kiongozi wa kilichokuwa chama tawala nchini Burkina Faso, Alassane Bala Sakande amekamatwa baada ya kukosoa mazingira ya kushikiliwa rais . . .
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonya dhidi ya kuongezeka kwa mvutano wa maneno na Urusi, baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kumue . . .
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. . . .
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshiriki Mkutano wa Kimataifa Doha Forum kuhusu masuala ya Maendeleo . . .
Mtandao wa kijamii wa twitter Jumapili Machi 27 asubuhi uliwaka moto baada ya ripoti za mazungumzo ya Rais Uhuru Kenyatta na wazee kutoka Mt . . .
Yanga inajiandaa na pambano lao dhidi ya Azam, huku kikosi chake kikizidi kuimarika kutokana na baadhi ya wachezaji waliokuwa majeru . . .
Abiria wote 132 waliokuwa wamepanda ndege chapa MU5735 mashariki mwa China wamethibitishwa kufa baada ya ndege hiyo kuanguka.Mamlaka ya anga . . .
Raia wa Zimbabwe wamepiga kura jana Jumamosi katika uchaguzi muhimu wa bunge na manispaa, unaoonekana kuwa ni kipimo kwa chama tawala cha . . .
Kauli ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ya kutaka Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kuelekeza dola 1.3 . . .
Serikali imelitaka kundi la wanawake kuwa mstari wa mbele kuongoza jamii kujitokeza kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ambap . . .
Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na . . .
Rais wa Marekani Joe Biden amesema rais wa Urusi Vladimir Putin hawezi kusalia mamlakani baada ya kuivamia Ukraine huku akiyaonya majeshi . . .
Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu leo hii Kwenye ofisi za BASATA leo hii akiwa anazungumza na Waandishi wa Habari Steve amesema ataendelea . . .
Bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ amewatoa hofu Mashabiki wake kuelekea pambano la kesho Jumamosi (Machi 26), ambalo litamkutanisha na Bond . . .
Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC Masoud Djuma Irambona amesema mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons hautakua rahisi kwake na kwa wache . . .
Afisa wa polisi aliyetwikwa jukumu la kulinda kituo cha mitihani katika kaunti ya Machakos alikamatwa Jumatano, Machi 23, baada ya kutoka ka . . .
Majaji watano wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) leo Ijumaa Machi 25, 2022 wanatarajia kutoa uamuzi wa kesi namba 3 ya mwaka 2019 il . . .
Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema taifa lake litaunga mkono utoaji wa misaada ya kiutu kwa Ukraine na mataifa jirani kwa kutoa ny . . .
Katika taarifa yake ya sasa Ikulu ya Marekani imesema Rais Joe Biden leo hii atatembelea mji wa Poland ambao uko karibu na mpaka na Ukrain . . .
Kiongozi wa jimbo la Hirshabelle, Ali Gudlawe Hussein, amesema idadi ya waliokufa kutokana na mashambulizi mawili yalitokea katika karibu . . .
Wabunge wa Kenya waliohama vyama vyao vya kisiasa vilivyowapeleka bungeni wamepata afueni baada ya spika wa bunge la kitaifa Justin Mutu . . .
erikali ya Ethiopia siku ya Alhamis ilitangaza haraka sitisho la mapigano la upande mmoja katika mzozo wake na waasi wa Tigray ili kuruh . . .
Watu 12, akiwemo mwanajeshi mmoja, na raia 11 wazee, waliuawa katika shambulizi la waasi kwenye jimbo la Ituri, kaskazini mashariki mwa . . .
Vyombo vya habari vya serikali vilimuonyesha Kim, akiwa amevalia koti la ngozi, akichungulia nje ya dirisha la jengo la uchunguzi wakati . . .
"Jina langu ni Elizabeth Amoaa - ni mwanamke mwenye viungo viwili vya uzazi, nina sehemu mbili za uke yaani via vya uzazi viwili," Mghan . . .
Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uv . . .
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 28, alikataa kujitolea kwake kwa Spurs baada yakuulizwa kuhusu mustakabali wake akiwa kwenye majuk . . .
Bunge la Libeŕia kwa kauli moja limepitisha mswada unaowataka akina mama kunyonyesha watoto wao kwa angalau miezi sita.Mwakilishi wa Wila . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Umma (IEBC), imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma(DPP) Noordin Haji ikimtaka achunguze madai kuwa Naib . . .
Ni katika Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa sambamba na Siku ya Misitu Duniani iliyofanyika Wilayani Magu mkoani Mwanza. . . .
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameshauri kujengwa kituo cha Polisi jirani na Daraja la Tanzanite ili kuimarisha ulinzi wa kulinda . . .
“Nataka kumrudisha Mrema kuwa kijana.” Hayo ni maneno ya mke wa mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Augustino Mrema a . . .
Huenda Kenya ikabanwa na madeni baada ya kushindwa kulipa kwa wakati mkopo wa KSh 18 bilioni uliotumika kujenga Barabara ya Southern Bypass . . .
Kyiv, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nc . . .
Washington,Wanadiplomasia na viongozi mbalimbali duniani kote wanaendelea kutuma risala za rambi rambi kwa familia ya Madeleine Albright . . .
Wuzhou,Afisa wa mamlaka ya usafiri wa anga ya China amesema wachunguzi wamepata kile wanachoamini ni kijisanduku cheusi, kifaa cha kunasa . . .
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana n . . .